Maisha duni ya maisha katika Majimbo ya Songea Mjini na Peramiho, Rorya, Bunda, Tarime

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wajua nimeona kuna mtu kaanza na Mbowe hapa mimi nome toka ziarani katika Majimbo hayo siwezi kusema kitu ni aibu mno na watu wana maisha magumu ya kutisha na serikali Yao ya CCM inakuwa ya kodi na wako madhara kwani.

Ni aibu ya kufa mtu si kawaida. Tukianza kusema habari za Majimbo basi CCM wanaongoza kuwatumia wananchi kuingia madarakani na wana mateso mengi sana wewe usitake kujua kabisa.

Songea inatisha kwa kuwa nyuma lakini Nchimbi kapeta u NEC kwa kura kibao.
 
HII NI AIBU SANA KWA HUYU ANAYEJIITA MBUNGE WA SONGEA MJINI NA YULE WA PERAMIHO ,MIMI NASHANGAA SANA KUONA MKOA HUU UMEPATA VIONGOZI AMBAO WAKO KARIBU NA SERIKARI NA BADO WANANCHI WANATESEKA,WEWE NDUGU YANGU ANGALIA JIMBO LA PERAMIHO MAENEO YOTE WATU WANAYO MATATIZO YA MAJI,BARABARA MBOVU,MBOLEA BEI JUU,BEI ZA MAZAO YAO YAPO CHINI HALAFU NCHIMBI NA JENISTA WANASEMA KHALI NZURI HII NI AIBU SANA.
LAKINI JAMBO LA MSINGI WANA SONGEA TUUNGANE ILI MWAKA 2015 TUPATE WABUNG MAKINI AMBAO HAWATATOKANA NA CCM ,NA TUKIFANYA HIVYO NDIO UTAKUWA UKOMBOZI ,CHIMEEEEEEEEEE TUFUATE NYAO ZA WATU WA KATA ILE YA KILAGANO KWA KUWEKA DIWANI WA CDM MPAMBANAJI NA TUANZE NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,
JAMANI HAKUNA FAIDA YA KUWA NA WABUNGE WASIOTUSAIDIA KAMA HAO .
NIMEPITA KATA 10 ZA JIMBO LA PERAMIHO KHALI YA MAISHA YA WATU NI DUNI SANA,ongera kwa kuleta mada hii
 
Echolima pictures 057.jpg
Hiyo shule chini ya Mbuyu iko NG`WANSHOMA huko Igunga jimbo ambalo lilikuwa linashikiliwa na Rostam Aziz huko ndiyo usiseme wananchi wamekuwa choka-mbaya wakati wakubwa wanajinufaisha tu na kuanza kusinzia tu Bungeni
Echolima pictures 003.jpg
Picture 024.jpg
Picture 042.jpg
Watu hawa wanajali matumbo yao tu na kibaya zaidi tuendako itakuwa mwenye nacho anazidi kuwa nacho na mwenye kidogo anapokonywa na anazidishiwa mwenye kingi hapo ndipo itakuwa hatari kubwa sana.
 
Jamani hapo kwenye mbuyu hawa wanafunzi si watapigwa na radi? Mungu apishe mbali!hivi Nchimbi na Jenister hawaoni huu umaskini wa kutisha unaowakabili wananchi wao?
 
Acha ushabiki wewe, najua hali ya Songea ilivyo,ni kweli haiko vzuri, lakini unajua ukweli kuwa mikoa ya kusini, kanda ya kati (singida) na Kigoma ni mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo na co sababu ya wabunge wa ccm, mbona singida inamilikiwa na kina Lissu na bado haina kitu, vp kuhusu kigoma?
Vp kuhusu Mtwara ambako kuna CUF?
Mazingira na aina ya watu yanaendana na maendeleo ya eneo husika.
 
kwa ujumla mkoa wa ruvuma wote ni ovyo kabisa. Wananchi wanajitahidi pamoja na umaskini wao kilimo cha jembe la mkono lakini wanakatishwa tamaa na hii serikali iliyo madarakani. Mwaka juzi wananchi wameuziwa mbolea inasemekana ilichanganywa na chumvi mahindi mengi yalikauka. Mwaka jana mbolea feki. Halafu tetesi zinasema hiyo mbolea ni mali ya mohamed enterprises. Wananchi wengine walikopa mbolea wakivuna walipe, wameishia kuuza mifugo yao ili walipe madeni na kutumbukia kt umaskini zaidi. Halafu wabunge wa mkoa huu ni wale wa kulala na kuchafua hali ya hewa bungeni.
 
LIZABONI Njoo huku maana unatumika vbaya hapo Lumumba na hali ya kwenu bombi ii nyumbi ii hali ni tete,ni abu kubwa kuendelea kushangilia ufisadi wa ccm huko songea ndugu zako wafa na njaa na huduma zngne za kijamii hamna. Au wewe ndiyo Nchimbi mwenyewe na ID fake?
 
acha ushabiki wewe, najua hali ya songea ilivyo,ni kweli haiko vzuri, lakini unajua ukweli kuwa mikoa ya kusini, kanda ya kati (singida) na kigoma ni mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo na co sababu ya wabunge wa ccm, mbona singida inamilikiwa na kina lissu na bado haina kitu, vp kuhusu kigoma? Vp kuhusu mtwara ambako kuna cuf? Mazingira na aina ya watu yanaendana na maendeleo ya eneo husika.
mkuu,naomba nitajie jimbo moja ambalo linaongozwa na mbunge wa cuf katika mkoa wa mtwara.
 
acha hawa wangoni wapate tabu maana waliamua kuwachagua hawa watu kwa tamaa ya kanga na tshirt ona jinsi uzao wao unavyopata tabu kidumu chama cha mapinduz huko kusini huku mkiendelea kutembea peku
 
hiii c sahihi cos kijijini kwetu wao wana kauli iayosema kikija chama kingine huku tutakichagua ila muhimu ni upinzani kutanuka zaidi sababu kama kwetu huku hakuna chama zaid ya ccm
 
CCM si baba yao wama mama yao... Wakiamua kuikataa CCM wanaweza! "Kataa CCM ya ufukara na umasikini chagua CDM kwa maisha bora yenye neema tele"...
 
Lizaboni is not a sincere person na nadhani kwanza hatoki huko .Songea ni tatizo kubwa mno watanzania wana maisha magumu hadi mjini nyumba za udongo mtendaji sijui wa CCM ofisi yake iko kwenye genge lake .Go fiture out baada ya kuona .Nashangaa makelele online lakini watanzania wanaumia kwa shida .
 
No matokeo ya ubaguzi wa serikali unaofanywa na viongozi wakuu, ambao badala ya kugawa keki ndogo 'equitably', wakapendelea kanda watokazo....
Inanikiumnusha kis a kimoja cha cleopa msuya akiwa PM alitumia ubavu wake kuhamisha mradi wa usambazaji umeme wilaya ya Ulanga na kuuhamishia kinyemela wilayani kwake huko Same......
 
Hivi bado haijabadilika,mlioko huko vip fursa za biashara na maisha kiujumla WAKUU.
 
Sio mwenyeji sana huku Songea labda huenda Songea vijijini maana hakuna hata huo umeme na maji lla maji maeneo ya mji huku hayakatiki ni nadra sana maji kukatika, umeme vilevile haukatiki sana sijui labda nikikaa zaidi mana nina miezi mitano hapa
 
Back
Top Bottom