Maisha

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,567
2,063
Neno dogo lenye maana pana, angalia;- M=malengo ni dira ya mafanikio. A=Angalia walioko chini, kwani maisha ni kupanda na kushuka. Na chochote upewacho ni mtihani kwako. I= Ishi kama dunia ni kitu cha mpito, wakati huo huo juwa tuko katika foleni. S= Saidia masikini, mafukara, yatima na wajane kadri hali inavyoruhusu. H= Hangaika kutafuta rizki za halali na wala usimdhulumu mtu. A=ALLAH (S.W) usimsahau. MUOMBE, MUABUDU na MSHUKURU SANA.
 
Ahsante mkuu! Post yako ni muhimu, na adhimu pia , nathibitisha kuyafanyia kazi uliyotuasa .
 
Back
Top Bottom