Majambazi yavamia Maxx Bureau de Change na kukomba hela

Kuna wakati napata mashaka na hizi juhudi za serikali kuchelewesha mishahara ya watu wake..
Endapo polisi nao wanacheleweshwewa, isije ikawa ndo wanaamua kushirikiana na majambazi kuanzia mchoro hadi ufanikishaji wa WIZI SALAMA kama huo...

Nina mashaka sana na POLISI kwenye haya matukio..

WIZI SALAMA:) loolest! Hii umenipa kali ya weekend. Asante sana:)
 
sio mbaya wamechukua chao
hawa jamaa wamezidi mno kuiba hela zetu na kupeleka kwao
wacha wabongo wazitumie hapa hapa uswazi mweeeeeeee.
mhindi na hao walokwida wote ni wezi tu hakuna msafi hapo.
 
Mi nayaomba hayo majambawazi, yawe yanaiba kwenye hayo ma bureau tu na ntawapa ushrkiano

Tukitoka hapo ni kuvamia nyumba ya Prince Riz 1 na kuteka gari zake za mafuta.

Kama vpi kukwiba mahela ya kwenye viwanda vya Rostamu vyote,
Nawashauri wawe wanaenda pale mambo ya ndani huwa kuna Minada ya vituo vya polisi,wakiweza kununua kimoja. Kitawasaidi.
Big up sana
 
Hao polisi ni wazembe, wengine wanapokuwa wanawahoji wananchi, wengine wanatakiwa kuendelea kuwatafuta hao majambazi, wanachotakiwa ni kuwasiliana tu kwa radio calls au simu, ili kuendelea kupeana taarifa kuhusiana na hilo tukio, sio wote kulundikana eneo la tukio, huo ni ujinga na uzembe.
Siyo wazembe.Wanajuwa wanachofanya.Na pia wanawafahamu,so hawana haja ya kuwakimbiza.Sana sana wanajuwa pa kuwapata baadaye wakatiwe panga lao.Wao walichokuwa wanafanya ni kuwahoji hao wahindi ili wajuwe wamekwapua kiasi gani ili wajuwe panga lao ni kiasi gani.Hiyo dawa waliyopuliza nadhani siyo cloroform,maana hiyo ukipuliziwa unalala usingizi wa pono.
 
Ni vijana wa Alex masawe hao bila Shaka.
Very possible,yule ndo Don Mwenyewe.However hapo Kenya kuna ujambazi ambao hata hapo bongo bado kufika mkuu.Unaweza kudhani ni movie.Huko wanabanwa sana,wakija bongo wanaona ubwerere yaani everything on the open,na hatujajiandaa na style zao za ujambazi.So they go where the pastures are greener.Arusha na Moshi tunawajua.
 
Ulinzi kweli hakuna. Yaani mtaa ulivyo bize namna ile, lakini jamaa wameiba kiulaini namna hiyo?

Katavi wizi wakiamua ata wapi wanaiba tu.
Wizi unaiba katika ya jiji la New Delhi India
 
Where were the flatfoots. I know the street is one of the busiest in town and one might wonder how the coppers couldn't interrupt and react accordingly. Again there is something wrong with our security forces.

Ndo raha ya kuhama chamacha magamba, you speak and act sensibly and inteligently!
 
Back
Top Bottom