Majambazi wa fedha kimtandao wanasa kiraiiiiissssi

bryn

Member
Dec 3, 2010
5
0
Katika wakati huu wa utandawazi, ukweli na uwazi, na wakati ambapo serikali imejikita kutokomeza wizi wa mafedha kwa mtandao, watu kadhaa wamekamatwa na polisi wanaendelea na uchunguzi. kama ambavyo vyombo vingi vya habari vilivyokuwa vikiripoti juu ya wizi huu mkubwa tayari watu kadhaa wakiwemo vigogo wanahojiwa na serikali kwa usiri mkubwa. nyeti hizi zimenaswa na viongozi wa vyama vya upinzani na wanajipanga kuzibwaga hadharani hivi karibuni. hata hivyo, chanzo cha habari hizi kinaonesha kuwa na uwezo mkubwa wa kumwaga maevidence na wanatarijia kufanya hivyo hivi karibuni. jiwekeni tayari kwa manewz
 
If big sharks are involved you can forget about it now, perhaps until the dawn of a new day which at the moment is not yet around the corner.
 
jiwekeni tayari kwa manewz

News kama hizi tumeshazizoea ni kama sinema actors tofauti ila maudhui ya movie ni yale yale na kawaida sterling hafi.

Moja ya Sinema hizo ni RADA

Vyombo vya habri vitapambwa na habari mpya then ...............
 
Back
Top Bottom