Maiti tisa za mauaji yaliyofanywa na polisi leo Mbeya ziko mochwari

Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?

asset.jpeg sijuwi kama mwamvuli utakusaidiya chunguliya juu kumechafuka
 
Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
Ama kweli nimeamini mashetani ni watu!
 
OOOOOOOOOOOh, watu tisa ni wengi sana kwenye kisiwa cha amani, kama ni kweli basi tutarajie wengi baada ya mazishi hapa lazima kulipa kisasi.
 
Halafu naona kama vyombo vingi vya habari havikutoa hii habari kwa kina zaidi cjui tatizo nini yani hata bbcswahili nao kimya kabisa....

Lile TIMBWILI, halikuitishwa na wanasiasa, wanahartakati,wala wafanyakazi, lile limetokea kama ajali tu hivyo vyombo vya habari ni vigumu kuhudhuria.
vipi SUGU, mbona kimya?. anaweza kutoa tamko akiwa huko mjengoni.
 
Kamanda viöngozi wengi wanaakili za dada yangu FF. Kwao kifo cha rai yeyote yule hakina umaana wowote ule, ndo maana ni wachawi wakubwa.. Kwao wako tayari kuua saa yeyote ile ili kurinda maslahi yao.. Viongoz wengi wanadhan wanadamu wenzao ni panya(zuberi ocd) na kuona hawana haki ya maisha bora hayo n kwa vizazi vyao na ndugu zao. CCM kwao kuua c kitu alimradi wanabaki madarakani. Kumbe wapiga debe, wasukuma mikokoteni, wakulima na KCC wote ni watanzania. Dada yangu ff hata machinga wanapaswa kusikilizwa nao ni watu. Naamin hata kama nyie ni matajili bado hata kwenu kuna watanganyika wenye uhitaji... Labda kama tu wako wamekaa wakisubili wewe uwaletee unayefaaidi huu mfumo kandamizi. Sisi sote ni watanganyika ni lazima tuishi pamoja hata kama kudai haki kwetu ni kama twa onekana ni uhaini... Ooh najua mmezoea watanganyika wajinga, wenye maradhi na masikin ili tu mwendelee kuongoza. Viva Mbeya hata kama vibaraka wataua bado mby ya cimama... Mungu awapiganie na kuwapa ngùvu wote waliopoteza ndugu ktk hili.
Mkuu kwanini ufikiri wameshituka!!?

Yale ya Arusha, Tarime , Babati , Chuo Kikuu nk ..Yangewashitua na wala sio kuwashitua tu! Wangeyafanyia KAZI!!

Mkuu wewe umepenya hadi muachuari, umeona ulichokiona kitakuwa sehemu ya historia ya maisha yako, sikiza ..DOLA yoyote inayoona Maiti ni kitu cha kawaida ..yaani KIFO kwao ni jambo la mzaha mzaha ... Haimuogopi MUngu! UUNGU ...hauna mzaha na jambo lololte linalopelekea kifo! Kama sasa Watanznaia kifo kimekuwa kitu cha kawaid a..kama punda ua paka aliye gongwa na gari njiani ...UUNGU WA MWANADAMU amabao NI UTU wa Mtanzania uko hatarani. NI viongozi wote waliopo madarakani ..kama wamewekwa kusimsmis ..Ujenzi wa UFU na kwenye jamii yetu ..wajue wamefika mbali sana!

Mwito ni kuwa SIO VIOGOZI wote wamefikia hapo! Wale wenye Utu na Ubinadamu wa jamii ya Kitanzania wajitokeze na kupinga Haya Hadharani!! Nini kinawazuia??
 
ila muda huu wanajeshi wnapita mtaani tu. na magari yanapita vizuri tu labda tusubili jioni au usiku maana mambo bado, best tufanyie faster hizo picha za mochuali.
 
Watu tisa waliouawa leo wako kwenye mochwari ya Rufaa.
Polisi mpaka muda huu wamekaa kimya wakati ni wao waliowaua kwa risasi. Nimezipiga maiti hizo picha kwa camera ya simu ndo maana sijaziatach, kesho zitakuwa hewani

mpaka sasa kesho bado?
 
Back
Top Bottom