Majambazi 5wauwawa huko marangu milopo huko hebutjuzeni kwa kina

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Kuna tetesi kuwa majambazi watano wameuwawa na jeshi la polisi huko mbahe marangu mkoa kilimnjaro mliokohuko tujuzeni kwa kina
 
Kuna tetesi kuwa majambazi watano wameuwawa na jeshi la polisi huko mbahe marangu mkoa kilimnjaro mliokohuko tujuzeni kwa kina

Ni kweli mkuu na maiti zote 5 zipo hospitali ya mkoa Mawenzi na wananchi wanafika kwa wingi kutambua Ndugu zao
 
yaani hao majambazi wameniudhi sana imekuwaje mpaka wakakamatwa tena dah hela sasa ziko wapi walizoiba wangepeleka hela nyumbani alafu waende wakauwawe ,yani wamewawa na hela hamna poor minded ith poor trick agrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
nimajambazi kweli?maana hii nchi majambazi ndo wanobaki ila raia wema ndio wanouwawa.
hao nimajambazi wanaotumia slaa,majambazi wanaolindwa ni wanaotumia kalamu,kumbe moshi niwachaga tu wameshindwa kutupa kwa kina wamebakia kunena kwa luga,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom