Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Wakuu,
naona wengine wetu tunakurupuka kusifu hii ishu lakini kwa kweli ukweli hatuujui.Aliyeanzisha hii mada pia ameipa kichwa cha uongo.Mahakama ya kadhi haijafutwa bali wamesema "the inclusion of Kadhi courts in current Constitution is illegal and discriminatory".
Kwa hivyo ni pendekezo tu. These are the facts:
Kwanza kabisa it is a Constitutional Court that made a ruling and not the Supreme Court of Kenya.
Pili ni muhimu kujua pia waKenya wamo katika pirka pirka za kuunda katiba mpya na kura itapigwa Agosti 4 to that effect. Kwa mujibu wa wale wanaopinga kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi katika katiba ni kanisa la
wakristo ambao wanadai kua "The inclusion of the Kadhi's Courts is unconstitutional"...ni hawa mabwana walioenda kupinga hii kitu kotini.
La kuchekesha ni kwamba katika hio referendum watu watapiga kura either Yes for the new Constitution ama No kuipinga. Iwapo Yes watashinda basi mahakama ya Kadhi itakuwepo katika katiba mpya.Iwapo No watashinda basi Kenya itarudi kutumia katiba ya zamani ambao pia ilikua inaruhusu mahakama ya Kadhi.Kwa hivyo whether you vote Yes or No mahakama ya Kadhi itakuwepo katika katiba ya Kenya.( nataka muelewe hapo kwa usahihi).Kwa kimombo utasema 'it is a win win situation' either way for the Kadhi Courts.
Tatu ni kwamba this decison by the Constituional Court Judges refers to the inclusion of the Courts beyond the 10 mile strip as it had been decided during independence. Kwa wale msiojua, mile kumi za ufuo wa Pwani ya Kenya zilikua chini ya himaya ya Sultan wa Zanzibar na wakati wa uhuru, Sultan aliwaomba waingereza waeke hii mahakama ya Kadhi ndani ya katiba yao ilmradi haki za wakazi wa hili eneo zisionekane kupotea. La sivyo basi hao wakazi walikua na haki ya kujitenga na Kenya na kuwa chini ya Sultan wa Zanzibar. Kwa hivyo the Courts have ruled that these inclusion of this courts beyond the 10 mile strip is also unconstitutional. Kwa hivyo iwapo hawa wakazi watataka kujitenga kutoka Kenya based on this then they can do so. Unafikiri serikali ya Kenya itakubali hili? Instead of rooting for chaos basi watawapa tu haki yao.
In my opinion this is a political decision by the three judges to try and remain relevant in the New Kenya so to speak. Katiba mpya inawatishia majaji wengi unga wao maana watafutwa wote na process ya kuteua majaji itafanyika upya na vetting process kupitia bungeni. Kwa katiba ya sasa Rais anauwezo wa kufanya huu uteuzi peke yake and that is why the Kenyan Courts have always been heavily influenced by the politics of the day...Just like in Tanzania.
Meanwhile if Moses were a Kenyan....

A three-judge bench on Monday declared the inclusion of Kadhi courts in current Constitution illegal and discriminatory.
The judges, sitting as a constitutional court, said the decision to include the Kadhi courts in the country's ultimate law favoured one religion over others.
However, the judges reserved their decision on whether the provision should be included in the Proposed Constitution, which will be subjected to a referendum on August 4.
The bench included Justice Joseph Nyamu, Justice Mathew Anyara Emukule and Justice Roselyne Wendoh.
They also declared that public funds should not be used to run the courts as this would amount to "separate development of one religion and religious practice" contrary to the principle of separation of state and religion.
In a 114 page ruling, the judges held that the enactment and application of Kadhi's court to areas beyond the ten mile coastal strip specified during their establishment in the colonial times is unconstitutional.
They further declared that section 66 of the constitution which introduced the Kadhi's court infringes on the constitutional rights of a group of 26 religious leaders who went to court to challenge the inclusion of the Islamic courts.
The Kadhi courts is one of the issues that have been raised as contentious by a group of political and religious leaders who have come out against Kenya's Proposed Constitution.
They are meant to apply to Muslims who choose it for application of family law such as inheritance, marriage, divorce and personal status.
Daily Nation: