Maisha Haya...!!Nimejfunza Kpya Hapa...Hebu 2shee!

Aaah wapi! Hana mapya huyo, pandisha vioo!
Kilichobadilika hapo ni yeye kufulia, asingefulia wala asingekuwa na habari na wewe wala watoto.
Yakimnyookea tu mule mule. Uamuzi ni wako!

Utakuta Udhaifu Wa Kiuanamke,Anakubal Kumpa Nafas!
 
Nfurahi wengi walioshauri ni me we dada mtu asikudanganye habari ya watoto ,kulea mapacha ni kazi kama umelea miaka 5 tena ndo pagumu utashindwa nini?Halafu me mtu akitaka kuonyesha mtu flani ni muhimu sana namwambia funga macho assume tumemzika leo?Embu na we funga macho assume jamaa hayupo duniani,kwanza maradhi,pili anataka umrudie sio kwa sababu anakupenda bali ana shida machozi ya mamba we ndo yanakutisha?shauri zako you will regreat ukimess ukamrudia.Tulia kama mwanaume utapata tena atakalelea watoto wako kwa mapenzi.Wanaume siku hizi bwana hata ukiwa na mtoto unaolewa tu sio kama zamani
 
Tatizo la mambo kama haya, unaweza kutoa ushauri weeee, matokeo ukaonekana una wivu na maisha ya mtu (hata kama hamna hata hicho cha kuonea wivu!). Siku ya siku unawakuta pamoja wameshikana mikono na kapu, mkwara wanasindikizana sokoni!

Anyways kwa mimi kama Dina, tupa kule funga ukurasa, songa mbele. Siwezi kuwakatalia watoto kumlilia baba yao, kwani ni ukweli usiopingika kuwa ni baba yao. Angepata 'bingo' angerudi?
 
...nashawishika kuamini kuwa hili ni changa la macho! huyu jamaa msanii kwa sababu fikiria kama angefanikiwa kimaisha angethubutu kumganda huyo dada na watoto na kutaka kurudiana?mwambie dada ajihadhari na tragedy inayomgija baada ya kurudiana naye maana tangu mwanzo jamaa alionekana ni playboy sasa akili kichwani mwa huyo dada akubali matokea baada ya kurudiana naye...muhimu ni kufunga vioo tu, lea wanao!
 
Mwambie huyo mdada asonge mbele na maisha yake..
Sometimes haya mambo ya kuombana msamaha ni uzushi mtupu..
Huyu mwanaume ni stress za maisha na hata ukiangalia mmekutana as coincidence..
Ina maana msingekutana bus stand ingekuwaje?..Stuka mwanamama!!!
 
paka kipofu hula panya waliokufa tu-mpe huu msemo mwambie kamezee mbele ya safari
 
Back
Top Bottom