Majaji wapenda totos wanapochagua "miss tanzania" tunatarajia nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kumekuwa na malalamiko ya kawaida ;ila napenda kuwauliza ni vigezo gani vinavyotumika kuteua majaji..tunaitaji majaji wenye moyo safi na siyo majaji ambao wanachagua tu kisa alitembea na mtu fulani

je lino mnaweza achana na hii tabia na kuamua kutafuta majaji nje ya sponswenu...ukiangalia mfano rahisi tu yule miss reds ametembea na yule ndugu yetu kavishe longtym ent seceret sasa mnatufundisha nini kwa jaji wa TBL....??ANY WAY
 
Mkuu yaani we acha tu. Hebu fikiria Murunya nae jaji. Humwezi kwa totos.
 
Mhhhhhh,hiii nchi imeoza kila upande unategemea nini?????eti lundenga ndio kaachiwa peke yake atafute mrembo wa taifa????
 
hivi lundenga ndio MUNGU WA warembo tanzania ama!!!mi nashauri kuwepo na haki sawa katika hili...hawa majaji wote wachafu..na ndio maana kama mnakumbuka watoto fulani mamiss walishiriki waliposhindwa wakaanza kutaja na majina ya waliowadanganya ambao walifanya nao ngono akiwemo LUT kanal LUNDENGA

KAZI KWELI KWELI
 
LINO AGENCY KING OF BEAUTY QUEENS Tanzania- ndio T shirts zao walizovaa Ijumaa zilivyokua zimeandikwa.
 
Lino agency king of beauty queens

wangeandika

lino agency king of sex and love
 
hoja zenu sio za msingi bali zinabomoa,kwa kupenda ni moyo wa kila binadamu hata awe nani?????????
 
hoja zenu sio za msingi bali zinabomoa

na KUJENGA
 
Wale majaji walikuwa wanaboa hasa na kujisikia, ni kweli kabisa mfumo wa kuwachagua sio fair hata kidogo.ni bora wawe wanatoka nje ya sponsors!
 
watu mlitaka majaji wawe ng'ombe? mbona hamna jema wana wa laana nyie?
 
watu mlitaka majaji wawe ng'ombe? mbona hamna jema wana wa laana nyie?

WA LAANA WEYE ULIELAANIWA;NA UKOO WA UZINZI NDIO MAANA UNASHABIKIA
MAJAJI WAZINZI NANI KALAANIWA APO
 
kwanza biashara ya u-miss ni ngono tayari nashauri wasichana wazuri waususie tuone hao akina lundenga watamega akina nani. Mimi binti yangu sitamruhusu kabisa ashiriki ujinga huu, haya mambo ni ya watu wavivu wanaotaka vitu vya chee.

Si busara kulalamika wakati tunajua kuwa biashara ya u-miss ni kama na uchangudoa tu kwani unaruhusu mwanao aende kuuza sura eti ili apate pesa!!!
 
watu mlitaka majaji wawe ng'ombe? mbona hamna jema wana wa laana nyie?

WA LAANA WEYE ULIELAANIWA;NA UKOO WA UZINZI NDIO MAANA UNASHABIKIA
MAJAJI WAZINZI NANI KALAANIWA APO

Nilikustahi toka jana, ila jaribu kufikiria concept nzima ya hayo mashindano utajua tu ni uzinzi mtupu, sasa ulitaka majaji wawe mapadre au masheikh? nadhani unahitaji ku adjust some nuts kwenye ubongo wako mama mdogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom