Maisha gani ya Kila siku kuamka saa Kumi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Nikianzia Ikulu na Wizara zote,Balozi zote Mashirika yote ya kimataifa yakaenda pale Dodoma Na kila HQ ya shirika lolote likawa Dodoma je hizi foleni zakila siku, Jumatatu hadi Jumatatu! haziwezi kuisha??maisha gani ya kuamka saa kumi kila siku??:angry:
 
tusubiri kwanza makao makuu ya Dodoma yakiandaliwa vizuri ndo wahame. Otherwise Dodoma itakua ni full mafoleni cz infrasructure bado haijakaa fresh. We should learn from the Malaysia experience.

The longer we wait the more time we have of building a comprehensive infrastructural systems including water, roads, power, etc.
 
Hata dodoma mambo ni yale yale...Nigeria walipokua wanahama Lagos kwenda Abuja waliandaa miundo mbinu ya maana kule Abuja lakini hapa ni porojo tu hamna kitu..
 
tusubiri kwanza makao makuu ya Dodoma yakiandaliwa vizuri ndo wahame. Otherwise Dodoma itakua ni full mafoleni cz infrasructure bado haijakaa fresh. We should learn from the Malaysia experience.

The longer we wait the more time we have of building a comprehensive infrastructural systems including water, roads, power, etc.

Thank you sir, how far have you reached, how long do we have to wait?
 
Nikianzia Ikulu na Wizara zote,Balozi zote Mashirika yote ya kimataifa yakaenda pale Dodoma Na kila HQ ya shirika lolote likawa Dodoma je hizi foleni zakila siku, Jumatatu hadi Jumatatu! haziwezi kuisha??maisha gani ya kuamka saa kumi kila siku??:angry:

Hayo ndio maisha bora, kuwa na mkoko sio issue, zamani kumiliki motokaa ilikuwa anasa.

Na bado tuna mpango wa kutoa elimu kutumia mkonga wa bibre optic, afu usihofu kuhusu foleni za bongo, tuna mpango wa kujenga zile barabara za ghorofa utakuwa unazijua tu, zinaitwa flyover kama sikosei, hizi zitapunguza sana foleni, kama unavyoona tumesha anza upanuzi wa barabara ya bagamoyo road
(barabara ya bagamoyo road) hi hi hi aahhh ha ha ha!!!
 
Serikali(manispaa) zimeruhusu ujenzi wa maghorofa marefu Kariakoo yote, ile Posta ya karibu na Ikulu siku hizi kila kiwanja kina wavu wa kijani. Ujenzi wa kabila hii unazidi kuongeza foleni, kwa staili hii hata serikali ikihamia Dodoma tatizo litarudi baada ya muda mfupi.
 
Nikianzia Ikulu na Wizara zote,Balozi zote Mashirika yote ya kimataifa yakaenda pale Dodoma Na kila HQ ya shirika lolote likawa Dodoma je hizi foleni zakila siku, Jumatatu hadi Jumatatu! haziwezi kuisha??maisha gani ya kuamka saa kumi kila siku??:angry:

Mkuu kama ni foleni kwani ile fast train sijui metro train/subway aliyoiahidi Kikwete wakati wa uchaguzi haijajengwa bado hapo mjini?
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa huku dodoma kuna barabara za kuweza kuzuia mfumuko wa foleni?

Back
Top Bottom