The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
- Thread starter
- #21
Vitisho kama hivi tulishaanza kuambiwa toka tupo tumboni..tunaenda shule bado tunaambiwa,tunaajiriwa bado tunaambiwa.Hadi kwenye familia story ni hizo hizo...Ndio maana inakuwa ngumu KUAMINI TOFAUTI(eg YES I CAN)
tunachosahau ni kuwa
hata hiyo elimu ni 'ubunifu wa watu'
badala ya kukazania mtoto aone hiyo 'elimu' ndo kila kitu
na kuikariri
tulipaswa kuwalea watoto waone 'they can do better'
ndo maana Bill Gate ni drop out
na still yupo pale