Majambazi wavamia hoteli serengeti na kuua mzungu na meneja!

Toka wamewasimanisha kazi askari wa hifadhi ya serengeti kupisha uchunguzi wa nani iliua faru matukio ya kuvamiwa watalii ndani ya hifadhi hiyo yameshamiri kwa kasi.huwezi kuwasimamisha kazi askari 28 bila kiziba nafasi zao then kusitokee ujambazi
Hao waliosimamishwa ndo uenda wakawa wanafanya ujambazi huu ili kuonyesha uma kuwa bila wao akuna usalama.Wamevamia mpaka na nyumba za askari wenzao hapo Ikoma,hii inaonyesha kuwa wausika wa ujambazi huu wanajua maeneo na watu pamoja na ulinzi uliopo, ila watakamatwa tu kwani at this time they are surrounded. And no where to run. Watajificha wapi? Shirati?na kama hao majambazi walikuwa na simu wakati wa tukio ni rahisi sana tena sana kuwakamata yaani Polisi wanaweza kutumia siku 3 au 4 kuwakamata.
 
Mheshimiwa Balozi Kagasheki hakujua athari za kumsimamisha Mhifadhi wa Serengeti na askari 28. Hata hivyo, askari wasingeweza kuwazuia majambazi kwa kuwa walishindwa kuwazuia majangili waliowaua wale faru.

Walipaswa kusimamishwa kiutendaji hapo hakukosea,pengine kosa lilikuwa kuto replace wengine kazi ziendeleee kama kawaida. This Issue will affect our Tourism Industry so badly, God forbid
 
sawa tu,sio kutuua sie tunaoangaika tu km wao!
sorry i cant help it
 
Walipaswa kusimamishwa kiutendaji hapo hakukosea,pengine kosa lilikuwa kuto replace wengine kazi ziendeleee kama kawaida. This Issue will affect our Tourism Industry so badly, God forbid

baadhi ya watu wanaona hili jambo ni dogo......bila kuona hasara zake hapo baadae......
 
Sera dhaifu ya wanyamapori ya kuwaweka wawekezaji kwenye ardhi ya vijiji na walinzi (village game scouts)
wasio na silaha. Ikona WMA na Mkurugenzi wa Wanyamapori wawajibike.
 
Toka wamewasimanisha kazi askari wa hifadhi ya serengeti kupisha uchunguzi wa nani iliua faru matukio ya kuvamiwa watalii ndani ya hifadhi hiyo yameshamiri kwa kasi.huwezi kuwasimamisha kazi askari 28 bila kiziba nafasi zao then kusitokee ujambazi

kwani hao maaskari si huwa wanatambulika kwa jina la askari wanyamapori...kuna uhusiano gani na ulinzi wa binadamu?
 
kwani hao maaskari si huwa wanatambulika kwa jina la askari wanyamapori...kuna uhusiano gani na ulinzi wa binadamu?

Anapoitwa askari wanyama pori haina maana kuwa hana uhusiano na binadamu,wako responsible na yeyote au chochote kinachoingia hifadhini kinyume na sheria...
 
mbona anatangazwa sana mtalii wakati kuna meneja mtanzania ameuwawa hatangazwi.?
 
Jicho la tatu linaona mbaliiiiiii sana.
  1. Linaona kama kuna mkono wa mtu katika hili, lakini sijui huu mkono unatoka nje ya nchi au humu humu maana rangi yake ni nyeusi kama ya watanzania waishio maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria.
  2. Kinachonishtua zaidi naweza kuona nchi moja jirani na ss, wakifurahi sana kuona watalii wakiogopa kuja kutembelea vivutio vya kiutalii vya TZ hasa mlima Kilimanjaro.
  3. Kinachonishtua zaidi naona kuna watu wapo kwenye vikao wakipanga mikakati ya kushawishi uundwaji wa shirikisho la ......haraka ili wanufaike wao zaidi.

Wa TZ mpooo.. tuamke kumekucha, jua limetoka tusipouanika sasa tutautwanga mbichi!
Huu sio muda wa kuchangia kwa kejeli mambo mazito yahusuyo usalama wa nchi kama haya. Nina imani kubwa sana na Kamanda wetu Kagasheki, usitetereke wembe ni ule ule geuza upande wa pili umulike waliofanya haya mpaka kieleweke.
 
kunanjia nyingi za ku-report Mo-Town! ww ni marangapi umepata taharifa kutoka kwenye balozi yako? acha ushabiki au kama kunakitu unamashaka nacho uliza kwanza. mtu wakawaida au msafiri anapata taharifa haraka kupitia social media than any where else, nilicho sisitiza ni kusema ukweli but habari ziwe na uhakika siyo hisia za watu au utashi tu.
 
Back
Top Bottom