majambozi..online???

ahh we mwanaume koma eeeeeeee usiniletee inz apa kwa kunijazia ubaya.....daily unanambia huna ela ya uyoga wa mia tano mbona mim skuja kukuanika kwa kaizer?
nataka uyoga mwanaume
no uyoga no me .


na usisahau vtunguuu vbch na ole wako ulete vya pemba km vya jana navtaka vya kigonsera!!!!



jamani hii mimba changa inamsumbua kweli dear wangu,
Na ndio kwanza miezi miwili na nusu lol...
Na vitunguu tena lol....!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hapo kwenye red mkuu na unakuwa kama limbukeni fulani.....kwani usingetaja mzungu isingeelewa .......kaaaaaaaaazi kweli.

mmmmnh kwani yeye kutaja mzungu imekupuguzia nini?-mie imenirahisishia kujua kwao haya ni mambo ya kawaida na kufuatana na majibu ya hii thread wengi kwetu hili sio jambo la kawaida/hatuko tayari kulifanya...
 
Nakumbuka wakati fulani kuna dada tulikuwa tunafanya naye kaz akakutana online na jamaa, wakiwa wanachat, kwa kuwa mtandao kwake haukuwa mzuri, ilibidi yeye awe anazima video, lakini huyo dada alikuwa anamuona. Sasa huyo dada alikuwa anamwambia atoe peni.s nje na aichezee idinde, ili aone kama huyo jamaa ana kitu cha ukweli. Kwa upande mwingine yule dada anaita watu wa ofisini wakaone. Jamaa anadhani anaonwa na mdada tu kumbe ofisi nzima twalikuwa wanamuona kwa anayetaka... Kuna wakati huyo dada alikuwa anamuamuru jamaa ajichue akitumia vaseline, hadi apiz, na lilivyokuwa kumbaf, lijamaa lilikuwa linajipinda hadi linamwaga...

Kama alikuwa anaenjoy na hajui kama anaonwa ,sioni tatizo -no regrets lol
 
apana
jamaaa hakuw ampumbavu
mpumbavu ni uyo dada aliyekuwa anatoa siri za mwenzake ndan cz jamaa alishamwamin dada kutokana na maongez yao sasa dada ndo alikuwa mjinga kutotunza siri
angaejua km ofc nzima inamchungulia asingefanya ivo

wakati mwingine huwa,
najiuliza haka kabusara unakatoaga wapi?
Ntaendelea kukuletea uyoga, usihofu!!!!!!
 
yaano mi namtafuta kila nisipomwona huyu pauline,, sijisikii amani kabisa kumbe yuko fesibuku na sijui skype hata sijui ndo vitu gani.....:embarrassed::embarrassed::redfaces:

pauline hebu tutete kidogo....eeh:pray2::pray2::coffee:

Am hereeeeeeeeeeeere baby!... :llama::hug::coffee:
 
jamani hii mimba changa inamsumbua kweli dear wangu,
Na ndio kwanza miezi miwili na nusu lol...
Na vitunguu tena lol....!!!!!!!!!!!!!!!!!

gud basi nileteee uyoga tuone km mimba itasumbua au itatoka kabsa
 
ss fikiria akakupiga picha na kuweka kwenye fb, na kuwatumia watu... ohhh dont tell me this, ss wewe bibie unampenda mtu hata hujamwona!? hii inashangaza, wadada bana!!! anyway!! usijaribu mama, kwanini ucisiwe mwaminifu na strong? eti! si unajenga heshima kuu!! nikupe siri wakaka hata kama alikuwa mzinzi vipi ukifika wakati wa kuona utacikia nacema, Aisee nataka mwamke aliyetulia nimuoe!!! ss wewe ambaye umeshavua vua hata online anakupotezea kwa sababu hujatulia.....................

Nawaonea huruma sana wadada zangu, kuna ugonjwa wa kukosa wenza wakati mnawahitaji, sasa akitokea mtu anaonyesah intrest utacikia haaa chemistry zetu zinafanana sana, kumbe analazimishia upendo hapo, kama ni mwanamaombi utakuta uck anamweka mbele za Mungu, Eee Mungu Yuke mkaka tu uciache akaenda, make him my husband! wadada msinirushie mayai viza... wengi wako hivyo

Cha msingi Tulia na Mungu, kuwa mwaminifu kwa Mungu na wanadamu... hebu kataa kuzini hata na akatishia kukuacha eti hujampa unyumba, atenda atarudi na Believe me atajivunia sana kuwa na wewe, na he will be confortable kwamba ulivyokuwa na msimamamo, hata akisafiri atakuwa na imani kubwa na he will be very relaxed. sasa kutu kidogo tu umevua, akikohoa umevua, subiri akuoe... walahi tena, atakuwa nawasiwasi akitoka kidogo tu atacema kimoyomoyo mke wangu atakuwa salama kweli... wasiwasi mingi....

up... nilikuwa napita nikajikuta naandika haya... kwaherini... lakini tunapaswa kuwa Binadamu na sio watu, binadamu anweza kukontrol hisia zake na kuwa na hofu ya Mungu.

kwaherini bye

Asante kwa ushauri huu umekaa barabarani kabisa wala usikimbie .
 
Hayo mambo yenu ya chumbani huku mna2letea ya nini?je kama ulimvulia 2tahakikishaje?na sisi 2naomba u2wekee avartar uliyopga uchi wa nyama.cjui utaenda kuomba ushauri wapi ok mi naona ume2letea bonge la mzigo yani kesi ya 2mbiri unapeleka kwa nyani?ha ha ha ha.Paulina mamaaaaa

uhakikishe ili iweje???:twitch::twitch::popcorn:
 
Kumridhisha ungetafuta picha fulani siunajua kuna uongo saidizi lakini sikudanganyi uwe muongo.
 
Inbox yako imejaa,mbona zinagoma kuingia PM.......do ze nidful mamito

habari yako bibie?
Jana niliona comment zako kwenye thread ile ya Not Enough,
Nahisi ule ukali ulokuwa nao kipindi hicho,ungeweza hata kumeza mtu!!!!
lol..
Nahisi leo utakuwa fresh!!!!!
 
Back
Top Bottom