Maisha Plus: Mshiriki toka Zenj (Mubarak) atoa mpya

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi
 
Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi

Maana yako nini hasa na hili limekuwa suala la kisiasa au? mi naona kama umeleta kioja tu humu JF
 
Kashtuka isije muungano ukavunjika ghafla hali yuko Bagamoyo na taarifa ana akajikuta Mtanganyika
 
mimi ntatoka kidogo nje ya mada wakuu,yule kijana aitwaye Bahati Kisula mshiriki anaewakilisha Dar es salaam nadhani tumpigie kura kwa wingi ili asitolewe kijijini jumapili hii , kwani kwa mtazamo wangu mimi yule kijana japo anaongoza kwa kura za eviction nomination toka kwa washiriki wenzake ili atolewe kijijini wiki hii, he is an entertainer and a really hustler (kwa aliyepata kumsikiliza akitoa profile yake jana jinsi alivyozamia jijini Dar es salaam akitokea kwao Mwanza na kuanza ku'hustle na life yake, au mnasemaje wakuu ....
 
lugha mbovu arudi tu kitaa aendelee kujenga misamiati mibovu

kumtoa huyu jamaa kwa wakati huu ni mapema mkuu, believe me not, ile reality show ya kijijini itaanza kuboa sana, hata akina masoud wenyewe wanalifahamu hilo nadhani, uyu jamaa anachangamsha sana show kum'watch ha ha ha ...!

Lets save him: MP05 tuma No. 15584

sana mkuu,
 
hatimaye Bahati Kisura, my favorite, mshiriki wa Maisha Plus # MP05 anayewakilisha mkoa wa Da es Salaam aokolewa kwa kura za mashabiki na kubakia kijijini, ... thanks to you all TeamBahati kwa ku'recognize entertaining & life struggling strategies zilizo ndani ya huyu kijana kwa kupitia kura zenu, lets keep it up its only us through our voting who are gonna turning his dream into a reality ...
 
"who are gonna turning"what the hell did u just say?
 
Nilipata kuangalia hii kitu nikasikitishwa kuona washiriki hawako real kila mmoja anajaribu kuigiza.
NB: weka mbali na watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom