Maisha bora kwa kila mtanzania ndio haya

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Hivi ni lini hospitali zetu zitakua na vitanda vya kutosha jamani?mabango ya kampeni kila kona wakati huu lakini maisha ya binaadamu hawayaangalii. Oooh tanzania weeeee,nani amewaroga viongozi wako
 

Attachments

  • WAGONJWA.doc
    81.5 KB · Views: 69
Back
Top Bottom