Maisha Plus nyuma ya pazia!

hapa iko kazi ila kwa mie siwezi mruhusu mjukuu wangu aende huko maisha plus kama ana hamu ya kujifunza maisha ya kijijini nitampeleka kwa babu yake kuleeee hakuna barabara ...ataishi mwenyewe mpaka atume barua kupitia kwa mtendaji wa kijijini ndo nimfate ..
Hiyo village amabyo unakaa ukijua unamulikwa na Luninga baasi
 
Yule Msomali anaonekana intelligent kuliko hata KP na kampuni yake yote.Na yeye ndiye aliyekuwa akinusurika kutolewa tangu mwanzo...hadi hiyo jana alipoaga rasmi.Inawezekana aliombwa akagoma ..au nini?
 
si kuna maneno yanayoendelea mtaani kuwa kp kanasa? asiwe kuwa anasambaza? umasikini na tamaa utawamaliza mabinti zetu
 
si kuna maneno yanayoendelea mtaani kuwa kp kanasa? asiwe kuwa anasambaza? umasikini na tamaa utawamaliza mabinti zetu
jamani, inawezekana, ama nikuunganisha habari ya yule mkewe kuwa aliwahi kuwa kiburudisho cha Liyumba ssijui Kayumba , yule mtuhumiwa wa BOT.
 
KP kwangu ni kama kaka.
Nitamtafuta na kumuuliza kinachojiri kule tena ikichukuliwa kambi yao ipo tarafa moja ninayopitiaga muda fulani fulani.
Tuhuma hizi si za kufumbia macho aisee
 
KP kwangu ni kama kaka.
Nitamtafuta na kumuuliza kinachojiri kule tena ikichukuliwa kambi yao ipo tarafa moja ninayopitiaga muda fulani fulani.
Tuhuma hizi si za kufumbia macho aisee
kama kaka, ila si kaka yako... ama ?
ipo Kigamboni, lakini ni eneo gani, Mjimwema ? gereza ulole, Kimbiji, ama ?
 
si kaka yangu
tume kua wote pamoja akinitangulia miaka na mishemishe za town.
najua shababi ni bazazi kweli kweli lakini nitamshauri asiweke sana mambo yake ktk kazi maana yatamharibia.

Najua ilipo lakini siwezi kukutajia maana wenyewe wangewatajia kama wataona vyema kufanya hivyo.
 
si kaka yangu
tume kua wote pamoja akinitangulia miaka na mishemishe za town.
najua shababi ni bazazi kweli kweli lakini nitamshauri asiweke sana mambo yake ktk kazi maana yatamharibia.

Najua ilipo lakini siwezi kukutajia maana wenyewe wangewatajia kama wataona vyema kufanya hivyo
]
Msanii, SAWA BANA, maana umekula kiapo cha uaminifu,
 
dah, mkuu, ina maana kumbe alivotolewa na yule jamaa mchungaji kutoka mbeya alikuja kurudishwa? manake sijaangalia siku mbili hizi...na to be honest 'nilishangazwa' kuwa kwa nini atoke, na pia wala hakuonyesha kuwa na wasi wasi alivopelekwa kwenye kizimba cha kutoka

kaaz kweli kweli

Hakutoka yule na jana amerudi kundini na yule jamaa waliyetoka naye ndo amekuwa evicted pamoja na Kauthal
 
Basi yanayotendeka huko kijijini ni yale yale ya jukwaa la wakubwa. Halafu tukumbuke kitu kingine kuwa camera zao sio kama za big brother ambazo ni automated na zinachukua vitu bila upendeleo na kuvirusha kama vilivyo (live) wakti wowote. Hawa wanakuwa na mpga picha ambaye anakuwa anawafata katika matukio mbali mbali hivyo wanajua kuwa sasa niwakati wakuact. Hii pia inapelekea muongozaji wa kipindi kuwa na uwezo mkubwa wa kuamua kpi kionekane kitu kinachopelekea kuwa na uwez wa kumpromote mtu au kumshusha ni kama last season niliangalia clips zake nyingi ni za Abdul as if hakuna wengine katika hicho kijiji cha maisha ya kunaniliana.

Kwahiyo ndugu yetu KP yuko na uwezo mkubwa sana wa kumrubuni binti ili awe na air time kubwa hasa ukizingti vibinti vyenyewe ni vidogo tu. Vipi yule msichana nilimuona kama anaact kidume dume bado yupo?
 
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?


Wewe Hujui Abd............ kuwa ni................ hata Huyo ............ wa Shy noma mimi namjua hafai tena ana miwalaya shot tupu pale
 
Wewe Hujui Abd............ kuwa ni................ hata Huyo ............ wa Shy noma mimi namjua hafai tena ana miwalaya shot tupu pale

Prisoner ya kweli hayo? Kama uko huru usije ukarudi prison kama Babu Seya. Lol
 
Hebu acha majungu.

That is a game. So hate the game and not the player.

Watu mko narrow minded kishenzi yana. Msichana akipata opportunity basi anapewa kwa minajili ya ngono. Ungepata wewe hiyo opportunity ungeioanisha na sababu za kingono au ingekuwa zali? Acheni maneno fanyeni kazi za maendeleo.

KP usirudi nyuma kamwe.
Kaka wape ukweli wafitini wamejaa unafiki tuu wala hawaangalii yao,aibu!
 
Acheni wafu wazike wafu wenzao!Angalieni daima taarifa za habari rather than wasting time on maisha plus!


Ni kweli Omumura!

kwanza kitu yenyewe ni copy and paste ya BBA achilia mbali vigezo vingi tu vilivyokiukwa vya reality shows!

Unajua hata audience yetu imezowea mno half cooked mealz ndo maana tunalishwa tu hata tusivyopaswa kulishwa!

Kwanza mantini ya TV ya taifa kurusha reality show; si bora muda huo wakarusha kipindi cha elimu kwa watoto wetu wanaofeli kila uchao?
 
Mmh kama habri hizi ni zakweli basi Maisha Plus ifungwe.
kufunga hapana wacha watu wengine wafaidi ingekuwa dada yake ndo kampata kp angesema? kama hawachanganyi ni huyo mmoja mwacheni hamna tatizo hapo
 
Ni utumwa kuamini kuwa mwanamke hawezi isipokuwa kwa kutoa ngono, tena hii ni dhambi. Huyo kp ndiye anayempigia kura Neema aendelee kuwapo kijijini? "Jambo ulilolijengea mtizamo hasi, anayejaribu kukubadilisha anapoteza muda wake" Tafadhali tuioneni miili ya hawa wenzetu kuwa inasitahili heshima.
 
Kwani maisha plus ina mchango gani katika Taifa letu?


Afadhali umetohoa!

Tume exhaust managapi ya manufaa tukayafikisha kwa wananchi na ziada ndio tuibue Maisha Plus; kuna mtu namheshimu sana aliwatembelea huko na kusema ile badala ya unyago na jando siku hizi! aaaagh!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom