Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

peace.peace14

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
214
36
Wadau Dakika chache zilizopita majambazi wamepora Maeneo ya karibia na oil com Mwenge na Kupora Pesa.

Haijulikani ni kiasi Gani kimeibiwa.

Habari zinasema alipigwa risasi ya Tumbo.

RIP.
 
Wadau Dakika chache zilizopita majambazi wamepora Maeneo ya karibia na oil com Mwenge na Kupora Pesa.

Haijulikani ni Kisasi Gani kimeibiwa.

Habari zinasema alipigwa risasi ya Tumbo.

RIP.

Haya makosa ya maneno umedhamiria au unatetemeka!!!??
 
Kajipicha cha mzurika plz
hivi wewe unaweza kuwapiga majambazi picha?
Haya makosa ya maneno umedhamiria au unatetemeka!!!??
mkuu ushawahi kusikia hata sauti ya ambush yoyote?zaidi ya movie za kina Anorld?
Huyu jamaa jinsi alivyokurupuka utadhani na yeye kakoswa koswa na risasi maana andika yake haieleweki hata
mkuu ingekuwa wewe ungeweza kuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya kifo?
pole yake....need more updates
any body can updates us!
 
hivi wewe unaweza kuwapiga majambazi picha?

mkuu ushawahi kusikia hata sauti ya ambush yoyote?zaidi ya movie za kina Anorld?

mkuu ingekuwa wewe ungeweza kuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya kifo?

any body can updates us!

Kwa hiyo alikua anaandika huku anatoka nduki kwa nini asisubiri apate sehemu iliyotulia ndo akaandika vizuri. Au alitaka kuwa wa kwanza kuileta hapa jamvini
 
Back
Top Bottom