Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata

STRONG GIRL

Member
Jan 7, 2012
13
3
JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa kutoa mafuta kwa ajili ya meli na boti zilizojitolea kwa ajili ya uopoaji wa maiti.

Taarifa fupi ya habari iliyorushwa na TBC 1 jioni hii imeonyesha maiti zikielea hovyo majini, huku waokoaji wakisema kama zitachelewa kuopolewa basi zitapotea na hatutaambulia maiti za wapedwa wetu. bunge limesimamishwa sijui masaa yote hayo limeshidwa kupata njia ya kuzitoa majini, au ndo tuseme wamejifungia ndani nao wanalia?. au hakuna bajeti? NI AIBU NA FEDHEHA KWA SERIKALI KUKOSA MAFUTA KWA AJILI YA MELI ZINAZOENDA KUOPOA MAITI HUKO ZANZIBAR
 
I expected this there is nothing new hapa kwa serikali na viongozi legelege kawatafute mnadani watakuwa wanakula nyama choma saa hizi huku wakipeana yanayojiri.
 
Watasema na hili liko mahakamani tusilijadili. Kumbafu zao na wezi wa kubwa wa pesa zetu. Na vifo hivi vitawarudia.
 
JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa kutoa mafuta kwa ajili ya meli na boti zilizojitolea kwa ajili ya uopoaji wa maiti.

Taarifa fupi ya habari iliyorushwa na TBC 1 jioni hii imeonyesha maiti zikielea hovyo majini, huku waokoaji wakisema kama zitachelewa kuopolewa basi zitapotea na hatutaambulia maiti za wapedwa wetu. bunge limesimamishwa sijui masaa yote hayo limeshidwa kupata njia ya kuzitoa majini, au ndo tuseme wamejifungia ndani nao wanalia?. au hakuna bajeti? NI AIBU NA FEDHEHA KWA SERIKALI KUKOSA MAFUTA KWA AJILI YA MELI ZINAZOENDA KUOPOA MAITI HUKO ZANZIBAR

kwa serikali yetu inavyopenda kuficha mambo wanaweza kutuma watu kwenda kuzizamisha. BTW hata wabunge nao walikimbilia kutaka bunge liahirishwe badala ya kusema wawe na session maalum ya kuongelea ufumbuzi wa tatizo, shame on them.
 
Hii ndo serikali legelege,

Weeeeeee we! We! rudia tukusikie! SERIKALI SIKIVU! SRIKALI MAKINI NA SASA TUNASONGA MBELE! HA HA HAAAAAAAAAA wacha ncheke mie! Poleni ndugu zet kwa msiba huu mkubwa. Hii ndo nchi yenu mliyopewa na Mnyaazi Mungu lakini mkapewa viongozi tepetepe!
 
Watasema na hili liko mahakamani tusilijadili. Kumbafu zao na wezi wa kubwa wa pesa zetu. Na vifo hivi vitawarudia.Poleni wote wanandugu waliofiwa na ndugu zao.
 
Kitengo cha maafa pale kwa maziri mkuu nacho ni maafa kwa taifa hili. Yaan mpaka maafa itokee ndiyo pesa zianze kutafutwa kwa kuzihamisha huko zilikopangiwa shughuli nyingine. Preparedness ktk disaster management yetu ni sifuri. Yaani hakuna jambo tunaloweza kusema tuko vizuri?? Hatujifunzi hata kidogo. Pitiful situation
 
Mi nafikiri kuna baadhi ya viongozi nikibahatika kukutana nao lazima nitawang'ata sikio!!.
 
[h=1]Body count at 12 after former state ferry sinks off Zanzibar[/h][h=2][/h]
  • COMMENT (1)
  • [COLOR=#036DBE !important]SHARE
[/COLOR]

WSDOT
MV Skagit during its time in Seattle

[h=3]Sponsored Links[/h]

DAR ES SALAAM, Tanzania —
Twelve bodies have been recovered after a former Washington state ferry that was sold to Tanzania sank off the island of Zanzibar.

The passenger-only MV Skagit was sold last year and transported to Tanzania to provide service between the mainland and Zanzibar.

According to BBC News, a rescue operation has been launched by navy and police.

The Navy said the boat got into trouble during strong winds.

According to the AFP news agency, so far, 12 bodies have been recovered along with 10 survivors.

The BBC said 31 children were believed to be aboard the boat during the two-hour journey.

Back
Top Bottom