Maisha kuvuliana

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Haya ni maneno ya kanga za kina mama HIVI KWA MTINDO HUU TUTAFIKA KWELI

MAISHA KUVULUANA.jpg
 
Khanga zimetolewa China, alitaka andika "MAISHA KUVUMILIANA"
Pamoja na kukosea vile bado kasema ukweli, kwani bila kuvuliana hakuna uzazi, na bila uzazi hakuna maisha. Mficha uchi ....
 
Basi mimi mawazo yangu yote yalikuwa katika kuvuliana samaki.
 
anyway ni tungo tata ila sema kwasababu ni vazi lakina mama ingawa na kina baba huwa wanashona mashati ya kanga hizi naona kwa watoto wao wakiona watajiuliza mama maisha ni kuvuliana nini!!!!
Sasa tatizo liko wapi hapo?
 
jamaa wameamua kuitandika meza ya baa nini! maana hiyo lazima mama waogope kuivaa...inaweza kuletea kila mtu kukutongoza bure,akidhani u mwepesi wa kuvua.
 
hahaaaaaaaaaaaaaa acha vituko weye Rugas
jamaa wameamua kuitandika meza ya baa nini! maana hiyo lazima mama waogope kuivaa...inaweza kuletea kila mtu kukutongoza bure,akidhani u mwepesi wa kuvua.
 
sasa huyu aliyetunga hili neno alikua na maana gani ni kuvuliana nini maana kanga mpaka watoto wanavaa kweli hii ni tungo tata!kanga zinavaliwa mpaka na wanaume!
Si unajua tena utendaji usio makini? Maandishi haya yalihitaji kusomwa (proof reading) kabla ya kuanza kuchapa hizo khanga.Hili ni kosa la kiufundi ila watu wanaweza kutafsiri kuwa ndo mipasho ya kwenye Khanga!
 
anyway ni tungo tata ila sema kwasababu ni vazi lakina mama ingawa na kina baba huwa wanashona mashati ya kanga hizi naona kwa watoto wao wakiona watajiuliza mama maisha ni kuvuliana nini!!!!

Nimeupenda sana. Hivi zinapatikana wap?
 
Si unajua tena utendaji usio makini? Maandishi haya yalihitaji kusomwa (proof reading) kabla ya kuanza kuchapa hizo khanga.Hili ni kosa la kiufundi ila watu wanaweza kutafsiri kuwa ndo mipasho ya kwenye Khanga!

Una uhakika gani kama hawakumaanisha hiyo sentensi? Mimi naona hiyo ni dhamira kabisa, ingekosewa isingeingia sokoni bana!...Nahtaji moja nimpelekee mama nanihii pale mtaa wa pili, teh teh
 
nyumba ndogo na kubwa
Una uhakika gani kama hawakumaanisha hiyo sentensi? Mimi naona hiyo ni dhamira kabisa, ingekosewa isingeingia sokoni bana!...Nahtaji moja nimpelekee mama nanihii pale mtaa wa pili, teh teh
 
Haijakosewa wala nini! Utata unakuwa ni hapo katika kuvuliana nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom