majambozi..online???

Mmmmmh binafsi sikushauri dada angu.
Walau mngekuwa hata mmewahi kuonana!
 
Pole my dear wala usifanye hivyo ,Kama anakupenda kweli ataheshimu maamuzi yako,lakini kama anakutaka kimapenzi tu
Huyo hakufai mie sikushauri kuanza kumuonyesha manyonyo yako kwa style hiyo kwani mmeo huyo? acha akununie :sick:

Mbona kwa Asprin mnayaonyeshaga?,
Huyo si ni babau yenu wajameni?
 
Wengine hawajaelewa swali!!!Mdau anauliza kipi huwa kinafuata.Kiuzoefu kwa kutumia simu tu mnaweza mkachati na mpenzio kimahaba hadi mkafika mnakotaka na kuridhika kiaina!!Lakini kwa huyo anayetaka picha sina uzoefu huo!!Tatizo ni kuwa anaweza kukuruka na kukudhalilisha.Pokea ushauri wa wadau na zaidi usikilize moyo wako
 
Pau, dont tell me my dia!!!!
How can you love somebody U neva met??
Hebu siku moja mwambie akuwekee bamia yake ktk camera uione kama atakubali . . .

:clap2:
:twitch::laugh:
:first:
 
Msaidie mwenzako amekupenda! Labda ukimwonyesha mavituz atadata na atachukua the next flight ili aje kufanya kweli. Kuna demu wangu mzungu alikuwa akisalula na kunionyesha vimbwanga vyote on skype. Kwa hiyo kaza roho msaidie jamaa
hapo kwenye red mkuu na unakuwa kama limbukeni fulani.....kwani usingetaja mzungu isingeelewa .......kaaaaaaaaazi kweli.
 
Kijana wangu...hapa wajukuu sikilizia watakavokugomea......

namshangaa.....
sjui bacha kinamuuma nini sisi kumpelekea babu matiti yetu....kaizer ebu niombee kwa babu mwambie mjukuua
anataka kuja kukaguliwa BIDHAA.
 
ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...

tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?

swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............

asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:

Kweli dunia hii ya utandawazi,
inawapeleka puta kweli vijana,
sasa huko kwenye uso wa kitabu, sijui skaipu n.k.
huwa mnatafuta na vitu vingine vya ziada kama hayo ya wapenzi n.k.?
lol...
Huwa najiuliza sana pasipo kupata majibu, dunia ya sasa imekuwa too artificial,
dunia imekaa kisanii, watu wake nao wasanii tu!lol....
 
Back
Top Bottom