Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

Status
Not open for further replies.
Mimi nimehimu ualimu mwaka juzi,nikaenda jkt,nikapata ujasiria mali,ajira walipotoa sikwenda kuripoti,nilikuwa nalima matikiti na matango,sasa nina ka prado kangu,na akaunti inasoma m20 kwa sasa,kwa mwezi naingza m1.5,walimu muache kutegemea kuajiriwa

wewe wasema!....
lakin kila mmoja na alichopangiwa na MUNGU..
..kila mmoja hawez pita ulipipita!.....watu hawana hata shamba watalima barabara eeeeh!?.....
kwanza hata hiyo JKT mwaka huu kama haipo vileeee!...
 
Dah! Hata mtaji Wa kujiajiri sina!! Hii miezi sita yote mtaani ntaishije??? Nilijipa matumaini mwezi march naingia job! Naombeni ushauri wandugu nifanye nini kwa huu muda!! Maana hata temporary job tu hazipatikani japo mi mwalimu Wa physics and mathematics!
Huwezi kua serious... cjawahi kusikia mwalim wa mathematics kakosa ajira. Au unatafuta hapo kjjn kwenu tu?hzi fedha za bundle kila siku ni mtaji tosha .
 
Wakalijenge sasa kwa huo muda ili waweze kuyakabili maisha ya vituo watakavyopangiwa ambavyo vingi ni vijijini


Vijana maua popote huchanua,twendeniii tukalijenge taifa
Mama walile walileee mama walile walile mama walileee mama walile
Mkuu iyo nyumbo umenikumbusha jkt kipind cha uzalendo
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa anaongea na Wazazi mkoani Ruvuma katika ziara yake ya Serikali mkoani humo. Amesema serikali itamaliza tatizo la uhaba wa waalimu na hasa wale wa sayansi pindi itakapowaajiri julai mwaka huu.

Source: Dira ya Mchana Tbc1
Ajira mwezi huu kuanzia tar 15 mpaka 28 WA tatu kazini
 
Magufuli Ameagza Tamisemi Wafanye Mchakato Haraka Kwa Kuwa Wanafunz Wamejaa Mashuleni. Hvo Kuanzia Juma5 Au Alhamisi Majina Ya Ajira Zenu Yatakuwa Kwenye Web Ya Tamisemi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom