Maisha Bongo

Lily Flower

JF-Expert Member
Oct 16, 2009
2,553
1,197
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?

Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.

Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya; Zaka ya kanisani na misikitini, Kupanda Mbegu/ Sadaka, Shukurani ya Neno, Tozo za Flying (wazoa taka wa mikokoteni ambao huzit
upa hapo hapo), Madalali wa nyumba/viwanja, Pango la nyumba, Fremu ya biashara/ofisi, Mazakayo wa mitandao ya simu [airtime vouchers] Mafuta ya gari Walinda/waosha magari (oya sista/blaza, mdogo wako nipo apaaa); Tozo za kuegesha magari, Makato ya Mikopo, Tozo za internet cafe ili uweze ku-surf.

Rambirambi ya mfiwa mtaani kwetu, Harusi ya ndugu yako wa ukoo na zawadi, Sendoff ya mtoto wa mdogo wake rafiki yako na zawadi, Kumuaga mfanyakazi mwenzetu na zawadi, Michango ya komunio ya 1 & 2 na kipaimara; Michango ya besdei party na zawadi; Ndugu wa kule kijijini, Mshahara wa Hausigeli na hausiboi; Bodaboda, teksi na bajaj; Duka la dawa

Tuisheni ya mtoto, Kuchangia wahanga wa mabomu na mafuriko. Kwenda kumuona mtoto aliyezaliwa, Kununua CD/DVD ya Uzinduzi wa Kwaya yetu. Chakula cha mbwa, Machango wa Ujenzi wa Kupanua Kanisa, Kuchangia Uinjilisti Masasi, outing ya kitimoto, Ujenzi wa Nyumba Mabwepande, Kuendeleza shamba mkuranga (linalotaka kutaifishwa kwa kutoendelezwa).

Na kwa wale wenzetu wanaokwenda umbali wa Viti Virefu, moja moto moja baridi. Maji ya Traffik, Chai ya Nesi na Daktari, Kahawa ya Hakimu, Karani na PP.

Vishoka waunganisha maji na umeme; Kidogodogo cha mjumbe na mtendaji wa mtaa. Hivi hali inakuwaje? Mia mbili ya watoto wa mtaani/ombaomba, kitu kidogo cha wale wanaolazimisha kuosha kioo cha gari kwenye foleni.

Umeme uliopanda bei, gesi iliyopanda bei, maji yaliyoadimika, bado contingency mana huu usafiri unaotembelea ball joint, bush, feni belt havijafa - hapo bado service. Bado msosi wa mchana kazini esp kama maofisi yetu mama ntilie wanakaribiana bei za restaurants, bado mchango wa kitchen pati na sare, baby shower. Na hapo bado hujatoa watoto outing jumapili n.k

Hapo mwajiri amekuongezea mshahara kwa 7% tu wakati inflation ni above 19%. Ndipo unapoimba "Mwokozi nitoe roho niepuke na hili balaaa"

Ukifikiria kwa makini unajiuliza watanzania wana-survive vipi kwa style hii???

Maisha bongo msoto kila siku, hawataki kucheza kiwasense wanapenda Ndomolo. Darisalama jua nachoma kama pasi.Nataka kwenda Zanziba lakini nogopa ngari ya kwenye maji. Kama ngari napinduka samaki takula mimi. Nahii ni aibu kwa morani, madumoki.
 
Ni kweli mkuu, lakini tunayaweza vipi maisha ya kila siku spending without proper income?

Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?

Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.

Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya; Zaka ya kanisani na misikitini, Kupanda Mbegu/ Sadaka, Shukurani ya Neno, Tozo za Flying (wazoa taka wa mikokoteni ambao huzit
upa hapo hapo), Madalali wa nyumba/viwanja, Pango la nyumba, Fremu ya biashara/ofisi, Mazakayo wa mitandao ya simu [airtime vouchers] Mafuta ya gari Walinda/waosha magari (oya sista/blaza, mdogo wako nipo apaaa); Tozo za kuegesha magari, Makato ya Mikopo, Tozo za internet cafe ili uweze ku-surf.

Rambirambi ya mfiwa mtaani kwetu, Harusi ya ndugu yako wa ukoo na zawadi, Sendoff ya mtoto wa mdogo wake rafiki yako na zawadi, Kumuaga mfanyakazi mwenzetu na zawadi, Michango ya komunio ya 1 & 2 na kipaimara; Michango ya besdei party na zawadi; Ndugu wa kule kijijini, Mshahara wa Hausigeli na hausiboi; Bodaboda, teksi na bajaj; Duka la dawa

Tuisheni ya mtoto, Kuchangia wahanga wa mabomu na mafuriko. Kwenda kumuona mtoto aliyezaliwa, Kununua CD/DVD ya Uzinduzi wa Kwaya yetu. Chakula cha mbwa, Machango wa Ujenzi wa Kupanua Kanisa, Kuchangia Uinjilisti Masasi, outing ya kitimoto, Ujenzi wa Nyumba Mabwepande, Kuendeleza shamba mkuranga (linalotaka kutaifishwa kwa kutoendelezwa).

Na kwa wale wenzetu wanaokwenda umbali wa Viti Virefu, moja moto moja baridi. Maji ya Traffik, Chai ya Nesi na Daktari, Kahawa ya Hakimu, Karani na PP.

Vishoka waunganisha maji na umeme; Kidogodogo cha mjumbe na mtendaji wa mtaa. Hivi hali inakuwaje? Mia mbili ya watoto wa mtaani/ombaomba, kitu kidogo cha wale wanaolazimisha kuosha kioo cha gari kwenye foleni.

Umeme uliopanda bei, gesi iliyopanda bei, maji yaliyoadimika, bado contingency mana huu usafiri unaotembelea ball joint, bush, feni belt havijafa - hapo bado service. Bado msosi wa mchana kazini esp kama maofisi yetu mama ntilie wanakaribiana bei za restaurants, bado mchango wa kitchen pati na sare, baby shower. Na hapo bado hujatoa watoto outing jumapili n.k

Hapo mwajiri amekuongezea mshahara kwa 7% tu wakati inflation ni above 19%. Ndipo unapoimba "Mwokozi nitoe roho niepuke na hili balaaa"

Ukifikiria kwa makini unajiuliza watanzania wana-survive vipi kwa style hii???

ndio mana huwa spendi kupoteza wakati kufanya ka-calculations.najua nitaumiza kichwa bure na bado hesabu haitatimia.naacha mambo yaende kama vile yatakavyo kuwa.hii ndio bongo-daslama
 
Mkuu hii ni hatari unaweza ukajiweka kwenye mstari wa stress, pressure nk.

Lily Flower kwa halisi wabgongo wanaisghi kwa kubangaiza
Kwa hali halisi mishahara yao haiendani na real life wanayoishi
Nishahara ni midogo sana ila jwa mtu ana amatumizi ambayo hata ukiuliza huwezi amini na unakuta mpaka watoto wake wako shule za maana ila mishahara hiyo sasa ni balaa
Kwa hali halisi ya ulichoeleza tunaishi kimjini mjini kabbisa na wala sio siri hatuendani na uhalisia
Hata ukijiuliza haka kamshahara ya laki tatu ila mtoto wake anasoma shule ya bei mbaya huyo mtu anajenga, anapatikana kwenye viti virefu, anatibiwa private hospital, ana usafiri na huo usafiri haujulikani aliupataje
Yaani full mauza uza
 
Kifupi ni kuwa sisi wote ni mijizi tu.....

Wanaotuzidi kwenye kukwiba ndio tunawaita mafisadi.

Mapadre wezi, wachungaji majizi, mashehe majizi, maaskofu wezi, masista majizi.......... Yaani wizi mtupu!

Kitu pekee ambacho hakiibi ni BIA.....!
 
hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?

Fikiri matumizi nyumbani: Chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.

Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya; zaka ya kanisani na misikitini, kupanda mbegu/ sadaka, shukurani ya neno, tozo za flying (wazoa taka wa mikokoteni ambao huzit
upa hapo hapo), madalali wa nyumba/viwanja, pango la nyumba, fremu ya biashara/ofisi, mazakayo wa mitandao ya simu [airtime vouchers] mafuta ya gari walinda/waosha magari (oya sista/blaza, mdogo wako nipo apaaa); tozo za kuegesha magari, makato ya mikopo, tozo za internet cafe ili uweze ku-surf.

Rambirambi ya mfiwa mtaani kwetu, harusi ya ndugu yako wa ukoo na zawadi, sendoff ya mtoto wa mdogo wake rafiki yako na zawadi, kumuaga mfanyakazi mwenzetu na zawadi, michango ya komunio ya 1 & 2 na kipaimara; michango ya besdei party na zawadi; ndugu wa kule kijijini, mshahara wa hausigeli na hausiboi; bodaboda, teksi na bajaj; duka la dawa

tuisheni ya mtoto, kuchangia wahanga wa mabomu na mafuriko. Kwenda kumuona mtoto aliyezaliwa, kununua cd/dvd ya uzinduzi wa kwaya yetu. Chakula cha mbwa, machango wa ujenzi wa kupanua kanisa, kuchangia uinjilisti masasi, outing ya kitimoto, ujenzi wa nyumba mabwepande, kuendeleza shamba mkuranga (linalotaka kutaifishwa kwa kutoendelezwa).

Na kwa wale wenzetu wanaokwenda umbali wa viti virefu, moja moto moja baridi. Maji ya traffik, chai ya nesi na daktari, kahawa ya hakimu, karani na pp.

Vishoka waunganisha maji na umeme; kidogodogo cha mjumbe na mtendaji wa mtaa. Hivi hali inakuwaje? Mia mbili ya watoto wa mtaani/ombaomba, kitu kidogo cha wale wanaolazimisha kuosha kioo cha gari kwenye foleni.

Umeme uliopanda bei, gesi iliyopanda bei, maji yaliyoadimika, bado contingency mana huu usafiri unaotembelea ball joint, bush, feni belt havijafa - hapo bado service. Bado msosi wa mchana kazini esp kama maofisi yetu mama ntilie wanakaribiana bei za restaurants, bado mchango wa kitchen pati na sare, baby shower. Na hapo bado hujatoa watoto outing jumapili n.k

hapo mwajiri amekuongezea mshahara kwa 7% tu wakati inflation ni above 19%. Ndipo unapoimba "mwokozi nitoe roho niepuke na hili balaaa"

ukifikiria kwa makini unajiuliza watanzania wana-survive vipi kwa style hii???

gudaftrenoon umetisha.
 
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?

Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.

Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya; Zaka ya kanisani na misikitini, Kupanda Mbegu/ Sadaka, Shukurani ya Neno, Tozo za Flying (wazoa taka wa mikokoteni ambao huzitupa hapo hapo), Madalali wa nyumba/viwanja, Pango la nyumba, Fremu ya biashara/ofisi, Mazakayo wa mitandao ya simu [airtime vouchers] Mafuta ya gari Walinda/waosha magari (oya sista/blaza, mdogo wako nipo apaaa); Tozo za kuegesha magari, Makato ya Mikopo, Tozo za internet cafe ili uweze ku-surf.

Rambirambi ya mfiwa mtaani kwetu, Harusi ya ndugu yako wa ukoo na zawadi, Sendoff ya mtoto wa mdogo wake rafiki yako na zawadi, Kumuaga mfanyakazi mwenzetu na zawadi, Michango ya komunio ya 1 & 2 na kipaimara; Michango ya besdei party na zawadi; Ndugu wa kule kijijini, Mshahara wa Hausigeli na hausiboi; Bodaboda, teksi na bajaj; Duka la dawa

Tuisheni ya mtoto, Kuchangia wahanga wa mabomu na mafuriko. Kwenda kumuona mtoto aliyezaliwa, Kununua CD/DVD ya Uzinduzi wa Kwaya yetu. Chakula cha mbwa, Machango wa Ujenzi wa Kupanua Kanisa, Kuchangia Uinjilisti Masasi, outing ya kitimoto, Ujenzi wa Nyumba Mabwepande, Kuendeleza shamba mkuranga (linalotaka kutaifishwa kwa kutoendelezwa).

Na kwa wale wenzetu wanaokwenda umbali wa Viti Virefu, moja moto moja baridi. Maji ya Traffik, Chai ya Nesi na Daktari, Kahawa ya Hakimu, Karani na PP.

Vishoka waunganisha maji na umeme; Kidogodogo cha mjumbe na mtendaji wa mtaa. Hivi hali inakuwaje? Mia mbili ya watoto wa mtaani/ombaomba, kitu kidogo cha wale wanaolazimisha kuosha kioo cha gari kwenye foleni.

Umeme uliopanda bei, gesi iliyopanda bei, maji yaliyoadimika, bado contingency mana huu usafiri unaotembelea ball joint, bush, feni belt havijafa - hapo bado service. Bado msosi wa mchana kazini esp kama maofisi yetu mama ntilie wanakaribiana bei za restaurants, bado mchango wa kitchen pati na sare, baby shower. Na hapo bado hujatoa watoto outing jumapili n.k

Hapo mwajiri amekuongezea mshahara kwa 7% tu wakati inflation ni above 19%. Ndipo unapoimba "Mwokozi nitoe roho niepuke na hili balaaa"

Ukifikiria kwa makini unajiuliza watanzania wana-survive vipi kwa style hii???

In green: I will do that, no matter what. So I just balance quality vs quantity na napambana nayo hivo hivo
In orange: It is important but not crucial, I will spend on those only if I am through spending on the greens
In red: I don't need it. I just don't! I will use this money to add on my savings and move forward. Labda niwe na account inayo leta interests nzuri, then I will buy that on those interests.
 
Kifupi ni kuwa sisi wote ni mijizi tu.....

Wanaotuzidi kwenye kukwiba ndio tunawaita mafisadi.

Mapadre wezi, wachungaji majizi, mashehe majizi, maaskofu wezi, masista majizi.......... Yaani wizi mtupu!

Kitu pekee ambacho hakiibi ni BIA.....!

Me like this post!
Chama cha wanywa beer Tanzania kinawaalika wanywaji wote wa beer kuja kupima afya zao!

Ukipima presure unapt bia moja, ukipima ngoma unapata bia tatu!!

Karibuni Sana weekend hii pale mnazi mmoja
 
Lily Flower kwa halisi wabgongo wanaisghi kwa kubangaiza
Kwa hali halisi mishahara yao haiendani na real life wanayoishi
Nishahara ni midogo sana ila jwa mtu ana amatumizi ambayo hata ukiuliza huwezi amini na unakuta mpaka watoto wake wako shule za maana ila mishahara hiyo sasa ni balaa
Kwa hali halisi ya ulichoeleza tunaishi kimjini mjini kabbisa na wala sio siri hatuendani na uhalisia
Hata ukijiuliza haka kamshahara ya laki tatu ila mtoto wake anasoma shule ya bei mbaya huyo mtu anajenga, anapatikana kwenye viti virefu, anatibiwa private hospital, ana usafiri na huo usafiri haujulikani aliupataje
Yaani full mauza uza

Ya kweli mkuu mwisho wa mwaka mahesabu yanakuwa overspent lakini unaona sawa tu, kimjini mjini.

Back
Top Bottom