Majambazi wavamia hoteli ya kitalii na kuuwa

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Ni tukio lililotokea jana usiku saa 5 kwenye hoteli ya kitalii ya Moivaro iliyopo wilayani Serengeti ndani ya eneo la kijiji cha Robanda mita mia sita kaskazini toka lilipo geti la kuingia hifadhi ya Serengeti.Kati ya watu wawili waliouwawa ni mgeni mmoja raia wa Uholanzi na meneja msaidizi wa camp hiyo mwenyeji wa Mto wa mbu.
Source mdau wangu anayefanya kazi kambini hapo.
 
Watz baada ya kusubiri maisha bora waliyoahidiwa na ccm na kutoyaona, wameanza kuyatafuta kwa kufanya uhalifu kama huu. Poleni sana wafiwa.
 
Back
Top Bottom