Maisha Plus imeishia wapi???

hbr za j2 wana great thnkers! mmekwenda kusali leo kwa wale wenzangu? back to topic hv maisha plus imeishia wapi. kiukweli me nliipenda sana! je kuna mtu ana fununu yoyote?
 
Hata mimi nilikuwa naipenda sana,kwani ni ubunifu lakini pia michezo kama hiyo kwa nchi zilizoendelea zinaongeza ajira hebu angalia kuna sho nyingi kama amerikan idol, na nyingine nyingi ambazo nadhani pia zmesaidia katika maendeleo yao na utakuta hata wadahamini wake wanakuwa wa ukweli kwahiyo hata hiyo maisha plus ingepata wadahamini wa ukweli hasa yaani ingekuwa bonge la show afrika mashariki na kati badala ya hiyo big brother.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom