Maisha yangu yapo Hatarini jamani...Nifanyeje?

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Hali ya maisha yangu jamani imeanza kuwa tete, kamshahara kangu ni ka kima cha chini... vibiashara vidogo vidogo ndo vinavyoniongezea kashilingi ka kusukuma maisha yangu... Hapa mtaani kwetu hatuna umeme leo siku ya tano... hvi hii serikali yetu inatufikiria kweli wananchi wa kawaida? wanataka tukaibe?

Kwangu sababu za kutokapatikana umeme wanazotoa haziniingiii akilini, na inaniuma sana kwa kodi nazokatwa kwenye kamshahara kangu na vilevile hata kwenye vibiashara vyangu.. zinakwenda wapi? auhawa viongozi wetu hawaexperience hili tatizo huko Oyesterbay na masaki? au serikali imewapa super power jenerators?

Kinachonishangaza nimeenda kulipa billl ya umeme deni langu limezidi 10,000 ya bili ya kawaida ninayolipa, kila mwezi bili inazidi na mgao upo palepale.. jamani jamani..

Namchukia sana huyo mtu anaeitwa Ngeleja... sijui nikimuona kama sijatema mate, Namchukia sana Kwikwete mtu asiyejua au hata kuzungumza na wananchi walipa kodi masuala hatari kama haya, Nachukia sana wabunge wanaopitisha hoja kwa 100%, Namchukia sanaWaziri mkuu kwa kuwa hana tamko lolote la nguvu na la ukali analotoa juu ya tatizo hilo la kitaifa.. , soko gani la ajira liliongezeka hapa, wanataka vijana warudi mtaani?

.............kwanini wasifanye janga la umeme ni janga la kitaifa... Kila siku tuna mpango tuna mpango... this is too much...
N
 
We hujui kuwa tuko katika zama za maisha bora kwa kila mtanzania!, uko wapi wewe!?
 
Hakuna jipya kwenye utawala huu,labda yafanyike mageuzi makuwa ndiyo unafuu wa maisha kwa kila mtanzania utapatikana!!
 
Kila siku nafikiria hivi rais wetu yupo nchini kweli? mbona hasemi kitu au kule magogoni kuna umeme unatoka USA? kweli inasikitisha sana na nchi hii itakuwa mbaya pale tutakapo choka na kuamua kuingia barabarani mtatukoma haki ya Mungu lazima nikanunue AK47 siku hiyo....tuna mkenya hapa kazini anatutukana sana hatujijui umeme tuwauzie halafu tunabaki na mgao? nini maana ya miaka 50 ya uhuru? kweli nina hasira sana na nchi hii hawajui tu....UDOM, SAUTI, DUCE, UDSM na kote kwingine wanarudishwa home eti hawana tuition fee, wakati hizo pesa zinatumwa direct kutoka HESLB na kwenda chuoni sasa mwanafunzi unamrudisha wa nini si fukuza mkurugenzi wa mikopo? shit.
 
Hii tanzania ya amani wanayosema ipo siku watajutia na wataisikizia uhamishoni... Raisi, waziri mkuu hata hata tamko??? wiki watu hatuna umeme na wanalijua wanafanya wamefumba macho... unafiki mtupu
 
Nayasubiri kweli mapinduzi ya nchi hii... nitashiriki nakula yamin (naapa)
 
Megawati 50 zitaongezwa kwenye gridi hivi punde, pia kuna megawati 200 zitapatikana mara baada ya mitambo mipya. Tuna mpango wa wa kupata megawati 196 kutokana na makaa ya mawe na megawati nyingine 150 zitatokana na kuongezwa kwa matumizi ya gesi ya songosongo.
Sasa wee unalalamika lalamika nini?

CCM Hoyeeeeeeeeeee!!!.....
 
Hali ya maisha yangu jamani imeanza kuwa tete, kamshahara kangu ni ka kima cha chini... vibiashara vidogo vidogo ndo vinavyoniongezea kashilingi ka kusukuma maisha yangu... Hapa mtaani kwetu hatuna umeme leo siku ya tano... hvi hii serikali yetu inatufikiria kweli wananchi wa kawaida? wanataka tukaibe?? Kwangu sababu za kutokapatikana umeme wanazotoa haziniingiii akilini, na inaniuma sana kwa kodi nazokatwa kwenye kamshahara kangu na vilevile hata kwenye vibiashara vyangu.. zinakwenda wapi? auhawa viongozi wetu hawaexperience hili tatizo huko Oyesterbay na masaki? au serikali imewapa super power jenerators ?? . Kinachonishangaza nimeenda kulipa billl ya umeme deni langu limezidi 10,000 ya bili ya kawaida ninayolipa, kila mwezi bili inazidi na mgao upo palepale.. jamani jamani..
Namchukia sana huyo mtu anaeitwa Ngeleja... sijui nikimuona kama sijatema mate, Namchukia sana Kwikwete mtu asiyejua au hata kuzungumza na wananchi walipa kodi masuala hatari kama haya, Nachukia sana wabunge wanaopitisha hoja kwa 100%, Namchukia sanaWaziri mkuu kwa kuwa hana tamko lolote la nguvu na la ukali analotoa juu ya tatizo hilo la kitaifa.. , soko gani la ajira liliongezeka hapa, wanataka vijana warudi mtaani??
.............kwanini wasifanye janga la umeme ni janga la kitaifa... Kila siku tuna mpango tuna mpango... this is too much...
N

Hapo kwenye bold " Kwere kaishiwa uongo ndio maana hotuba za kila mwezi hazipo tena kwani kashamaliza uongo wote kwa watanzania"
 
Megawati 50 zitaongezwa kwenye gridi hivi punde, pia kuna megawati 200 zitapatikana mara baada ya mitambo mipya. Tuna mpango wa wa kupata megawati 196 kutokana na makaa ya mawe na megawati nyingine 150 zitatokana na kuongezwa kwa matumizi ya gesi ya songosongo.
Sasa wee unalalamika lalamika nini?

CCM Hoyeeeeeeeeeee!!!.....

kwa mipango ya kwenye makaratasi tu hatujambo!!
 
Nachukia sana wabunge wanaopitisha hoja kwa 100%, Namchukia sanaWaziri mkuu

N
Nawachukia watu wote wanaoshabikia sera mbaya za ahadi ahadi za CCM
Namchukia Malaria Sugu, Faiz Fox, Riz1 na wote wanaotetea upupu wa CCM ndani na nje ya JF
Namchukia........
 
Hakuna jipya kwenye utawala huu,labda yafanyike mageuzi makuwa ndiyo unafuu wa maisha kwa kila mtanzania utapatikana!!

Mageuzi umekosea. ebu fatilia hali ya misri na wamisri before and after mageuzi uone majuto waliyonayo. Jamanai serikali inaonekana kuchemsha katika hili ebu basi matajiri wakubwa wazalendo na wananchi wote tuisaidie serikali. kwani tukiendelea kulalamika sana tunaumia sisi wenyewe. ebu wana siasa wote kwa pamoja na wadau wote wanaojiita wanaharakati wafanye dharula ya kuweka tofauti za kisiasa na wakae pamoja kutafuta ufumbuzi wa kitaifa wa kudumu. mambo hayaendi tanesco kwa sababu siasa imeingizwa kila sehemu kiasi kwamba wazo hata likiwa zuri lakini likawa limetolewa na chadema au Cuf ccm wanaona halina mpango, kwa style hii anayeumia ni mwananchi.
 
Kumbe Megawatt na umeme ni vitu viwili tofauti kwani kila wakiulizwa wanaongeza megawatt ila matokeo tunayoona siyo kusikia ni kuwa umeme hakuna - Nachukia, najutaJK kuitwa rais wangu - rais anayejijali yeye na watu wake tu- rais asiyejua shida za watu wake

Na amini ipo siku CCM na watu wao watakuwa makumbusho na historia
 
raisi wetu mara ya mwisho kumuona kwenye vyombo vya habari au kumsikia ni wakati wa mabomu ya gongolamboto tu, zaidi ya yote namsikia akiwa kwenye tafrija au safarini.
 
Natamani ningekuwa malaika, nikatua kila kwenye nyoyo za wabunge woote bungeni na kurudisha nia zao za umoja (si siasa) na kufanya maamuzi mazuri kwamba ukiacha budget ya wizara ya afya, Elimu na chakula, pesa zote zilizobaki zingeshughulikia kwanza suala la umeme, then budget ya mwakani ndo tukarudi kwenye miundo mbinu, utalii, maposho /semina na safari za viongozi wa serikali... hiyo pesa ingetumika kutatua tatizo la umeme kwanza
 
Hali ya maisha yangu jamani imeanza kuwa tete, kamshahara kangu ni ka kima cha chini... vibiashara vidogo vidogo ndo vinavyoniongezea kashilingi ka kusukuma maisha yangu... Hapa mtaani kwetu hatuna umeme leo siku ya tano... hvi hii serikali yetu inatufikiria kweli wananchi wa kawaida? wanataka tukaibe?

Kwangu sababu za kutokapatikana umeme wanazotoa haziniingiii akilini, na inaniuma sana kwa kodi nazokatwa kwenye kamshahara kangu na vilevile hata kwenye vibiashara vyangu.. zinakwenda wapi? auhawa viongozi wetu hawaexperience hili tatizo huko Oyesterbay na masaki? au serikali imewapa super power jenerators?

Kinachonishangaza nimeenda kulipa billl ya umeme deni langu limezidi 10,000 ya bili ya kawaida ninayolipa, kila mwezi bili inazidi na mgao upo palepale.. jamani jamani..

Namchukia sana huyo mtu anaeitwa Ngeleja... sijui nikimuona kama sijatema mate, Namchukia sana Kwikwete mtu asiyejua au hata kuzungumza na wananchi walipa kodi masuala hatari kama haya, Nachukia sana wabunge wanaopitisha hoja kwa 100%, Namchukia sanaWaziri mkuu kwa kuwa hana tamko lolote la nguvu na la ukali analotoa juu ya tatizo hilo la kitaifa.. , soko gani la ajira liliongezeka hapa, wanataka vijana warudi mtaani?

.............kwanini wasifanye janga la umeme ni janga la kitaifa... Kila siku tuna mpango tuna mpango... this is too much...
N

you are not alone.... tupo wengi mkuu

change must come now!! and we can drive it
 
nchi haina uongozi tena,tuliye mkabidhi amebonyeza auto button yaani inajiendea yenyewe tu....sijui wakati wa kutua itakuaje.kama wananchi walio wengi wange kua nafikira kama zangu ni bora tungewapa CDM watutatulie hili tatizo!
 
Me nasema si lazima Chadema tu...hata angetafutwa mtu binafsi hata kama bakhresa tukamwambia tuendeeshee nchi kwa muda tu... maana ukisema chadema watasema uchochezi siasa......Hii nchi JK imemshinda kabisa.. ni umbumbumbu tu wananchi wachache wanaonunuliwa kwa doti za kaka, fulana, kofia na mabango ya kuziba matundu ya mchwa nyumbani mwaooo........Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom