Majambazi 5wauwawa huko marangu milopo huko hebutjuzeni kwa kina

Acha na mimi mzulu nionge lugha yetu.....Kunjani Preta, akunzima bethuna......(Hi Preta, Life is too hard).
 
Kweli aise na pale MArangu pameshaendelea sana na kuna mpaka tawi la benki pale kinahitajika kituo cha polisi mapema sana
Ila sijui wanafikiria nini aisse kutokuwa na kituo pale maana ni mbali sana na Himo

si unajua viongozi wetu wanatumia...... kufikiri pale marangu mtoni eneo lipo tukipiga harambee disemba pale wakati watu wanaenda kuhiji miaka miwili tunajenga na boda boda tunawapa wale wafanya biasha pale wakichangishwa mia tano kila mwezi kwaajili ya kuwasaidia na kuimarisha ulinzi tosha kabisa kagombee basi udiwani mkuu.
 
Wewe ndo unafaa kule mkuu
Mi hata hawanijui aise tena wanaseza sema mimi wa kuja
Siku wakiniambia ongea kile chenyewe nitabaki nang'aa macho tuu
hata hicho cha akina Preta sikiwezi
We nenda bana Jiwe Linaloishi ukomboe lile eneo aise
 
Last edited by a moderator:
Laalu mwouka nche ya storie manini mwondie wataja marinang mulumbanatubu shien deus malya na mufafanulie ngamba endeng marina wa manini,
 
Wewe ndo unafaa kule mkuu
Mi hata hawanijui aise tena wanaseza sema mimi wa kuja
Siku wakiniambia ongea kile chenyewe nitabaki nang'aa macho tuu
hata hicho cha akina Preta sikiwezi
We nenda bana Jiwe Linaloishi ukomboe lile eneo aise

mkuu mi kule wananiita mchaga pori kisa nimekulia mjini ni sawa kupanda kahawa mtwara, labda pretaa si unajua wanawake siku hizi wanapewa sana nafasi na wanafanya vizuri.
 
mkuu mi kule wananiita mchaga pori kisa nimekulia mjini ni sawa kupanda kahawa mtwara, labda pretaa si unajua wanawake siku hizi wanapewa sana nafasi na wanafanya vizuri.
Jiwe Linaloishi hii biashara ya kuwa kyasaka aise inabidi tupambanne nayo maana inatunyima mengi sana aise
Unaweza shangaa unaenda kule wanaanza kuongea kilugha kujibu huwezi hata kama wanataka waongee mambo za siri wewe unatoa tuu mimacho aise
 
kweli mkuu inabidi kila Xmas na Pasaka twende ili tuzoeleke na kufahamu lugha ya home
 
kweli mkuu inabidi kila Xmas na Pasaka twende ili tuzoeleke na kufahamu lugha ya home
Jiwe Linaloishi kuielewa ile lugha kwa kwenda pasaka siku tatu sijui au xmass siku tatu ni issue sana aise
hao watoto tunaopata sasa ndo kabisa hawatakaa waelewe lugha yetu kabisa watakuwa wao ni kiingereza au kifaransa na kiswahili cha kuongea
 
Last edited by a moderator:
...Sasa mnaanza kuboa, kesho Nape ataitisha press conf na kusema ana taarifa za intelejensia kuwa JF yote ni wachaga !! Acheni hizo babangu, rudini huku kwenye riruga ra taifa risiro na kiongozi kwa sasa zaidi ya makamu aka Ronaldihnyo (eti sababu ana ridomo rinaromwagika :)

hahahahah.......mbafu tsikekaa mndenyi siku tsii??!!

ote dunia isunguka kipfurhi!!
 
Jiwe Linaloishi kuielewa ile lugha kwa kwenda pasaka siku tatu sijui au xmass siku tatu ni issue sana aise
hao watoto tunaopata sasa ndo kabisa hawatakaa waelewe lugha yetu kabisa watakuwa wao ni kiingereza au kifaransa na kiswahili cha kuongea
mkuu hapo umenena hamna jinsi inabidi tuishi na bibi zetu ili wafundishe wajukuu tafanyaje sasa mazingira yametubana
 
mkuu hapo umenena hamna jinsi inabidi tuishi na bibi zetu ili wafundishe wajukuu tafanyaje sasa mazingira yametubana

Mimi bibi yao mwenyewe akija home ni full kiswahili sijamsikia hata siku moja amekaa nao anawafundisha kilugha aise
 
hahahahah.......mbafu tsikekaa mndenyi siku tsii??!!

ote dunia isunguka kipfurhi!!

hata mie nimeshangaa!!
kiki kilyewaruo mndenyi!???
washamba hao,
Kuore handu kulyaore mndu pfo, leka waworo, waitesa wameku na wakyeku tupu.
Hata mie nina mashaka kama ni wachaga hao.
Sie home wazee wameshavamiwa mara kibao ila majambazi hawapatikani!
wanafichwa kwani ni ndugu za wenyeji.
Yani kama ni kweli wamekamatwa wezi/majambazi wanaoiba marangu nimefurahi sana ni kero sana kwa wazee wetu.

kwa nyie mnaotaka kukomboa Marangu, kwani ni lazima upate uongozi? manake hutauweza wakati hauna interest ya kukaa pale.
naona watu wengine wanachofanya, katika zile siku chache za xmas na pasaka ni kukaa na influential people wa pale, kuwapa mitazamo yako, na kuwapa psychological na moral support ukiwa mbali mambo mbona yanafanyika tu?
 
Ila hakuna aliye marangu akatupa majina ya hao walioitwa majambazi mpaka muda huu[/QUOTE]
kijijini ni kijijini tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom