Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

Status
Not open for further replies.
walimu wanatafuta m badara wa ajira badala ya ualimu kuwa bodaboda nyie mnalilia ajira za ualimu.
 
kwa kweli, ss walimu wa sanaa tusahau kabisa kwamba kunaajira mwaka huu. kama mwaka jana tu kulikuwa na penyenye kwamba ajira za walimu hazitakuwepo, labda kwa walimu wa sayansi tu, lakini ajira zikatolewa japo kwa kucheleweshwa sana...
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa anaongea na Wazazi mkoani Ruvuma katika ziara yake ya Serikali mkoani humo. Amesema serikali itamaliza tatizo la uhaba wa waalimu na hasa wale wa sayansi pindi itakapowaajiri julai mwaka huu.

Source: Dira ya Mchana Tbc1
iSSUE yenu inashugulikiwa so plz wait jaman
 
kuna watu wabishi humu wanajua nawatania...
ni kweli aliongea ila ulichokosea wewe umekuja kivingine. Amezungumza tatizo la ajira litamalizika/kupungua mwezi wa7 wale wasayansi watakapohtmu. Ila infact ajira za walimu zipo palepale kuanzia mwezi wapili pale tu kibali cha ajira kitakapo tolewa na tume ya ajira.
 
We jipe moyo tu,ila kaa ukijua ajira n mwezi wa saba,mwaka huu, usisubirie uajiriwe jiajiri kwanza
 
Kalimeni matikiti

.

....mpaka muda wa ajira unakua umeshavuna na kuuza...ni gemu tamu unaweza ukaacha ajira ukafanya kilimo na biashara ya matikiti..
Mkuu,hata mimi napenda sana hicho kilimo..Msaada wa Eneo la kuanzisha huo mradi???? Either kwa kununua au kukodisha shamba.
 
Mimi nimehimu ualimu mwaka juzi,nikaenda jkt,nikapata ujasiria mali,ajira walipotoa sikwenda kuripoti,nilikuwa nalima matikiti na matango,sasa nina ka prado kangu,na akaunti inasoma m20 kwa sasa,kwa mwezi naingza m1.5,walimu muache kutegemea kuajiriwa
 
Naomba mbinu mkubwa, na mimi niingie kweny hii ishu..Ardhi,
 
Mimi nimehimu ualimu mwaka juzi,nikaenda jkt,nikapata ujasiria mali,ajira walipotoa sikwenda kuripoti,nilikuwa nalima matikiti na matango,sasa nina ka prado kangu,na akaunti inasoma m20 kwa sasa,kwa mwezi naingza m1.5,walimu muache kutegemea kuajiriwa

Hongera mi nimenunua kabaiskeli kangu nachoendeaga shule na jana nimesain fomu ya maadili kwa watumishi akaunti yangu inasoma Laki 7 na nusu, naishi kwa amanin kabisa.
 
Jamani swala la kujiajli wengi tunatamani sana, isue si kujiajli, bali ni swala la mtaji ndo swala kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom