Majambazi Waliovamia Ikoma Bush Camp na Kupora na Kuua Wakamatwa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Habari nilizozipata kutoka kwenye mtandao wa Facebook kutoka kwa rafiki yangu ni kua yale majangili waliovamia ile kambi inayomilikiwa na Moivaro Ikoma Bush Camp yamekamatwa pamoja na baadhi ya vitu kama Passport na vitu vingine vyenya dhamani! Habari zaidi baadae.


From Citizen Daily News Paper! 25/06/2012

Arusha. Scores of suspects have been arrested in Mara Region in connection with the killing of a Dutch tourist and a lodge manager near the Serengeti National Park.The Mara Regional Police Commander, Mr Absalom Mwakyoma, told The Citizen in a telephone interview last night that an operation was underway to net other suspects.


"I can't disclose how many have been arrested but we are already interrogating scores of them," he said. Mr Mwakyoma added that he would talk to the media about the issue today. He said the suspects were arrested in villages close to Moivaro Lodge which was raided by armed robbers on the night of June 20, this year.The victims have been identified as Eric Brewelmans, a tourist from the Netherlands and lodge manager Renatus Bernard, Tanzanian citizen.


The raid took place at the lodge, located at Ikoma area, a short distance from the famous Serengeti National Park. At the time of the raid the lodge was hosting about 40 tourists who lost personal items and money to the robbers. Accounts from the area said most of the visitors at the time of the attack hailed from the United States, Spain, Denmark and China. The killing has come as a shock to the tourism industry in Arusha with some fearing it could tarnish the hospitality industry, now leading in foreign exchange earnings.


Most of the stakeholders have called on the government to strengthen security in the lodges and the famous tourist sites.The attack has also coincided with the onset of the high tourist season. However, some players in the hospitality sector have been quiet and have not commented on the tragedy, apparently to ensure there was not much negative publicity generated by the incident because, they believe, it could further tarnish the image of Tanzania as a major tourism market.


This is the first killing of tourists in the most-visited northern circuit in years.Isolated attacks have been reported at Duluti Crater near Arusha, at Mto-wa-Mbu and the Ngorongoro highlands at different times since 2007, but did not end in loss of lives.

By Zephania Ubwani, The Citizen Bureau Chief.
 
Hatushabikii uhalifu wala kubagua binadamu mwenzio anapofikwa na madhila, lakini kama alivyolonga mchangiaji mmoja ni ukweli dhahiri kuwa iwapo suala hili lingekuwa limemfika mswahili mwenzetu basi ungesikia upepelezi unaendelea ili kuwasaka wahalifu lakini maadam yamemfika mzungu hadi ubalozi wao umeombwa radhi kana kwamba hao majambazi walitumwa na serikali. Tunataka kasi hii iendelee hata mwanakijiji anauawa/ kudhuika kwenye tukio la uhalifu
 
Hivi mnajua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa taifa au mnachonga tu?
 
kwa kuwa mzungu kauliwa polisi hawakulala kuwasaka majambazi,ingekua mswahili kauliwa wangesema uchunguzi unaendelea

Yaa, au hata angeuawa polisi mwenzao, jamaa wangepiga kazi usiku na mchana kuwasaka wauaji kama walivyofanya sasa...
 
Hivi mnajua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa taifa au mnachonga tu?


Hakuna mtu asiyejua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi na hakuna mtu anahoji hilo. Lakini kinachozua mjadala ni ubaguzi wa serikali katika kulinda uhai wa binadamu. Uchumi ni muhimu kwa watu walio hai regardless ni wa rangi gani.
 
Mi nachoweza sema kuua mwenzako kwa vijihela vya kulewea au kwa kiasi chochote kile si sawa. Ndio hawa unakuta wanaua bodaboda kwa pikipiki iliyochakaa thamani haizidi hata laki 3.

Adhabu kali ziwe zinatolewa, simaanishi kufungwa jela, kwani huko wana mitandao yao na wanaenda kula bata tu.
 
Mi kwa mtazamo wangu tu!


Ni Kheri wamekamatwa tu!
Uvamizi wa namna hii kwa sisi Mi ninaipinga sana!
 
Tunaogopa kudanganywa kama ya Simbachetu !!!!!!!!!!!!!!!!

ha ha mkuu dah hivi wamepoozwa au wametudanganya.maelezo ya mheshimiwa Simbachetu, mwenye hotel na ya rpc sijua nani wa police yanajichanganya sana. lazima kuna kitu hapo
 
ha ha mkuu dah hivi wamepoozwa au wametudanganya.maelezo ya mheshimiwa Simbachetu, mwenye hotel na ya rpc sijua nani wa police yanajichanganya sana. lazima kuna kitu hapo

THREAD yenyewe imeshaondolewa.
 
Cha kusikitisha ni kuwa kati ya hao waliokamatwa yumo diwani wa CCM Ndugu Kihengu ambaye ni ndugu na Kamanda Mstaafu wa Polisi
 
Safi sana wezi sio watu kabisa! Ni vyema kila tukio likitokea wahusika watiwe nguvuni ndi uhalifu utaisha
 
Back
Top Bottom