Maisha ya chuo Bwana acha tu!

Perception za watu znatofautiana kwendana na mazingira na jinsi wanavyopokea na kutafsiri vitu mbalimbali vnavyotokea katika maisha yao es. Mfano kama mhusika alikuwa na coursework nzr na alijiandaa vzur na final exam anaweza kujishangaa sana kwa kuwa na supplimentary. Hapa itabidi afanye self analysis lakin pamoja kuangalia factors nyingine kama mahusiano alyokuwa nayo na mwalim husika. Ila kwa mtu ambaye anajua kbs alikuwa na poor course work na hakuwa na maandaliz mazur anaweza akaichkulia kawaida ila ikawa ni challenge kwake kusoma zaidi il atoke.
 
Ndiyo, self-analysis ni mhimu sana. Bila ya hiyo unaweza kujikuta unamrukia mtu kichwa ukidhani yeye ndo kasababisha
 
Jaman wa2 wenye experience hv m2 akipata suprimentary for the first time huwa anachukulia vp the situation?

Inategemea sana umeamkaje siku hiyo. Inawezekana pia mtu anachanganyikiwa kiasi cha kukata tamaa hadi kuanza kuangalia uwezekano wa kusuluhisha tatizo hilo kwa kupanda juu ya ghorofa na kutafakari nini cha kufanya akiwa huko. Lakini suala la msingi ni kutulia na kulifanyia uchambuzi wa kina huku ukijiandaa kurudia mtihani na kuufanya kwa umakini zaidi.
 
Wala usife moyo just stay focused as long as you know wht you are doing and what you rely want... Waswahili wanasema kuteleza si kuanguka... Chkulia tu km umeteleza then formulate strategies ambazo ztakufanya uwe unaexcel kwenye masomo yako.. Good luck!
 
Yan we supp ndo inakuchanganya?ukidisco si ndo utajnyonga kabisa.
 
Kidogo naöna angalau napata moyo, maana nimekuta nakosa mwelekeo kabisaa

Kaza buti tu na ujue wewe si wakwanza kuwa na sup. Kuna watu walikuwa na sup karibu kila mwaka lakini upande mwingine anafuanya vizuri na course work yake inabaki pazuri tu. Mwisho wa masomo yake anajikuta ana GPA nzuri kuliko wale ambao hawajawahi pata hata sup moja!
Hivyo zile course zinazosomeka kwako hakikisha unafanya vizuri kwelikweli. Sup moja isikusumbue!!!

Nakutakia masomo mema.
 
Mimi nataka niwashauri vijana wote mlio chuo someni kwa bidii ndiyo lengo kama kwa bahati mbaya umepata sup au hata kudisco wengine usife moyo hiyo siyo mwisho wa dunia maisha yanasonga kuna watu nilikuwa nao chuo walidisco lakini walibadili mwelekeo kusoma vitu vingine na wamemaliza salama na wana kazi nzuri kuna mmoja ameshamaliza hata masters kwa hiyo sup ni sehemu ya maisha ya chuo kikuu wala msiumie ila msome msije mkajikamatisha
 
Supp mbona kawaida. Mi nashukuru semester 3 @udom sikua na supp. Naombea Mungu utawala wanirudishe maana nilikua sitegemei supp yoyote hadi namaliza
 
unasoma chuo kipi kwanza na kozi gani? kma ni udsm supp ni vi2 vya kawaida. m2 unaweza kupata supp 5 kati ya kozi 9. kama ipo ipo 2
 
unasoma chuo kipi kwanza na kozi gani? kma ni udsm supp ni vi2 vya kawaida. m2 unaweza kupata supp 5 kati ya kozi 9. kama ipo ipo 2

hapana bana ukipata sup 5 ni direct disco, kwan gpa itakuwa below 1.8. Kuna jamaa zangu 2 wame disco kwa departmental gpa, hii ni hatari
 
Back
Top Bottom