Vituo vyote tanzania ndo kazi zao, mimi nilishashuhudia mtu aliyekamatwa na bunduki kwenye kituo cha mwanjelwa mbeya mjini akiachiwa na kesi yake akapewa kija aliyekutwa anakatiza kaitikati ya uwanja wa ndege wa zamani mbeya. Mahabusu na gerezani 95% ya waliopo wote wanakesi za kusingiziwa na ndo maana kesi zinachelewa kwa kuwa wanajaribu kutafuta uongo wa kuakikisha wanawafunga hao waliwasingizia.