Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Wewe na wewe inakuhusu mtoto si wako au kama sio dada yako yakuhusu nn? wewe heshima yako unaiona? Take care of your business and leave others alone....
 
mi naona nye** tu znawasumbua.. yani wanavoangaika,utafikiri wameingiziwa upupu,haswa vi first yr na 2nd yr tn wa fass
 
Nakubali kabisa tatizo ni malezi na kufuga sana watoto wakipewa uhuru hawajui jinsi ya kuutumia.

Nakumbuka chuo kuna mdada alikuwa mzuri kweli kweli basi akajipatia kijana wa kiarabu. Kijana kamnunulia kila kitu room. Basi alikuwa anaona by then maisha kayapatia kweli. Vitu vyenyewe basi ukipiga mahesabu havifiki milioni. TV ndogo, friji ndogo na deki. Kaka mwenyewe watu walikuwa wanasema ni positive; isitoshe hajasoma ni mfanya bishashara uchwara, ana kagari basi ndio kalikuwa kanamzingua binti. Leo hii binti ana kazi nzuri naona atakuwa anajutia uhusiano wake, maana jamaa alichukua jumla na mdada ndio anatunza familia kwa sasa mwanaume mishe mishe. Kila mtu alikuwa anamsikitikia dada kwani ushamba wake ulimfanya aone amepata kumbe vitu alivyokuwa anahongwa kwa sasa anaweza nunua kwa mshahara wake mmoja.

My dad alinifundisha kuwa masikini jeuri. Wakati nasoma nilikuwa na vision ya kuwa na maisha mazuri through my education si through buzi wala kuolewa. Kwani hao mabuzi ela walizipata vipi na mimi nishindwe kuwa na zangu ndivyo nilivyokuwa najiambia. Wafundisheni watoto kuwa na subira na kuwa wanaweza. Wasitumie uanamke wao kama mtaji.

Wenye watoto wa kike waleeni watoto wenu kuwa independent watachukuliwa sana kwa chips kuku. Mimi nina watoto wa kiume tu challenges zangu ni tofauti
 
Mpaka hapa umeninyima raha ya kuendelea kuchangia!MAVAZI NI UHURU WA MTU NA TABIA NI HULKA!Kwani akionyesha mapaja ndo ana tabia ulizotaja

MAVAZI NI UHURU WA MTU NA TABIA NI HULKA of Course lakini ukivaa kihasara hasara ni Invitation to Treat. Yaani unauza, je wewe unayejiheshimu na yule asiyejiheshimu tumutofautishe vipi. Wanaume hatupendi muwe uchi sasa kwa nini mwabisha, yaani hata ukibakwa na ukafika mahakamani si unajitetea nilikuwa na mfadhaiko alivaa hivi na akiwa anataka kunibaka.
 
Asanteni mwanangu wa kike hatasoma bongo univashte. period!
Mkuu labda umfundishie chumbani kwako, otherwise as long as yuko hapa duniani atakabiliana na hizi changamoto utake usitake. La msingi jitahidi kumlea mwanao katika mazingira yatakayomwezesha kupambana na changamoto hizo vizuri.
 
wanafunzi wengi ni kundanganyana tu maana wengi hawajua nini wanafanya na mwisho ni majuto.
 
Nakubali kabisa tatizo ni malezi na kufuga sana watoto wakipewa uhuru hawajui jinsi ya kuutumia.

Nakumbuka chuo kuna mdada alikuwa mzuri kweli kweli basi akajipatia kijana wa kiarabu. Kijana kamnunulia kila kitu room. Basi alikuwa anaona by then maisha kayapatia kweli. Vitu vyenyewe basi ukipiga mahesabu havifiki milioni. TV ndogo, friji ndogo na deki. Kaka mwenyewe watu walikuwa wanasema ni positive; isitoshe hajasoma ni mfanya bishashara uchwara, ana kagari basi ndio kalikuwa kanamzingua binti. Leo hii binti ana kazi nzuri naona atakuwa anajutia uhusiano wake, maana jamaa alichukua jumla na mdada ndio anatunza familia kwa sasa mwanaume mishe mishe. Kila mtu alikuwa anamsikitikia dada kwani ushamba wake ulimfanya aone amepata kumbe vitu alivyokuwa anahongwa kwa sasa anaweza nunua kwa mshahara wake mmoja.

My dad alinifundisha kuwa masikini jeuri. Wakati nasoma nilikuwa na vision ya kuwa na maisha mazuri through my education si through buzi wala kuolewa. Kwani hao mabuzi ela walizipata vipi na mimi nishindwe kuwa na zangu ndivyo nilivyokuwa najiambia. Wafundisheni watoto kuwa na subira na kuwa wanaweza. Wasitumie uanamke wao kama mtaji.

Wenye watoto wa kike waleeni watoto wenu kuwa independent watachukuliwa sana kwa chips kuku. Mimi nina watoto wa kiume tu challenges zangu ni tofauti
Thanks for your busara, I hope wamekusikia
 
Lakini na hii mibaba mizima kutwa kucha kufukluzia watoto wa wenzao huko vyuoni hawaoni hata aibu jaman?? basi waende kwa wakubwa wenzao sio kwenda huko vyuoni kurubuni watoto wa watu...na Mungu atawalipia tu, unapoharibu wa mwenzako na wako huko anaharibiwa!! Kuna jibaba flani lilipotea kwenye makorido ya mabibo blok B likiwa na bukta tu, likajikuta linatokea ka waden likaoneshwa mlango wa kutokea, bila hata aibu baada ya kupata huduma tena kwa kuwa-exile ma roommate likawa linaenda wash room (tena kwa wanawake)....yani mambo mengine hata wewe mwenyewe ukiyafikiria kama wewe ndio mtendaji unajionea aibu...

Wababa acheni tabia za kuwaharibu watoto wa wenzenu kwa kutumia vihela vyenu mlivyopewa na Mungu
 
Mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.

Hivi kwanini, utakuta dogo kamaliza kidato cha sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?
hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? Nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.

Wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.

Nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuoni inatokana na nini? Na kwanini wanafanya hivyo hali wakijua wanatoka kwenye familia za namna gani?

Tatizo ni umaskini na ulimbukeni tu....
 
Back
Top Bottom