Majambazi 5wauwawa huko marangu milopo huko hebutjuzeni kwa kina

kabisa mkuu
Ila hakuna aliye marangu akatupa majina ya hao walioitwa majambazi mpaka muda huu

nimeongea na dingi mdogo anasema hajafahamu bado ila wapo vijana wa same 2 kiraracha kwa mrema 2 na pale kiyala 1 nafikiri kesho tunaweza pata habari kamili
 
Majambazi walio uwawa wlikuwa wanataka kufunja had weare na walikimbilia nyumbani kwa mtu bom la machozi lilipopigwa wakachomoka wenyewe habr na itv star tv na tbc cha ajabu watu wa moshi wameshindwa kutupa mapicha kabisa
 
Majambazi wanasumbua sana katika maendeo haya. Tunawashukuru hao waliotoa ushirikiano hadi wakakamatwa. Hao waliokimbia wajue za mwizi ni arobaini na watakamatwa tu.
 
Kati ya majambazi yaliyo uwawa kulikuweko na kijana mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mwendesha bodaboda wanaomfahamu wanasikitika kwelikweli
 
marangu sasa hivi wanajenga kituo cha polisi,wanajenga maeneo ya bank ya crdb kilimani pale
 
Back
Top Bottom