Maisha Primia Ligi

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jaman hii ni Ligi ngumu sana,haisomeki wala haieleweki,na haijulikan nani atashinda,,,,,
Kuna baadhi ya wadau husema kabisa kuwa Ligi hii haina formula,kuna wakat mchezaj anafanya mazoez akiingia uwanjan anapaform vizur tu na goli anaweza kufunga,na mpira ukiisha anakua ametoka kama mchezaj bora,lakin ajabu kamat ya mashindano inakuja inaubatilisha mchezo,mambo yanaanza upyaaa,,,,,
Hii Ligi inapasa tutumie mbinu gani kushinda na kuulinda USHINDI????
 
Back
Top Bottom