Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

Status
Not open for further replies.
kelele za chura tu hizi.

hata mwaka jana yalisemwa mengi na mwisho wa siku ajira zikatoka.

Ni kheri kujipa moyo kuliko kumsikiliza mfa maji.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa anaongea na Wazazi mkoani Ruvuma katika ziara yake ya Serikali mkoani humo. Amesema serikali itamaliza tatizo la uhaba wa waalimu na hasa wale wa sayansi pindi itakapowaajiri julai mwaka huu.

Source: Dira ya Mchana Tbc1
Wewe bila shaka hukumuelewa bwana Kassim Majaliwa,yeye alikuwa anaongelea wale walimu wa sayansi wanaosoma UDOM special program kuziba pengo la upungufu wa walimu na sio ajira ya walimu wote
 
Mkuu wewe ndiye unaeupoteza umma. Special Diploma ya Udom ndio kwanza wako mwaka wa pili wa masomo kwa maana hiyo huo mwezi julai unaousema wewe ndio watakuwa wanamaliza mwaka wa pili na kozi yao ni miaka mitatu. Usiwadanganye watanzania.
 
Kama ikiwa ni mwezi wa saba, basi Magufuli atakua 'ame decelerate'.
Sio kasi tena.
 
Duuu bora hata vijana wangeomba wenyewe ajira uko kwenye halmashauri mana za kupangiwa zina kero zake mda mwingine
 
Duuu bora hata vijana wangeomba wenyewe ajira uko kwenye halmashauri mana za kupangiwa zina kero zake mda mwingine

Hakuna uhitaji wa walimu labda wa masomo ya sayansi. Nyie wa masomo ya arts muombe Mungu tu muhurumiwe ila hamuhitajiki walimu wamejaa na hawana kazi za kufanya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom