Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.Eti mtanzania akimeza dona kwa dagaa anajisifu ameyapatia maisha,ona hao watu wa mamtoni jinsi wanavyoyafaidi maisha utafikiri wapo paradiso!Lakini mwisho wa yote hayo ni katika tumbo la ardhi(kaburini), tumche mungu jamani.