MAISHA PLUS, realy African Culture.

Emmanuel_mtui

Member
Apr 10, 2012
56
13
Wadau huu ni kurasa wa Great thinker let me Add with opinion, kwa pamoja sijui niite vipi au nisemeje natamani kuchangia kwenye MAISHA PLUSS, project naona changamoto zao kwa uasilia
 
Wadau huu ni kurasa wa Great thinker let me Add with opinion, kwa pamoja sijui niite vipi au nisemeje natamani kuchangia kwenye MAISHA PLUSS, project naona changamoto zao kwa uasilia

Upi watu wanaplan kutua Mars we unatamani kurudi kwenye ujima-old stone age ! Wanafundishwa nini mle watakachokitumia katika maisha yao na kikawa cha manufaa kuwajenga kiuchumi etc. Upuuzi tu
 
wanaturudisha kwenye CAVEMEN life style mimi huwa siangalii kipindi cha Crude Technnology. Watu tunataka kuondoka kwenye Kuni eti leo bado mnayaona ni maisha ya kuendeleza
 
Haha! Aisee kweli kuna mawazo mengine yananifurahisha sana kama hao waliotangulia kuchangia. Ni kweli ni kama wanaturudisha nyuma, lkn napendekeza hao waandaaji wajaribu kuweka vitu vitakavyotusaidia sisi kusogea mbele zaidi kimaendeleo kwa kutumia kipindi hicho hicho!

Alafu jina lenyewe naona limekaa kizungu sana, eti Maisha plus...tutafute jina la kibantu zaidi ndo tuliweke hapo!
 
Back
Top Bottom