Majambazi yatikisa ziwa victoria

mbutalikasu

Member
Jan 20, 2012
53
17
Majambazi yenye silaha usiku wa kuamkia leo yamefanikiwa kuwateka wavuvi na kuwanyang'anya mashine zipatazo 20 zenye thamani ya Tsh,896,000,000/= .Tukio hilo limetokea ktk visiwa vya Ukara na Ilugwa ambako kuna kanda maalumu ya POLISI. Hilo ni tukio la pili ndani ya mwaka mmoja, tukio lingine lilitokea mwezi January mwaka huu ambapo majambazi yenye silaha yalifanikiwa kupora mashine za wavuvi 35 zenye thamani ya Tsh,154,000,000/=.
Hivi jamani hawa polisi wa kanda maaalum kazi yao hasa ni ipi je Mbunge wa UKEREWE MH MACHEMLI, MWIBARA MH, KANGI LUGORA na MUSOMA VIJIJINI MH, MKONO mnalijua hili?. je mh, IGP SAID MWEMA umepata habari za hili tukio. Waziri wa Uvuvi umepata habari za tukio hili?.
Poleni wana UKEREWE na MAJITA kwa msiba huo mkubwa.

SOURCE NI MIMI MWENYEWE MWATHIRIKA MKUBWA WA HILI JAMBO
 
Nguvu zao zote na "udunchu" wao wa kufiri wameelekezea A.city mji wa amani. Huku wakiacha mikoa mingine bila ulinzi. Si uliona yaliyojili zanzibar, hakukua hata na punje ya ulinzi watu wakajifanyia mambo yao.
 
Back
Top Bottom