Majaji wastaafu big up!

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,366
1,622
Inatiamoyo Majaji wastaafu kutoa tamko lao kuhusu Muswada wa katiba na kutaja upungufu unoonekana wazi wazi. Jambo hili ni lakuunga mkono pamoja na wengine wengi walioko mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tunapata katiba mpya ITAKAYOFAA kwa watanzania
 
Back
Top Bottom