Maisha na starehe za uswahilini

Ni mpenzi mkubwa sana na wa muda mrefu wa jf
mpaka mwisho wa mwezi huu,nitakuwa nimetoa kontribution yangu in terms of air time

Karibu sana kijana naona una machungu sana na Taifa la leo.
We unafikiri nn kifanyike kama serikali za mitaa zipo huko huko uswazi na wapo kimyaa nn kifanyike?
Umewahi wauliza kwa nn wanafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom