Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Habari wakuu kwa kweli nakwera sana na tabia ya dada zetu hasa hawa wa vyuoni .kwa miaka minne niliyo kaa mlimani hili jambo limenisumbua sana ,maana tulipokuwa tunaanza chuo (ntatumia udsm as my reference) wadada wengi walikuwa wastaarabu wanajiheshimu sana .lakini baada ya kukaa ka semister na kupata kabumu kuanza kutumia vimemake up tu shida inaanza mabadiliko ya ghafla .na kunatabia kubwa wanayo dada zetu ya kurubunika kirahisi kwa tamaa za muda mfupi na kupenda makubwa huu umambo sasa(the mordenazation) kwa dada zetu unawaharibu. nina ushahidi kwa hili wasichana wengi pale chuoni wana hii tabia kwangu naona ni chafu sana ya mafiga matatu/Mwanaume zaidi ya mmoja (bwana wa madesa (kisovio)/mtu wakumsaidia kwenye masomo,beedeshe kwa ajili ya pesa ya matumizi akiishiwa bumu na handsome boy kwa ajili ya mitoko na show up za kizembe) kwa kweli dada zetu wanapokuwa vyuoni they are too material ,realistic hakuna wanasahau ulimwengu hauko hivyo
kuna maswali ningeomba dada zangu niwaulize hivi
as intelectual ya kupasa ufanye huu ujinga?
Hivi ukimaliza chuo cant you earn money na wewe uwe na gari lako au ndo mwanamke ameumba kwa utegemezi sawa ,but haki sawa maanake nini?
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ?
DADA ZANGU JIHESHIMUNI NYIE NDO MAMA WATOTO ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO TAIFA LETU LITAKUWA LA NAMNA GANI JAMANI !!!!!!!!!!!!!!

...mnh, kwakweli hii ni hatari.

Wewe unawashauri wawe vipi sasa?
I mean, kati ya hao wanaume watatu, yupi bora?
 
Hehehehehe...they are to material and not realistic!Hehehe!Nwyz inawezekana wengi hawapo humu kwa hiyo print hii kitu uwabandikie kwenye notisi bodi ili wajue wakaka hampendi kuharibiwa wake zenu watarajiwa na wazee!
 
yawapasa dada zetu kwanza watambue wamefuata nini chuo.kuhusu la mwanaume YUPI abaki nae apo iko kazi maana ni mifano mingi ya rafiki zangu na jamaa wa karibu wanachanganyikiwa sana huwa wanakuwa na urafiki na wasichana toka o-level au a-level na msichana wakifika chuo msichana anakupiga chini sijui inawakumba nini dada zetu .jamani dada zangu kuweni realistic.so wajitahidi kuwa na MPENZI MMOJA WA DHATI AND IT IS POSSIBLE KWANZA AFTER ALL SIONI HAJA YA MDADA WA CHUO KUTAPATAPA HIVYO.
 
Umepolwa na majibaba yenye pesa zao maana cku hizi kuna vi vitz 7 m tu wanavigawa kama pipi vyuoni
 
Hehehehehe...they are to material and not realistic!Hehehe!Nwyz inawezekana wengi hawapo humu kwa hiyo print hii kitu uwabandikie kwenye notisi bodi ili wajue wakaka hampendi kuharibiwa wake zenu watarajiwa na wazee!
wazo zuri dada angu .naomba wewe na wenzio wenye mapenzi mema muwaelimishe wadogo zenu
 
Umepolwa na majibaba yenye pesa zao maana cku hizi kuna vi vitz 7 m tu wanavigawa kama pipi vyuoni
hakuna mkuu nimeona niwape nasaha dada zangu kwani sie ndo tutabaki na hii nchi madili yatatoka wapi wakiendelea hivi?
 
pia tambua uwepo wa wadada walio safi kimatendo ambao waliingia vyuo na kumaliza bila kubadilika.
pia kemea na wanaume wenye tabia za kubadili wasichana kama nguo.mtu anakuwa na msichana wa chuo,jimama la kumuweka mjini nk.
 
ni kweli mkuu na wala sijasema wote najua kuna wakidada wengi wanjiheshimu lakini mkuu key issue hapa dada zetu wajitahidi kubalidilika i know in the other side of coin kuna midume inachangia hili .
 
Nimekaa Mabibo Hostel 2 yrs from 2002. Hivi ile bar pale pembeni bado ipo??
Maana ndio ilikuwa kama ndo starting point kuu
 
ipo na sasa kuna gesti kibao karibu na vindanganyishi vya kutosha na wamejenga na hotel kubwa ukivuka barabara 2.
 
Habari wakuu kwa kweli nakwera sana na tabia ya dada zetu hasa hawa wa vyuoni .kwa miaka minne niliyo kaa mlimani hili jambo limenisumbua sana ,maana tulipokuwa tunaanza chuo (ntatumia udsm as my reference) wadada wengi walikuwa wastaarabu wanajiheshimu sana .lakini baada ya kukaa ka semister na kupata kabumu kuanza kutumia vimemake up tu shida inaanza mabadiliko ya ghafla .na kunatabia kubwa wanayo dada zetu ya kurubunika kirahisi kwa tamaa za muda mfupi na kupenda makubwa huu umambo sasa(the mordenazation) kwa dada zetu unawaharibu. nina ushahidi kwa hili wasichana wengi pale chuoni wana hii tabia kwangu naona ni chafu sana ya mafiga matatu/Mwanaume zaidi ya mmoja (bwana wa madesa (kisovio)/mtu wakumsaidia kwenye masomo,beedeshe kwa ajili ya pesa ya matumizi akiishiwa bumu na handsome boy kwa ajili ya mitoko na show up za kizembe) kwa kweli dada zetu wanapokuwa vyuoni they are too material ,realistic hakuna wanasahau ulimwengu hauko hivyo
kuna maswali ningeomba dada zangu niwaulize hivi
as intelectual ya kupasa ufanye huu ujinga?
Hivi ukimaliza chuo cant you earn money na wewe uwe na gari lako au ndo mwanamke ameumba kwa utegemezi sawa ,but haki sawa maanake nini?
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ?
DADA ZANGU JIHESHIMUNI NYIE NDO MAMA WATOTO ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO TAIFA LETU LITAKUWA LA NAMNA GANI JAMANI !!!!!!!!!!!!!!

Hawa jamaa wanaingizwa hadi ndani (Hostelini Mabibo) na vicheche vyao kwa kisingizio ni ndugu zao, tena wanakuja na maBMW, Volkswagen, Audi, other sexy cars
 
Inauma sana ndugu yangu but kizazi hiki ni laana kubwa!
ni kweli usemalo i.la dada zetu badilikeni yaani hizo nguo mnazo tuvyalia kwenye lecture mhh .jiheshimuni jamani mbona mnatakakupoteza thamani na urembo wa msichana wa kitanzania.
 
vizuri kwa hilo utakuwa unasaidia kutatua hakakatatizo sugu
Ila ntaanzia wapi kuelimisha watu wazima mimi?We nenda kawachane laivu...maana mambo yenyewe mi hata sijaona nasikia tu!Labda mnawasingizia..au mnaona wivu maana hao mapedeshee na wauza sura sio nyie!
 
Habari wakuu kwa kweli nakwera sana na tabia ya dada zetu hasa hawa wa vyuoni .kwa miaka minne niliyo kaa mlimani hili jambo limenisumbua sana ,maana tulipokuwa tunaanza chuo (ntatumia udsm as my reference) wadada wengi walikuwa wastaarabu wanajiheshimu sana .lakini baada ya kukaa ka semister na kupata kabumu kuanza kutumia vimemake up tu shida inaanza mabadiliko ya ghafla .na kunatabia kubwa wanayo dada zetu ya kurubunika kirahisi kwa tamaa za muda mfupi na kupenda makubwa huu umambo sasa(the mordenazation) kwa dada zetu unawaharibu. nina ushahidi kwa hili wasichana wengi pale chuoni wana hii tabia kwangu naona ni chafu sana ya mafiga matatu/Mwanaume zaidi ya mmoja (bwana wa madesa (kisovio)/mtu wakumsaidia kwenye masomo,beedeshe kwa ajili ya pesa ya matumizi akiishiwa bumu na handsome boy kwa ajili ya mitoko na show up za kizembe) kwa kweli dada zetu wanapokuwa vyuoni they are too material ,realistic hakuna wanasahau ulimwengu hauko hivyo
kuna maswali ningeomba dada zangu niwaulize hivi
as intelectual ya kupasa ufanye huu ujinga?
Hivi ukimaliza chuo cant you earn money na wewe uwe na gari lako au ndo mwanamke ameumba kwa utegemezi sawa ,but haki sawa maanake nini?
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ?
DADA ZANGU JIHESHIMUNI NYIE NDO MAMA WATOTO ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO TAIFA LETU LITAKUWA LA NAMNA GANI JAMANI !!!!!!!!!!!!!!

Unapata wapi muda wa kuchunguza wanafunzi wenzako? Nadhani masomo ya Chuo Kikuu kama "unasomwa kweli" usingepata muda wa kuwachunguza "Wadada" kiasi cha kufahamu mpaka wanafanya "ngono" na nini!

Soma kijana acha umbea - It does not help - Anywayz Karibu kijiweni uyaone zaidi ya hao
 
ni kweli usemalo i.la dada zetu badilikeni yaani hizo nguo mnazo tuvyalia kwenye lecture mhh .jiheshimuni jamani mbona mnatakakupoteza thamani na urembo wa msichana wa kitanzania.
We sasa unaanza kuchanganya mambo!Vazi na tabia wapi na wapi?Ina maana mtu akivaa tu jeans tite basi hajatulia?
 
Poleni sana vijana.... lakini msiwe na hofu uto tubinti tunatoharibika ni asilimia ndogo sana ya wanawake wazuri wanaofaa kuolewa huku duniani!!! Wewe wapotezee tu jifanye kama huwaoni na kama pedeshee ndo alikupora basi mwambie huyo dada asante kwani fainali ni huku duniani.... Endelea na life lako chapa shule ufaulu vizuri!!!
 
Back
Top Bottom