TWALICIOUS
Member
- May 26, 2011
- 42
- 0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika vyuo tofaut nchi kukosa Mkopo ukilinganisha uwezo wa wazazi wao kuwa wa chini hali hii imewafanya baadhi ya wanafunz hao kupachikwa majina kibao kama vile NO LOANS member na kusababisha kuishi maisha magumu chuoni mbali na hapo kuna ishu za kubebana kwenye vyumba utakuta baado kuna changamoto nyingi chuoni na kupelekea watu kutosoma kwa raha na hatimaye kushindwa masomo yao........nini kifanyike kuepka swala hili...