Maisha bora kwa mtanzania.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,633
4,515
Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu.

daah.jpg
mmh.jpg
 
tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam
 
Back
Top Bottom