MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini.Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.
Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.
Nawasilisha.

Kumheshimu mkewe, kumpenda kwa mapenzi ya dhati, kumsupport kwa lolote lile ambalo mkewe anataka kulifanya kama litawaongezea kipato as a family kama kufanya biashara, kwenda shule na kuspend quality time together as a couple.

Kwa maoni yangu mke inabidi awe na uzuri wa kiasi fulani hata ukitoka naye unajisikiasikia ;) Imagine kuwa na mke mwenye sura kama Remmy Ongara ambaye mwenyewe kishasema sura yake ni mbaya...ukipita mtaani na watu wanamkata jicho mkeo unaanza kununa...LOL! just thinking aloud :)
 
Uzuri wa mwanamme ni UWEZO.
Uwezo wa kuilinda familia.

Uwezo wa kuilisha familia.

Uwezo wa kuitimizia mahitaji ya msingi.

Uwezo wa kutoa msimamo na uamuzi bila ya kuteteleka.

Huu ni uzuri wa asili wa Mwanamme aliyopewa na Muumba kabla ya kuingiliwa na Ufisadi a.ka. WIZI
 
Mwanaume mzuri ni mwenye sifa hizi ukiona hana achana nae usilazimishe tatizo la wanawake wengi iwa mnalazimisha mambo ndo maana mbeleni yanawashinda.
1.BED ROOM FACTOR
2.FINANCIAL FACTOR
3.RELATIVES je ndugu zake wana kukubali?
Nyie zungukeni lakini mwanaume bora anapatikana kwa vigezo hivyo hapo juu.Akimiss kimoja achana nae ukisema mbele kwa mbele baadae mnashindana mala mangumi mateke.
 
Naomba nikurekebishe kwa maneno tu lakini.Uzuri wa mwanamke ni utii,kwa maana kwamba mwanamke anapashwa kumtii mumewe.Na kwa upande wa mwanamme uzuri wa mwanamme ni kumpenda mkewe!

Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini.Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.
Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.
Nawasilisha.
 
Mwanaume mzuri ni mwenye sifa hizi ukiona hana achana nae usilazimishe tatizo la wanawake wengi iwa mnalazimisha mambo ndo maana mbeleni yanawashinda.
1.BED ROOM FACTOR
2.FINANCIAL FACTOR
3.RELATIVES je ndugu zake wana kukubali?
Nyie zungukeni lakini mwanaume bora anapatikana kwa vigezo hivyo hapo juu.Akimiss kimoja achana nae ukisema mbele kwa mbele baadae mnashindana mala mangumi mateke.

This is very very true
Hata mwanaume mwenyewe akijijua kuwa kameet mambo hayo hapo juu,anajua kabisa kuwa hamkosi mwanamke.
 
Uzuri wa mume ni upendo wa dhati kwa mkewe-na familia yake. Ni upendo ndio utamfanya awe na power to support familia.
Ni upendo ndio utampa nguvu ya kuprotect familia yake.
Ni upendo ndio utamfanya ampende mkewe na kumwamini.
Ni upendo ndio utamshibisha mume kwa penzi la mkewe
Ni upendo ndio utamzuia mume kumsaliti mkewe.
Ni upendo ndio kila kitu na mengine yote yatafuata.
Uzuri wa mke tabia na uzuri wa mume kupendwa.
Ukipendwa wewe mke waweza lala njaa na furaha moyoni.
Ukipendwa mwili wako unapata uwezo wa kutoa peenzi la shibe.
Ukipendwa hata utongozwe vipi hutongezeki.
Ukipendwa unapata furaha ya asili ambayo ndio esence ya life.
Ukipendwa unapata nguvu za ajabu kumfanya mumeo afanikiwe.

Hivyo amri kuu kuliko amri zote kwa wanandoa ni upendo.

Originally Posted by Fidel80 View Post
Mwanaume mzuri ni mwenye sifa hizi ukiona hana achana nae usilazimishe tatizo la wanawake wengi iwa mnalazimisha mambo ndo maana mbeleni yanawashinda.
1.BED ROOM FACTOR
2.FINANCIAL FACTOR
3.RELATIVES je ndugu zake wana kukubali?
Nyie zungukeni lakini mwanaume bora anapatikana kwa vigezo hivyo hapo juu.Akimiss kimoja achana nae ukisema mbele kwa mbele baadae mnashindana mala mangumi mateke.

Pasco, Fidel80.

Hayo ndiyo yenyewe hasa yakienda pamoja
 
Mwanamume mzuri; aha; hiki kiswahili nacho, kujali na kuiweka familia kwanza yaweza kuwa factor, lakini ufaijalije familia bila mafungu? mwanamume vijisenti bwana afu mambo mengine yanafuata. Ndiyo maana unaona majambazi wengi wanapendwa na vidosho wa nguvu kwelikweli. Na hata wale mashugamami huwa wanawakabidhi Serengetiboyz wao mafungu ili kuwapa ukamilifu fulani wa uwanaume wao.
 
...kwa ufahamu wangu, (kumradhi) wanawake wengi nimewasikia wakiwasifu wanaume kwa vigezo viwili;

1. Kwa uzuri wa sura/utanashati wake,

2. kwa uwezo/pesa zake.

...sasa labda WoS nawe useme kigezo gani utumiacho kwanza.
 
NDUGU YANGU!
Uzuri wa sura kwa mwanaume kama kipaumbele sijui. Utanashati sawa nakubali.
Kwangu mimi nina 5 non-negotiables:
1.Awe anajali, mwenye heshima na kumcha Mungu
2. Awe na zeal ya kujijenga kimaisha - kisomo, kazi au ujasiriamali na siyo mtu yupoyupo tu.Marriage is a partnership, the head must exhibit the potential to take on leadership.
3.Awe anajijali - msafi
4. Awe shupavu - mwanamme mwoga mhhh???
5.Ajue kupenda na kupendwa
 
Naomba kwanza turekebishe suali/hoja.Hii nadharia ya mwanamke tabia inahitaji ku-rejewa(reviewed). Haiwezekani katika kuamua partner wa maisha yako uamue/umpate kwa kigezo kimoja tu!!! Mwanamke ni zaidi ya tabia, na vivyo hivyo kwa mwanamume !
Baada ya hapo naomba kutoa hoja!
 
Naona hili neno " uzuri" linapotumika kwa mwanamke, halileti shida.Linapotumika kwa mwanaume linaleta taswira tofauti.Ni kwanini? Nijuavyo mimi uzuri huu hauna uhusiano na sura ya mtu bali ni sifa ya mtu mzuri ( a good man).Hivyo ndugu zangu msishtuke sana kusikia "mwanaume mzuri"...
 
Mwaume pesa jamani, hata ungekuwa handsome vipi ukajua kupenda kuliko adam na eve without money you are useless! mtashangaa sana nikisema hivi, lakini habari ndiyo hiyo.

Hapendi mtu ni "POCHI yako"
 
Mwaume pesa jamani, hata ungekuwa handsome vipi ukajua kupenda kuliko adam na eve without money you are useless! mtashangaa sana nikisema hivi, lakini habari ndiyo hiyo.

Hapendi mtu ni "POCHI yako"
CD umetoa kali...
Ina ukweli ndani japo watu wengi hawapendi kusema au kukubali.
 
...:D longo longo na tarumbeta nyiiiingi lakini ukweli unabakia, Kigezo cha kupata mume mzuri kwa wanawake wengi 'wa kisasa' ni pesa.
 
Mwaume pesa jamani, hata ungekuwa handsome vipi ukajua kupenda kuliko adam na eve without money you are useless! mtashangaa sana nikisema hivi, lakini habari ndiyo hiyo.

Hapendi mtu ni "POCHI yako"

Wanaume wa leo wakishagundua mama anapenda pochi la mzee na hana mapenzi ya dhati kwa mwanaume huyo basi na wao hawakawii kuingia mitini maana wanajua fika kwamba akitokea mwenye pochi zito zaidi basi mwanamke huyo hakawii kuchangamkia pochi!! Mwanamke kama huyu ashakum si matusi ni malaya tu ambaye anaweza hata kuuza mwili wake kwa pesa na kamwe hastahili kuwa mke kwa sababu hana tofauti yoyote na CD wanaosimama pale Ohio Street wakisubiri wateja ili wauze miili yao.
 
Wanaume wa leo wakishagundua mama anapenda pochi la mzee na hana mapenzi ya dhati kwa mwanaume huyo basi na wao hawakawii kuingia mitini...

...Bak, by the time mwanaume huyo anagundua 'anapendewa pochi,' mwanamke wa aina hiyo anakuwa keshambwaga, mwanaume anapukutisha vumbi tu mifukoni.
 
Back
Top Bottom