Maisha bora Kigoma mjini ndo haya.....

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Kwa zaidi ya wiki moja sasa mji wa kigoma umekuwa katika shida kubwa ya maji ambapo wananchi wanailalamikia serikali ya mkoa huu kutokana na tatizo hilo. Mamlaka ya maji (KUWSA) katika kuelezea swala hilo imesema kwamba kuna matatizo ya kiufundi lakini katika uchunguzi zaidi ikajulikana kwamba mamlaka hiyo inadaiwa shs. MILIONI MIA TANO na Tanesco ndo maana wakakatiwa umeme. Haya ndo maisha bora tuliyonayo sasa Nawasilisha.
 
:A S angry:Pufff!!! Kamueleze Serukamba si mlimchagua kwa hiari yenu!!!!!:bowl:
Nakasirika sana kusikia malalamiko baada ya uchaguzi ... uzeni fulana, skafu na kofia alizokuwa anawagawia pale mji mwema mkalipie umeme TANESCO!!!:yield:
 
Sisi hatukumchagua si unajua walichakachua matokeo?
 
Tulipinga ndo maana ulisikia mabomu japo kura ni siri but majority haikuridhika na matokeo
 
Back
Top Bottom