Majambazi Arusha: Mabomu, Bunduki, Risasi, Bastola - Hii ni Kashfa JWTZ

Amnesty International today called on the Kenyan government to investigate thoroughly reports of the roadside killing of seven suspected robbers by police officers along the Mombasa Road.

On 25 July 2001, an elite squad of the Kenyan Police Force surrounded a bus, forced all the passengers out and detained eight people. The passengers were then allowed to continue with their journey. Many eyewitnesses reported that seven of the detainees, who had been ordered to lie on the ground, were then shot in the back by police officers. The eighth person was alleged to have been put into the boot of one of the police vehicles.

The police said that there was a shoot-out between the police officers and the suspected robbers. This account has been challenged by a number of witnesses at the scene.

"The killing of the alleged robbers by the police is yet another indication of the authorities' disregard for the human rights of Kenyans. The lack of impartial, and independent investigations into similar cases has only reinforced the view that the government actively condones excessive use of force by the police," Amnesty International said.

Over recent years, Amnesty International has documented numerous cases of excessive use of force and extrajudicial killings by the Kenya police force. The organization has made numerous calls on the Kenyan authorities to ensure that the rule of law is upheld and that those who use excessive force are made accountable and brought to justice.

In a recent report, Kenya: Ending the Cycle of Impunity, Amnesty International demonstrated that torture continues to be committed by the Kenya police force because of the lack of effective action by the government.

"The government has the duty and obligation to uphold both domestic and international legislation in order to protect its citizens from torture and extrajudicial executions," Amnesty Internationa said.
\ENDS
public document
 
Katika makala yangu, ambayo kwa kiwango kikubwa imetokana na mahojiano yangu Kamanda Lukas, kuna maswali kadhaa na scenerio ambayo ina nguvu zaidi ya nini kilichotokea. Ujambazi lazima upigwe vita kwa nguvu zote, lakini nguvu zote zisitumike kupiga ujambazi wa kuhisiwa!

Alafu ebu jaribu kufuatilia lile kundi la Polisi wa Kenya chini ya CID walikuwa wanajiita Alfa Romeo au Flying Squad.
 
...mnaosifu polisi kwa huo unyama subirini mpaka baba zenu au mama zenu kuuliwa kwa kisingizio cha ujambazi,huwezi kuua tuu kwa sababu unafikiri hao ni majambazi lazima kuwe kuna utaratibu sivyo hii ni hatari sana kwa kila mtu...kumbukeni kombe alivyouuawawa au yule mkuu wa polisi Dar ambaye yuko jela(jina nimesahau) alivyokuwa anaua watu...polisi yetu imejaa watu corrupt sana ambao wanachangia ujambazi na kuna haja ya kubadilisha jeshi kutoka stone age lilipo sasa
 
...mnaosifu polisi kwa huo unyama subirini mpaka baba zenu au mama zenu kuuliwa kwa kisingizio cha ujambazi,huwezi kuua tuu kwa sababu unafikiri hao ni majambazi lazima kuwe kuna utaratibu sivyo hii ni hatari sana kwa kila mtu...kumbukeni kombe alivyouuawawa au yule mkuu wa polisi Dar ambaye yuko jela(jina nimesahau) alivyokuwa anaua watu...polisi yetu imejaa watu corrupt sana ambao wanachangia ujambazi na kuna haja ya kubadilisha jeshi kutoka stone age lilipo sasa

97885.jpg

Silaha za kivita yakiwemo mabomu na bunduki aina ya AK 47, zinazodaiwa kukutwa zikiwa na watu 14 wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, raia wa Kenya waliouwawa na polisi wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro jana.(Picha na Salome Kitomary).

..................Hao baba zetu au mama zetu wanatembea na mabomu pamoja na AK 47? Wanavaa vesti za kukinga risasi na bastola kibindoni?

Sisi sio jalala la magaidi kutoka Kenya ambako AK's zinauzwa sokono kama njugu. Ulimwengu wote unalifahamu hili.

Sitegemei Serikali ya JK kutumia pesa ya walipa kodi wa Tanzania kufanya uchunguzi kwa kitu cha kijinga kama hiki ambacho hata Serikali ya Kenya inakiunga mkono na majina ya wezi 6 ambao ni most wanted kule Kenya, magazeti ya viroboto ndio yanataka kuweka ujinga kama huu kwenye front lines. Wale wanaotaka kutetea mtiririko wa wezi kutoka Kenya waweke ushahidi hapa na sio kufanya speculation.

WANGEKUFA WATANZANIA BENKI WENGINE WANGEFURAHIA.
 
..................Hao baba zetu au mama zetu wanatembea na mabomu pamoja na AK 47? Wanavaa vesti za kukinga risasi na bastola kibindoni?

Sisi sio jalala la magaidi kutoka Kenya ambako AK's zinauzwa sokono kama njugu. Ulimwengu wote unalifahamu hili.

Sitegemei Serikali ya JK kutumia pesa ya walipa kodi wa Tanzania kufanya uchunguzi kwa kitu cha kijinga kama hiki ambacho hata Serikali ya Kenya inakiunga mkono na majina ya wezi 6 ambao ni most wanted kule Kenya, magazeti ya viroboto ndio yanataka kuweka ujinga kama huu kwenye front lines. Wale wanaotaka kutetea mtiririko wa wezi kutoka Kenya waweke ushahidi hapa na sio kufanya speculation.

WANGEKUFA WATANZANIA BENKI WENGINE WANGEFURAHIA.

dua nani alikuambia kuwa walikuwa wamevaa hizo vesti, na ulisoma wapi kuwa bunduki zilikuwa kibindoni mwao? Mbona wewe unasema kama vile unao ushahidi, ushahidi wanao wao wenyewe polisi kuwa ni watu sita tu ndio walikuwa na kesi za uhalifu huko Kenya. Na ni wa tano ambao waliuawa wakiwa mikono mitupu. Hicho picha uliyoiweka hapo itakupa maswali kadhaa, hebu iangalie kwa karibu..

Piga Kura Hapa
 
dua nani alikuambia kuwa walikuwa wamevaa hizo vesti, na ulisoma wapi kuwa bunduki zilikuwa kibindoni mwao? Mbona wewe unasema kama vile unao ushahidi, ushahidi wanao wao wenyewe polisi kuwa ni watu sita tu ndio walikuwa na kesi za uhalifu huko Kenya. Na ni wa tano ambao waliuawa wakiwa mikono mitupu. Hicho picha uliyoiweka hapo itakupa maswali kadhaa, hebu iangalie kwa karibu..

Piga Kura Hapa

Hayo maswali kwa nini hukumuuliza Mkuu wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Lucas Ng'hoboko? Au ulikuwa umekurupuka?
 
MWKJJ

Kwa hiyo hata hizo silaha zilipangwa pia?...........i mean im lost

Imefikia wakati jamani lazima tukubali kuwa Majambazi ni wauaji na hivyo ni wajibu wetu kuwashughulikia ipasavyo..................hatukatai kunaweza kukawa na mistake za hapa na pale............lakini kwa nini mimi Ogah leo unikute ktk kundi la majambazi kadhaa....Why?

Hili ni fundisho kwetu sisi wananchi na majambazi pia, ya kwamba
1. wanachi tutoe taarifa za hawa watu wanaojihusisha na vitendo vya kijambazi ama sivyo ipo siku moja ndugu yako atauawa na polisi kimakosa kwa ajili ya kunywa/kustarehe na majambazi
2. na kwa majambazi hii ni taarifa kwao ya kuwa hatupendi na tunalaani matendo yao na kitakachowafika ni pamoja na yaliyotokea hivi karibuni
 
MWKJJ

Kwa hiyo hata hizo silaha zilipangwa pia?...........i mean im lost

Unafikiri hilo liko nje ya vitu vinavyowezekana? au haliwezi kufikirika?

Imefikia wakati jamani lazima tukubali kuwa Majambazi ni wauaji na hivyo ni wajibu wetu kuwashughulikia ipasavyo..................

Hakuna anayesema wasighulikiwe. Tunasema washughulikiwe kwa njia za kisheria extra-judicial killings siyo kushughulikia huko. Vinginevyo tufunge mahakama na tuisimamishe Katiba.

hatukatai kunaweza kukawa na mistake za hapa na pale............

Right on! tatizo ni kuwa haya makose ya "hapa na pale" yalimgharibu Kombe, yaligharimu vijana watatu, na sitashangaa yamewagharimu wakenya si chini ya watano ambao hawakuwa na silaha wakati wanauawa. Makosa mengine gharama yake hailipiki.

lakini kwa nini mimi Ogah leo unikute ktk kundi la majambazi kadhaa....Why?

Majambazi si watu wanaoonekana kama wa kawaida tu. Umewahi kusikia kuwa mahali usipotakiwa wakati usiotakiwa?

Hili ni fundisho kwetu sisi wananchi na majambazi pia, ya kwamba
1. wanachi tutoe taarifa za hawa watu wanaojihusisha na vitendo vya kijambazi ama sivyo ipo siku moja ndugu yako atauawa na polisi kimakosa kwa ajili ya kunywa/kustarehe na majambazi
2. na kwa majambazi hii ni taarifa kwao ya kuwa hatupendi na tunalaani matendo yao na kitakachowafika ni pamoja na yaliyotokea hivi karibuni

yeah... na fundisho jingine, inapotokea watu wanafia mikononi mwa Polisi katika mazingira yenye utata, uchunguzi ni lazima ufanyike ili kuondoa hisia zozote za matumizi mabaya ya madaraka na nguvu.
 
...utawala wa sheria ni muhimu sana,tumeona mtu kasingiziwa kibaka na kuuwawa hadharani kwa sababu mtu kaita mwiziiiiiii....tumeona polisi wakiua watu wasio na hatia kwa sababu tuu deal zimeenda kushoto na kuwasingizia wahalifu,wewe Dua endelea kusifu huo ujinga wa kuua ua na siku yakikukuta ndio utatia akili
 
Insurgent said:

Senior Member Join Date: Tue Jun 2007
Posts: 114
Rep Power: 21

Thanks: 13
Thanked 26 Times in 15 Posts
Credits: 1,151

12 /14 = criminals

Kenya police say 12 killed in Tanzania were criminals

Nairobi, Kenya - Police in Kenya have confirmed that 12 out of 14 robbery suspects gunned down in a shootout with Tanzanian law enforcers last Wednesday were most wanted criminals one of whom was on death row. Police in Kenya Tuesday confirmed the nationalities of at least 12 of the 14, who were said to be Kenyans. Nationalities of the other two were yet to be ascertained.

Kenya Police Spokesman, Eric Kiraithe, said here Tuesday the 12 slain suspects were all Kenyan nationals and six of them were "known criminals" while the other six, who had no criminal ecords, "had strong links with known criminals."The slain criminals included a prominent proprietor of a driving school in Nairobi, Hannah Nyakanyi Kingara.

Police in the northern Tanzanian town of Moshi gunned down the 14 suspects who they allege were planning to rob the Exim Bank of Tanzania. "The proprietor of a city driving school was a close confidant of hardcore criminals in Nairobi. Police have known that the business she operated was a front and conduit for crime," Kiraithe said.

Police details show the 12 Kenyans acquired papers to travel to Tanzania on business missions. Police said one of the suspects, Ludovick Kariuki, had a National Identification card showing that he was a female.

Diplomatic tension has heightened between the two countries since the 5 September killing of the 14 suspects, who Police said were in possession of deadly weapons, including grenades, six AK47 rifles and four pistols.

However, Kiraithe said the Kenyan authorities were not aware of souring relations following the shooting of the 12 Kenyans. "We have cooperation with the Police in Tanzania under the East Africa Community (EAC) frameworks. We do not have any information that the Tanzanians are bitter over increased insecurity from Kenyans," Kiraithe said.

Tanzanian authorities have reportedly expressed deep fears that violent criminals could worsen insecurity in the country, if the five East African countries forge ahead with the plans for a political Federation. Police in Tanzania have also arrested several family members of the slain suspects who had traveled to Moshi to collect the bodies for burial.
Nairobi - 11/09/2007


http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=69817#post69817
 
Dua, hivi unafikiri kinachohojiwa ni kama walikuwa majambazi au walikuwa wanahusiana na majambazi? Naona hujapatia kabisa nini tunachohoji.
 
dua nani alikuambia kuwa walikuwa wamevaa hizo vesti, na ulisoma wapi kuwa bunduki zilikuwa kibindoni mwao? Mbona wewe unasema kama vile unao ushahidi, ushahidi wanao wao wenyewe polisi kuwa ni watu sita tu ndio walikuwa na kesi za uhalifu huko Kenya. Na ni wa tano ambao waliuawa wakiwa mikono mitupu. Hicho picha uliyoiweka hapo itakupa maswali kadhaa, hebu iangalie kwa karibu..

Piga Kura Hapa

Polisi wa Kenya wanacollude na WTZ kuua wakenya, ndivyo unataka niamini wakati wewe na mimi hatuko karibu na matukio. VERY INTERESTING.
 
Polisi wa Kenya wanacollude na WTZ kuua wakenya, ndivyo unataka niamini wakati wewe na mimi hatuko karibu na matukio. VERY INTERESTING.

Dua kuwanukuu polisi wa Kenya kwenye hili ni kichekesho. Majuzi tu mshindi wa Nobeli alihoji juu ya tabia ya Polisi kuua watu kiaina na POlisi wa Kenya kwa hili wanaongoza. HIvi hujiulizi, kama Polisi wa Kenya walikuwa wanajua hawa jamaa walikuwa wanakuja TAnzania na wakapitisha habari hizo kwa wenzao TAnzania huoni kuwa ni kama kutaka wa Tanzania wawafanyie kazi yao chafu? Kinachohojiwa siyo kama walikuwa majambazi au la hilo linaweza kuthibitisha na uchungu zi huru au kama wangefikishwa mahakamani. Kwa vile hilo haliwezekani kwa sasa, hoja kubwa ni jinsi gani waliuawa. Inaonekana nadharia ya Presumed Innocent until proven guilty haijakukaa sawasawa.

Ukiifutalia nadharia hiyo utaona kuwa hatuwezi kuacha Polisi au chombo chochote cha dola kuchukua sheria mikononi mwake kwa kisingizio cha "kupambana na majambazi" au "kutuliza amani na utulivu". Tukifanya hivyo tutakuwa tumekaribisha utawala wa kiimla ambapo watawala wanafikiri matakwa yao ni sheria!
 
Yote tisa kumi ni pale tutakapo pata taarifa kamili maanake sioni hata story moja inayoniingia akilini hata kidogo.

1. Ikiwa Majambazi walisimamishwa na wakaanza kurusha risasi... how do you arrest these fugitives.. armed and dangerous! Mahakama itoke wapi hapa..
2. Swala la magari ni kwamba hakuna mtu mwenye kufahamu fika kwamba waliokuwa ktk magari yale ni watu 20 yaani 14 waliokufa na 6 waliokimbia.... hata hivyo hatufahamu magari yote yale yalikuwa na seat ngapi nyuma..
3. Kuhusika kwa mama Mfanya biashara:-
the 12 slain suspects were all Kenyan nationals and six of them were "known criminals" while the other six, who had no criminal ecords, "had strong links with known criminals."
Katika wizi wa benki siku zote huwa kuna watu ama mtu anayetumiwa kama chambo.. huyu huwa hana silaha na muhimu aoneka very innocent. Huyu huingia benki na kwenda Counter kuweka, kubadilisha ama kuchukua fedha ktk account. Akiwa ndani huweza kuona Ulinzi uliokuwepo siku hiyo na pengine wakiwa na mtu wa ndani Benki kumpa tetesi kama ulikuwa wakati muafaka - Fedha mabillioni yamesha wasili na nani kiranja wa chumba cha hifadhi. Yote haya yanaweza fanyika kwa ishara tu...Kwa hiyo huyu mama kuwa mfanya biashara sio sababu kabisa mbona kuna viongozi wetu wauza Unga wakitumia vijana wadogo wauza unga haswa!
4. Polisi kutumia mini bus?... hapa yaonyesha wazi kulikuwepo na Ambush! kwa sababu hakuna hata mtu mmoja anayeweza kueleza lile gari la majambazi pamoja na yale yaliyoondoa yalifika vipi mahala pale!.. why spray bullets ktk gari la watu ambao tayari waliisha kufa ama walikuwa wameteswa na kuwekwa mkao wa execution style. damn jamani kweli haya yanawezekana!
Duh! naongea sana na hizi sinema zinatupoteza kweli! kwi kwi kwii!...Hata hivyo huyu mama kuwa na majambazi ambao nchini kwao ni WANTED...ni kitendo ambacho nashindwa kuelewa Wakenya wanapiga nini kelele. Yaani mjomba usikie Nyau (marehemu) ni WANTED dead or alive, leo wewe ukapande gari moja naye akielekea kufanyiza?...Unless mnataka kunambia Polisi wetu wali plant hizo silaha ndani ya gari lile.. Na kama Polisi walipanga kuwaua kwa nini wawauwe woote kisha kuwaachia baadhi wakimbie (hao sita!)
5. Swala la Close range, mara nyingi hutegemea bunduki iliyotumika zipo rifle zinazoweza kumwondoa mtu maili nzima ama zaidi..kwa hiyo kama hawa jamaa walismamishwa umbali wa metre 20 ama upana wa barabara.. inawezekana kabisa kuonekana kuwa ni execution.
Kisha hakuna mtu aliyetuambia ni majambazi wangapi waliokuwa wakirusha risasi.. Unajua hata ktk vita mtu mmoja tu anaweza kuponza kukosi kizima. Huyu mtu kwa woga ama mchecheto anaweza kufyatua risasi kabla hajapewa order na wenzake kujiandaa.. Maadui wakirudisha inakuwa nyote mnakimbia ovyo kwa sababu mmeshtukizwa bila silaha mkononi
Kwa hiyo hizi zote ni dhana tu hadi pale ushahidi kamili utakapo patikana maanake inaweza kuwa ni jambazi mmoja tu aliyewaponza wote.
Now, how come magari yale mengine yametoweka hilo tena ni question inayoipa nguvu dhana ya Mwanakijiji.
Mzee wangu najaribu sana kufuatilia maelezo yako lakini sintasema uongo bado kabisa sijawa na wasiwasi na Polisi wetu maadam Ushahidi wote wa pande mbili za nchi zetu unakubali kuwa Majambazi sita yalikuwepo ktk msafara huo! Pili Walikataa kujisalimisha wakaanza kurusha risasi na tatu wamekutwa na silaha kali...
 
Unaweza kuniambia ni pesa za walipa kodi zipi zitumike katika sakata hili? Maana unapinga hawa sio majambazi halafu unasema polisi wasichukue madaraka mikononi, ulitaka WTZ wauawe ndio ukubali? Au ulitaka askari polisi wa TZ auawe ndio ukubali?

Tanzania ni nani anatembea kwenye gari na silaha za kivita? Propaganda za The East African hatuwezi kuzikubali kichwa kichwa na kwa hili wamechemsha. Mimi nawapongeza kwa kazi nzuri waliyoonyesha na waendelee kushirikiana na raia wema kutokomeza uhalifu, leo hii wanachi hawawezi tena kwenda bar na kunywa pombe zao kwa amani kwa kuogopa vibaka njaa wa kutoka nchi jirani.

Maswali yako mengi ulitakiwa kumuuliza kamanda wa Polisi ulipohojiana naye kama hukumaliza unaweza kumtafuta akakujibu yeye ndiye yuko jikoni na anafanya kazi hiyo kwa kulipwa na pesa ya walipa kodi. kutokana na picha iliyopo Polisi wamefanya kazi nzuri na nawapongeza, hatuwezi kuwa jalala la wezi kutoka Kenya.
 
Dua, I'll give a clue where I'm coming from. Nimewazaliwa na kukulia ndani ya jeshi hilo. Kaka zangu na ndugu zangu wa damu wanalitumikia jeshi hilo sasa hivi. HIvyo ninapozungumzia sizungumzii kinadharia naguswa na maslahi binafsi na ninaogopa maana yake. Kwenye unaposema majambazi kuua polisi wewe unaongelea kwa mbali kama huna ndugu kwenye jeshi miye nazungumzia kwa ukaribu wa damu! Na ndio maana utaona nimekuwa nikifuatilia sana masuala ya POlisi na majambazi.

Now, ninafahamu nini kinachowezekana hasa kama unataka kuwamaliza watu ambao hutaki waje kusimama mahakamani kwani "umechoshwa" nao.

a. Kuna umbali gani toka eneo la tukio la mauaji hadi Benki ya Exim? Je ni mwendo wa karibu masaa 12? Mkandara... ukifiria jibu la swali hilo utapa jawabu ya mojawapo ya maswali yako...
 
Nd. Mwanakijiji,
Umejuaje kama matundu ya risasi kwenye miili ya hawa jamaa yanaashiria CLOSE RANGE? Unless kama umeona forensic report!
hata hivyo kama polisi walitumia SMG ( bila shaka walitumia), unategemea kweli matundu yake yatakuwa sawa na yale ya pistol??(ambayo unaweza ku-judge kirahisi kama ni close range kind of shooting au la)
 
1. Kenya police say 12 killed in Tanzania were criminals!
2. The other six had strong links with known criminals."

Hii inatosha kabisa kutupa picha kamili..
Mzee mwanakijiji,
Katika ulinzi na Usalama neno Link hutumika kuhusiana na criminal behaviour sio mahusiano ya kijamii...
 
Back
Top Bottom