Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

Kuna udhibitisho gani kuwa ni ccm, kwani hayo ndio mauaji ya kwanza kutokea Igunga?, au kwakuwa yametokea wakati wa uchaguzi yanahusishwa na siasa?
kichwa cha nazi wee.
Masaburi yako yanafanya kazi kufikiri badala ya kichwa.
 
Mpaka ifike 2015 sijui Tanzania itakuwaje kiuchumi,kimaadili ya viongozi wetu,yapo mengi Ila hali ikiendelea hivi sijui itakuwaje
 
Green guards siku ya kufa kwao lazima kila moja aliwe tigo halafu akikata roho anachomwa moto

wewe apo ndo uliwe tigo af uchomwe moto.unaonaje hyo....tulishasema apa great thinkers,acheni kukurupuka usingizini na kupost apa jf.think first then write plz.taifa linaitaji mawazo yetu,nyie mnatumia mda kutukana...aibu sana.
 
sasa naona mambo ya Libya yanakuja Tanzania. wamesahau kuwa Gadafi pamoja na kuwapa Wananchi wake kila walichokuwa anasikia ni Maendeleo lakini leo hii wamemfukuzia mbali kama Jambazi na mkimbizi asiye takiwa kabisa nchini
 
Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!
sasa nishaelewa ile kauli ya Nape aliyoisema siku moja mbele ya waandishi wa habari "kitakachotokea tusilaumiane".
 
Ooh! I'm shocked by these series of bad news from Igunga their blood wont rest untill their killers pay for what they did. The killing of pro CDM citizens is as bad as declaring of war of each other i mean it's war between ccm and remaining citizens who want fairness, rights and freedom. I foresee freedom fighters are going to win this war no matter how long it might take. Our GOD is with righteous so guys dont worry keep on praying and we will have free Tanzania free from these black boers. For CDM as political party should not leave these killings go in vein it's its duty to inform all stakeholders and take strong actions before it's too late. Yersterday i heard CDM's announcement concerning death of hero M.M Masound via startv although i didnt get all details so anybody with info please.
 
AWAMU YA PILI YA MAITI YA MA-KADA WA CHADEMA IGUNGA:
WA-TANZANIA TUNADAI MAJIBU YA KINA, HURU, HARAKA NA WATU KUWAJIBIKA UPESI BILA MZAHA!!!

Hakuna mtu au kikundi kilichowahi kushinda vita dhidi ya Umma. Hakuna mahala ambapo wauaji hawa watakapoweza kujificha wasionekane.

Hakuna hata mfadhili mmoja wa mauaji haya ya kinyama (mtu, kundi au taasisi) itakayoteleza mbele bila damu hizi zilizotapakaa mikononi kuwaumbua mbele ya kandamnasi. Hakika hakuna atakayeweza kuitawala Tanzania kwa njia ya kumwaga damu za raia kwa sababu tu ya itikadi tofauti kichama.

Viongozi wetu wa dini zote nchini, sisi vijana tunasema mauaji haya KAMWE HAYAKUBALIKI. Enough is enough CCM. Mwenye kubahatika picha nyinginezo za hawa marehemu wetu wapia pamoja na taarifa nyinginezo muhimu atumwagie hapa tafadhali.

Hata kama wauaji hawa wako juu ya sheria za nchi yetu ya Tanzania, naamini kwamba HAWAKO JUU YA SHERIA ZOTE DUNIANI. Marehemu wetu laleni kwa amani; haki yenu haitopotea hata kabla ya jua ya UTAWALA WA KISHERIA DUNIANI kuzama.

(1) CHADEMA yetu nendeni kwenye maeneo yote ya tukio Igunga,

(2) Wanaharakati rudini Igunga kwa kila kitongoji,

(3) Kaamati ya Haki za Binadamu CDM andikeni barua rasmi kwenda ICC kuelezea hofu yetu kwamba kuna wasiwasi mkubwa

(i) mauaji ya raia,
(ii) vitendo vya ubakaji,
(iii) utekaji,
(iv) uchomaji mali zinazotiliwa shaka kufanyika na KIKUNDI CHA KIGAIDI nchini kwa kile kinachoelezewa kuwa ni msaada wa taasisi nyeti za kiserikali na pia ambacho wafadhili wake hudhaniwa kuwa wamo ndani ya serikali ya sasa.

(4) Wananchi TUOMBE TAASISI HURU isiyokua na uhusiano wowote na utawala huu wa CCM kuja kuchunguza mauaji haya - FBI na Scotland Yard au ICC.

(5) Usiku ule wa 'Matokeo ya Nape' Igunga, nilipata kuwaandikieni humu kwamba HAKUNA UCHAGUZI WOWOTE ULIOFANYIKA IGUNGA kama vigezo ni 'HURU NA WA HAKI'.

Na leo nawaambieni kwamba
kuna tetesi zinazokwenda hewani hivi sasa toka Igunga kwamba kuna miili ya Wa-Tanzania, hasa waliotokea mikoa mingine kuja kulinda kura Igunga na wengine wengi wakiw ni Ma-Kada wa CHADEMA waliopolewa majumbani usiku wa kuamkia uchaguzi ule mdogo, kibao imezikwa chini ya ardhi kwenye kwenye pori kaburi la pamoja Igunga.

Hayo maafa yote yadaiwa kutokea usiku wa kuamkia uchaguzi Igunga kufuatia matangaza ya afisa mwandamizi wa Chama tawala kwenye vyombo vya habari huku wakionyesha kupinga ujio huo hivyo kuamua kupambana nayo hadi umautini. Kama ni kweli au la, hilo litakua ni jukumu la chombo huru ya uchunguzi usiotokana na serikali kutoa majibu hayo.

Vile vile vyanzo hivyo vitakavyohitajika kupewa ulinzi wa kisheria huko Igunga vinaelezea kwamba huo hasa ndio sababu kubwa ya mambo mazito yaliotokea usiku huo ndio uliochangia watu wengi mno kutokuonekana vituoni siku ya siku watu kupiga kura.

Wakati kunaelezwa kwamba idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Igunga ni 171,000, ni wati chini ya 60,000 tu ndio wanaosadikiwa kushiriki uchaguzi huo; tafakari!!!!!!!

Japo uchaguzi Igunga haujamridhisha hata Dr Kafumu mwenyewe na Damu hizi zote mikononi mwake na Wa-Tanzania kumlilia na chama chake, ishara ya alama hizi ni za hatari zaidi ZISIZOWEZA KUACHIWA KWENDA HIVI HIVI na taswira zake hasa tukielekea uchaguzi mkuu 2015.

Wa-Tanzania TUNATAKA MAJIBU YA KINA TENA YA HARAKA ZAIDI ZENYE HAKI NA MIKONO HURU.

Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!
 
Viongozi wa CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA narudia tena jamani viongozi wa CHADEMA. Chonde chonde fanyeni uchunguzi wa kina jamani, kama kweli haya yanatokea halafu nyinyi mko kimya nini tafsiri yake? Tunataka mkaweke kambi na kufanya uchunguzi wa kina inawezekana kabisa kuna mambo makubwa sana yamefanyika na msipoangalia mtageuziwa kibao, maana hata polisi wenyewe wanafanya kazi kwa shinikizo japo nafsi zao hazipendi. FANYENI UCHUNGUZI WA KINA TENA HARAKA, MSIPOFUATILIA KWELI HATA NYINYI HATUTAKUWA NA IMANI TENA. Ukimya wenu unatutia wasiwasi sana.
 
Jamani.....Jamani... Jamani! Hasira nilizonazo nahisi kuchanganyikiwa.
 
Nimeumia sana. Jana Nape amefanya mahojiano na Mliman TV aliyoyazungumza na hii taarifa naona kama ameusaliti uma.
 
Ingawa inasikitisha wakati wowote uhai wa binadamu unapotolewa, lakini wana JF kuna umuhimu wa kutokukimbilia conclusion ambazo zinaweza kupeleka nchi kwenye machafuko.

Ukisoma hiyo habari vizuri, utaona mwandishi kaweka angalizo la Taarifa za awali...

Halafu akaja kusema watoto wa diwani ambao ni maarufu kwa ujambazi...

Tukiweka ushabiki wa vyama pembeni. Pamoja na vile mwandishi anavyopenda wasomaji wake walitazame.
Inawezekana taarifa isiwe sahihi, inawezekana ikawa imeongezwa chumvi ili ikamilishe malengo ya kisiasa au
inaweza kuwa ni tukio ambalo ni purely la uhalifu kama uhalifu mwingine wowote. Kwani naamini ili mtu uwe
maarufu kwa ujambazi lazima utakua na historia ya matukio ya kutisha siku za nyuma.

Ni vyema chombo huru kifuatilie na kutoa taarifa iliyo kamili, kuliko vyama vya siasa kuingilia uchunguzi.
 
kichwa cha nazi wee.
Masaburi yako yanafanya kazi kufikiri badala ya kichwa.

Kama ni kweli kuna hayo mauaji, basi ni watu wenye lugha kama hizi tu ndio wanaoweza kufanya mauaji ya kipuuzi! Hivi unajisikiaje mtu ameongea lugha ya kawaida kabisa halafu wewe unamtukana?!
 
Viongozi wa CHADEMA, Viongozi wa CHADEMA narudia tena jamani viongozi wa CHADEMA. Chonde chonde fanyeni uchunguzi wa kina jamani, kama kweli haya yanatokea halafu nyinyi mko kimya nini tafsiri yake? Tunataka mkaweke kambi na kufanya uchunguzi wa kina inawezekana kabisa kuna mambo makubwa sana yamefanyika na msipoangalia mtageuziwa kibao, maana hata polisi wenyewe wanafanya kazi kwa shinikizo japo nafsi zao hazipendi. FANYENI UCHUNGUZI WA KINA TENA HARAKA, MSIPOFUATILIA KWELI HATA NYINYI HATUTAKUWA NA IMANI TENA. Ukimya wenu unatutia wasiwasi sana.

Viongozi wa CDM hawako kimya, unahisi kwamba wapo kimya kv hamna ki2 kama hicho. Viongozi wa CDM wapo makini, ni mashabiki wa CDM ndio wanaokipa CDM taswira mbaya kwa wananchi. Kwa Slaa huyu ninayemfahamu mimi, asingeweza kuwa kimya hata chembe endapo hilo jambo lingekuwa kweli. amewashitukia mashabiki, kwamba mnampotosha kwa kauli zisizo na maana!
 
wanatumia namna yoyote ili mradi wawepo madarakani,hili kwa kweli watanzania wote tunapaswa kulaumiwa.Sijasikia kwenye media suala hli likipewa kipaumbele.CCM WATAENDELEA KUTUUA HUKU TUMEKAA KIMYA KAMA VILE ALIYEUAWA NI MBWA.Eti ccm inadumisha amani! pumbvvuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom