Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

My my!!
Kwa hiyo vyombo vya dola igunga havipo kutolea maelezo matukio haya?
TBC, ITV, CHANNEL 10,STAR TV mpo wapi??
Magazeti hayapo nchi hii??
 
jibu hoja, acha kutukana.
Kama vipi fanyeni magumashi kama kawaida yenu nendeni mochwari chukueni maiti tano ambazo bado hazijatambulika na katika mifuko ya nguo za maiti hao wekeni kadi za CCM then zisambazeni hizo maiti vijiji mbalimbali hapo igunga alafu na nyie mfanye counter-claim kwa CDM.
 
Kwa kweli tunakoelekea si kuzuri. Nina imani mwisho wa yote hayo ni mbaya kwani damu ya mtu haitapotea bure, sipati picha kwa uchaguzi ujao itakuwaje kama jimbo moja tu linasababisha wamwage damu!
Mungu azilaze pema roho za marehemu
 
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!

Yaani hao wanaodaiwa kuuawa hawana hata majina mkuu? kama mmpoja alikuwa maarufu hapo Ulaya kwa nini usimtaje, tutathitishaje kwa maelezo haya yanayo ning'inia?

Uthibitisho tafadhali ili kuepusha chuki zisizo na msingi baina yetu!
 
Pole sana kamanda, watu wa Temeke wangeandamana

Me mwenyewe nilinusulika..Nilikuwa kijiji cha Bulumbela kata ya Ziba na hao vjana wakawa wanaongea na viongoz wao huku wananinyooshea vdole.Na waliningea sana hata hvyo walikuwa wananiogopa coz walidhan me ni komando coz kuna cku niliwacha magamba na polic bila woga so wakaanza kuniita komando kwan m2 wa kawaida hawezsema hvyo.Pil kombat yangu mimi umekaa kijesh zaid so hlo lilifanya niogopwe ila nilikuwa nawindwa sana...Mungu azilaze roho za marehem pema.
 
Kusikia hili jambo kuwa wanalitenda ccm sitastaajabu kama ni ccm wanafanya haya mauwaji kwakuwa kama wameanza kumalizana wenyewe kama ilivyosema thread moja nilisoma juz hapa jf
 
Ngoja polisi watoe ripoti.Kama mauaji haya ni ya kisiasa,basi dola imeshindwa kufanya kazi........mtazamo wangu ni kwamba kwenye chaguzi nyingine zote zinazofuata basi Baraza la vijana chadema tuimarishe red brigade.Mtazamo wangu ni kutoa mafunzo yenye nnature ya paramillitary troop kwa ajili ya kulinda wafuasi wetu pamoja na kudhibiti ulaghai wa kununua shahada za wapiga kura kwenye stronghold ya chama chetu.Tufanye kama walivyofanya wafuasi wa Rais Atta mills wa ghana wakati akiwa upinzani hadi kushinda Urais 2008

Nimeona kuna haja ya kuendesha siasa za kistaarabu lakini tuwe na background ya red brigade movement.........hatwezi kuvumilia unyama huu wa CCM na watu wake dhidi ya wafuasi wa chama chetu chini ya usimamizi wa jeshi la polisi
 
Tanzania imeiva sasa kwa mapinduzi, tuondoe woga na hawa wauaji waondolewe kwa nguvu.
 
Mi bado nipo na Jason Bourne!!
Kama aliweza kuchunguza ile issue ya kina LTK, TISS na mpaka KGB hatashindwa kuchunguza hawa vibaka waliofanya huu ushenzi ambao kiasi flani wanafahamika.
Hiyo pia itachangia watu kuweka imani juu yake kuhusu ile riport juu ya Dk. Mwakyembe aliyotoa.
Mkuu JB, uwanja ni wako kaka!!
Nina uhakika hukujiita hilo jina hivihivi!!!
 
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu, U
 
Poleni sana wafiwa. Ninamuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu wote mahali pema peponi, Amina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom