Maisha bora kwa kila mtanzania kweli ndo Haya??

attachment.php

attachment.php
 
Mbona haya tambarare sana
Kuna wananchi hawajui mfereji wala bomba wao na vishimo tu wala siyo visima
 
Mh! Hii slogan ya "Maisha bora kwa kila mtanzania" ni kiini macho jamani. Inawezekana mwenye kutoa slogan hii alikuwa na maana tofauti na ile tunayoilewa. Usiwashangae hao uwaonao katika picha hii, bora maji yapo na ni masafi. Hebu tafuta muda utembelee Mkoa wa Arusha na Manyara wanakoishi wenzetu Wamasai ndio utaipata tafsiri halisi ya slogan hii kama sio kuishangaa. Bado tunahitaji kupiga mbio ili kufikia maisha haya. Ingekuwa vyema tukapata ufafanuzi zaidi ya nini maana ya "Maisha bora kwa kila Mtanzania" kabla ya kupiga kura Octoba
 
Bora ya hawa wanachota maji masafi kabisa hayo nenda Singida au Tabora na Shinyanga huko utawaonea huruma maji machafu sana.
 
Kwani unadhani hiyo picha imepigwa wapi? Minyukhe- Singida for your information.
 
afadhali hao hata maji wanayaona.
Muheza hamna maji hata kiduchu, watu wanayafuata Tanga mjini.
 
Nenda mwanza sehemu za sengerema watu wanakunywa vumbi mchanganyiko wa maji na matope

Mh! Hii slogan ya "Maisha bora kwa kila mtanzania" ni kiini macho jamani. Inawezekana mwenye kutoa slogan hii alikuwa na maana tofauti na ile tunayoilewa. Usiwashangae hao uwaonao katika picha hii, bora maji yapo na ni masafi. Hebu tafuta muda utembelee Mkoa wa Arusha na Manyara wanakoishi wenzetu Wamasai ndio utaipata tafsiri halisi ya slogan hii kama sio kuishangaa. Bado tunahitaji kupiga mbio ili kufikia maisha haya. Ingekuwa vyema tukapata ufafanuzi zaidi ya nini maana ya "Maisha bora kwa kila Mtanzania" kabla ya kupiga kura Octoba

I think hii slogan ibadilishwe au ifanyiwe tathimini yake na madhara kwa watanzania

Bora ya hawa wanachota maji masafi kabisa hayo nenda Singida au Tabora na Shinyanga huko utawaonea huruma maji machafu sana.

Viongozi wetu wanatoa mahadi kibao etekelezaji F, remember 2005 preseda alitoa mapromise kibao

Kwani unadhani hiyo picha imepigwa wapi? Minyukhe- Singida for your information.

Kama ulikuwepo

afadhali hao hata maji wanayaona.
Muheza hamna maji hata kiduchu, watu wanayafuata Tanga mjini.

Hapo mbuge inabidi awajibike

Kuna sehemu watu wanatembea km25 mpaka 40 kufuata maji tu ndoo moja.

Hapo watu wanatembea kama km 50 kufuata maji cjui nchi itaendelea lini mali tunazo watumiaji wajaja wachache
 
Bora ya hawa wanachota maji masafi kabisa hayo nenda Singida au Tabora na Shinyanga huko utawaonea huruma maji machafu sana.

Maisha bora kwa kila mtanzania ni kauli mbiu iliyomwingiza Kikwete na kundi lake madarakani. Wadanganyika wakamuingiza madarakani kwa kuamini kuwa angalau ataweka mipango ya kuwawezesha kupata milo miwili kwa siku, wakulima wata wezeshwa kwa kilimo cha umwagiliaji - aliahidi kujenga mabwawa angalau moja kila mwaka, hamna lililojengwa, wafugagi watawekewa mazingira ya kutohamahama - hiyo waulize wamasai na wasukuma waliotimuliwa kusini kilichowapata.

Toka aingie ikulu hajairudia tena hii kauli wala kasi mpya na nguvu mpwa. Hebu tufanye performance appraisal ya serikali hii kwa ahadi walizoweka wakati wanaomba kura na tujiulize ni kwa nini wapewe miaka mingine mitano?
 
Back
Top Bottom