Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Huna jipya, kwani kutangaza hiyo sijui albadil au albadilini wameanza leo..??? Tangu miaka kadhaa iliyopita walidhumunia kufanya hivyo, issue siyo mtoa habari, ila ni habari yenyewe. AU NDO KAMA KAWAIDA YENU KUBISHA HATA OBVIUS ISSUES....??? Sijui ingekuwaje kama hicho kiwanja angenunua mkatoliki.......... Mtapewa sana viwanja vya serikali na mtauziana sana. Mkauze na kile chuo mlichopewa kule Morogoro..... YAANI DAR MPAKA MORO............DAR MMEPEWA NA MORO MMEPEWA....... Mnakoelekea mtauziana hadi MISIKITI.

Umesahau walisha wahi kumuuzia Mtikila nyumba ya Msikiti?
 
Waislamu inabidi murudi katika mafundisho ya Rasulullah.

Bwana Mtume siku zote alihakikisha nafasi za uongozi zinakamatwa na watu wenye uadilifu na wenye uwezo wa kazi hizo. Wasomi aliwapa kazi na kusomesha, wenye nguvu za mwili na akili za kijeshi aliwapa nafasi za usalama na nakadhalika.

Mmoja wa wale akina dada wiwili waliosaidia na nabii Mussa (PBUH) alimwambia baba yake ampe ajira Mussa (PBUH) kwa sababu alikuwa ana qualify na alipohojiwa kwa nini aliamini ana qualify kuajiriwa kuchunga wanyama akasema ni mwaminifu na ana nguvu. Mwishowe akaja kuwa si mtu mwajiriwa wa baba yake bali akaja kuwa mke wa Mussa.

Uislamu umesisistiza sana ulazima wa kuchagua viongozi waadilifu. Leo hii munawakubali viongozi amabao uadilifu wao una mashaka halafu munalalamika!!

Haya mafundisho ya dini na hizi principles zingekuwa zinazingatiwa na wa-Tanzania wote katika kuchagua viongozi tusingekuwa tunafisadiwa na viongozi kiachi hiki.

Waislamu chagueni viongozi kama Quran inavyosema na Wakristu fuateni waraka zenu zilizoandikwa na mapadri, hapo tutakuwa tunaelekea kupata viongozi safi na ndio maendeleo na haki itakapopatikana.

Anayewaambia musichanganye dini na siasa huyo mtu ina maana dini yake haina majibu ya maswali ya kisiasa-dini yake iko limited na Mungu wake hakuona mbali kwamba binaadamu wanahitaji muongozo katika katika maswala ya siasa na utawala.
 
Ushabiki na kukuza habari bila sababu ya msingi! mambo madogo sana haya..mali ya waislamu wakristo mnataka kutufundisha cha kufanya..kama wanamsomea Manji upu to them, kama wanampeleka mahakamani up to them..
"Kupata au kukosa kwetu hakukusaidie nyinyi hata kidogo..isipokuwa mnafurahi tukikosa ...ajabu..this is heart sickness!
 
Hi ahla-badir imekua kama joke sasa. Kila kitu sasa watu wana kimbia ahla-badir na sija wahi kusikia mfano wowote wa maana ya hizi swala kufanya kazi. Njia zipo za kushughulikia watu siyo kila kitu solution yake ni kumuombea mtu swala za laana.
 
Waislamu inabidi murudi katika mafundisho ya Rasulullah.

Bwana Mtume siku zote alihakikisha nafasi za uongozi zinakamatwa na watu wenye uadilifu na wenye uwezo wa kazi hizo. Wasomi aliwapa kazi na kusomesha, wenye nguvu za mwili na akili za kijeshi aliwapa nafasi za usalama na nakadhalika.

Mmoja wa wale akina dada wiwili waliosaidia na nabii Mussa (PBUH) alimwambia baba yake ampe ajira Mussa (PBUH) kwa sababu alikuwa ana qualify na alipohojiwa kwa nini aliamini ana qualify kuajiriwa kuchunga wanyama akasema ni mwaminifu na ana nguvu. Mwishowe akaja kuwa si mtu mwajiriwa wa baba yake bali akaja kuwa mke wa Mussa.

Uislamu umesisistiza sana ulazima wa kuchagua viongozi waadilifu. Leo hii munawakubali viongozi amabao uadilifu wao una mashaka halafu munalalamika!!

Haya mafundisho ya dini na hizi principles zingekuwa zinazingatiwa na wa-Tanzania wote katika kuchagua viongozi tusingekuwa tunafisadiwa na viongozi kiachi hiki.

Waislamu chagueni viongozi kama Quran inavyosema na Wakristu fuateni waraka zenu zilizoandikwa na mapadri, hapo tutakuwa tunaelekea kupata viongozi safi na ndio maendeleo na haki itakapopatikana.

Anayewaambia musichanganye dini na siasa huyo mtu ina maana dini yake haina majibu ya maswali ya kisiasa-dini yake iko limited na Mungu wake hakuona mbali kwamba binaadamu wanahitaji muongozo katika katika maswala ya siasa na utawala.

waislamu wana uongozi mzuri sana na upo chini ya Shura ya maimamu. lakini serikali na wakatoiki wanawakumbatia BAKWATA kwa imani kuwa ni chombo cha waislam kilichowekwa kwa maslahi ya serikali na wakatoliki.

Angalia hata uchaguzi mkuu wa Bakwata ulisimamiwa na Serikali chini ya Mrema na kuwa sponsored na kanisa katoliki.

Unategemea nini hapo?
 
Hivi Serikali inafanya juhudi gani kuona kwamba uuzwaji wa mali za jumuia unawekewa sheria ngumu ili kulinda maslahi ya wamiliki, ambayo inaweza kupotea kutokana na maazimio ya wachache bila kuangalia maslahi ya wengine, kama hiyo ya mali za waislamu, vyama vya ushirika nk nk.

Sheria ipo wazi... kila taasisi inasajiliwa na inakuwa na governance framework yao - iwe ni MEMARTS au Constitution.Kwenye hiyo framework basi wanajitengezea taratibu zao wenyewe na pia hutawaliwa na sheria za nchi. Kama tasisi inatarajia kupata mali hasa ile isiyohamishika kama ardhi/majengo basi hutakiwa kisheria isajili wadhamini wake na hao wadhamini wakikiuka basi huweza kuchukuliwa hatua za kisheria.Ni jukumu la taasis husika kuwa makini na utawala wake na kuchukua hatua zinazofaa pale ukiukwaji unapotokea.
 
ninaelewa hivyo, lakini nafikiri serikali inatakiwa ichukue hatua hizo ili kulinda wanyonge, kutokana na mifumo yetu ya kiuongozi kuwa na ulakini/mapungufu na tatizo hili si kwenye taasisi kama bakwata na vyama vya ushirika hata kwenye familia zetu ikija mambo ya mirathi watoto huzulumiwa au baadhi ya ndugu, sasa ili kulinda haki za wasiokuwa na taarifa iwe kwa kutokujua au kuwa haupo kwenye chombo cha maamuzi ni jukumu la serikali kuwa na ile hisia ya kujiuliza na kutaka uhakikisho zaidi kutoka upande wa pili. hata ukiangalia mambo ya tanesco yanavyo kwenda inaonyesha mapungufu katika vyombo vyetu katika kuchukua maamuzi yenye tija au maslahi ya wengi.
pili lazima ufahamu gharama ambazo serikali huingia ili kuvilinda au kuvipa nafasi za upendeleo hizi taasisi iwe bakwata, wakatoliki nk kwa mfano inapofanyika upimaji wa maeneo , serikali hutenga sehemu za ibada na wakati mwingine sehemu za huduma za kijamii, iwe shule au kujenga sehemu za ibada, sasa baada ya muda anatokea mjinga moja au kikundi cha watu katika taasisi hizo aamue kuuza sehemu hizo, huoni kwamba serikali itakuwa imepata hasara, kwani walichotegemea kuwepo kwa ajili ya jamii hakitakuwepo hiyo moja, pili kutakuwa na madahara indirectly, kwani wananchi wake wanapo sononeka wa kukosa kitu lawaamainarudi serikalini, tatu ni muda watu watakao kuwa wanatumia kuzitafuta hizo huduma kwa kwenda maeneo mengine ya mbali zaidi na hapo alipo, na unaweza kwenda mbali zaidi kuwa kuna nafasi kubwa ya matatizo ukienda mbali kutafuta hiyo huduma kama kuvuka barabara na kupata ajali, gharama ya dala dala nk nk. kwa minajili hiyo nafikiri utakuwa umenielewa na umeeelewa haja serikali kwenda mbela zaidi inapo tokea hali kama hii.
kwa nchi za wenzetu wanakuwa na sheria za kulinda minorities na inakuwa supported na mifumo yao ya upashanaji habari iwe muhutaksari wa maamuzi , mabandiko na barua toka vyanzo husika kwa watu wote ili kuhakikisha kilicho amuliwa ni kwa maslahi ya wote.
 
waislamu wana uongozi mzuri sana na upo chini ya Shura ya maimamu. lakini serikali na wakatoiki wanawakumbatia BAKWATA kwa imani kuwa ni chombo cha waislam kilichowekwa kwa maslahi ya serikali na wakatoliki.

Angalia hata uchaguzi mkuu wa Bakwata ulisimamiwa na Serikali chini ya Mrema na kuwa sponsored na kanisa katoliki.

Unategemea nini hapo?
Hivi hao BAKWATA ni wakatoliki, wakristu au..............
 
waislamu wana uongozi mzuri sana na upo chini ya Shura ya maimamu. lakini serikali na wakatoiki wanawakumbatia BAKWATA kwa imani kuwa ni chombo cha waislam kilichowekwa kwa maslahi ya serikali na wakatoliki.

Angalia hata uchaguzi mkuu wa Bakwata ulisimamiwa na Serikali chini ya Mrema na kuwa sponsored na kanisa katoliki.

Unategemea nini hapo?

Mkuu Hafif(u). Ulichobakiza kusema ni kuwa BAKWATA ni ya wakatoliki!

Amandla.....
 
Waislamu inabidi murudi katika mafundisho ya Rasulullah.

Bwana Mtume siku zote alihakikisha nafasi za uongozi zinakamatwa na watu wenye uadilifu na wenye uwezo wa kazi hizo. Wasomi aliwapa kazi na kusomesha, wenye nguvu za mwili na akili za kijeshi aliwapa nafasi za usalama na nakadhalika.

Mmoja wa wale akina dada wiwili waliosaidia na nabii Mussa (PBUH) alimwambia baba yake ampe ajira Mussa (PBUH) kwa sababu alikuwa ana qualify na alipohojiwa kwa nini aliamini ana qualify kuajiriwa kuchunga wanyama akasema ni mwaminifu na ana nguvu. Mwishowe akaja kuwa si mtu mwajiriwa wa baba yake bali akaja kuwa mke wa Mussa.

Uislamu umesisistiza sana ulazima wa kuchagua viongozi waadilifu. Leo hii munawakubali viongozi amabao uadilifu wao una mashaka halafu munalalamika!!

Haya mafundisho ya dini na hizi principles zingekuwa zinazingatiwa na wa-Tanzania wote katika kuchagua viongozi tusingekuwa tunafisadiwa na viongozi kiachi hiki.

Waislamu chagueni viongozi kama Quran inavyosema na Wakristu fuateni waraka zenu zilizoandikwa na mapadri, hapo tutakuwa tunaelekea kupata viongozi safi na ndio maendeleo na haki itakapopatikana.

Anayewaambia musichanganye dini na siasa huyo mtu ina maana dini yake haina majibu ya maswali ya kisiasa-dini yake iko limited na Mungu wake hakuona mbali kwamba binaadamu wanahitaji muongozo katika katika maswala ya siasa na utawala.[
/QUOTE]

Mkuu Mzanganyika heshima mbele,

Umezungumza maneno yenye hekma sana imefika mahali nikadhani labda si wewe kuna mtu kaiba password yako lakini hizo sehemu nilizo weka rangi nyekundu ndiyo zikanifanya niami ni wewe.

Kumbe Mzanganyika ukiamua kuandika mambo ya maana unaweza sasa kwa nini kila mara unakimbilia kuandika upupu ?.
 
Waislamu inabidi murudi katika mafundisho ya Rasulullah.

Bwana Mtume siku zote alihakikisha nafasi za uongozi zinakamatwa na watu wenye uadilifu na wenye uwezo wa kazi hizo. Wasomi aliwapa kazi na kusomesha, wenye nguvu za mwili na akili za kijeshi aliwapa nafasi za usalama na nakadhalika.

Mmoja wa wale akina dada wiwili waliosaidia na nabii Mussa (PBUH) alimwambia baba yake ampe ajira Mussa (PBUH) kwa sababu alikuwa ana qualify na alipohojiwa kwa nini aliamini ana qualify kuajiriwa kuchunga wanyama akasema ni mwaminifu na ana nguvu. Mwishowe akaja kuwa si mtu mwajiriwa wa baba yake bali akaja kuwa mke wa Mussa.

Uislamu umesisistiza sana ulazima wa kuchagua viongozi waadilifu. Leo hii munawakubali viongozi amabao uadilifu wao una mashaka halafu munalalamika!!

Haya mafundisho ya dini na hizi principles zingekuwa zinazingatiwa na wa-Tanzania wote katika kuchagua viongozi tusingekuwa tunafisadiwa na viongozi kiachi hiki.

Waislamu chagueni viongozi kama Quran inavyosema na Wakristu fuateni waraka zenu zilizoandikwa na mapadri, hapo tutakuwa tunaelekea kupata viongozi safi na ndio maendeleo na haki itakapopatikana.

Anayewaambia musichanganye dini na siasa huyo mtu ina maana dini yake haina majibu ya maswali ya kisiasa-dini yake iko limited na Mungu wake hakuona mbali kwamba binaadamu wanahitaji muongozo katika katika maswala ya siasa na utawala.[ /QUOTE]

Mkuu Mzanganyika heshima mbele,

Umezungumza maneno yenye hekma sana imefika mahali nikadhani labda si wewe kuna mtu kaiba password yako lakini hizo sehemu nilizo weka rangi nyekundu ndiyo zikanifanya niami ni wewe.

Kumbe Mzanganyika ukiamua kuandika mambo ya maana unaweza sasa kwa nini kila mara unakimbilia kuandika upupu ?.

Mheshimiwa Ngongo.

Umenichekesha sana kwa madai kwamba nikiamua kuandika mambo ya maana naweza:)

sasa mkuu hayo mekundu yana nini kukufanya uamini kwamba ndio mimi na sijaibiwa password?:) Kwa ni wewe unainga mkono unafiki wa kutochanganya dini na siasa?

Kama dini yangu inasema Mungu hapendi ufisadi ni kosa kuamini hivyo nikiwa kazini?
 
Yana UDINI......... Nami niliposoma nilidhani umeibiwa pasiwedi........ Lakini hapo mwishoni nikaona kuwa hujaibiwa, bali ni wewe mwenyewe....... teheeeeee..teheeeeeee
 
.

Sioni kama kuna jipya hapo. Waleta habari wenyewe wote wakatoliki kwanini wasichanganye mambo.

Kilichobainishwa hapo ni kumshitaki Manji kwa mwenyezi Mungu kwa waislamu tunaamini kuwa yeye ndie hakimu wa kweli. hakuna kipengele kinachosema wasomee albadr.

Labda niiulize jamii Albadr ni nini?
Tuelewe kuwa kumshitaki kwa mwenyezi mungu ni kusoma maombi na kumwachia Mungu ahukumu.

Haya baba, kumbe mtu kuwa anneth au simon ndio ukatoliki; basi na yule askofu ramadhani alikuwa mamluki!!!

Hilo la albadir, tuko pamoja... Na tende ulipata?

Kumbuka sheikh, adui wa uislam mara nyingi ni muislam kwa kutofuata mafundisho vizuri
 
.

Sioni kama kuna jipya hapo. Waleta habari wenyewe wote wakatoliki kwanini wasichanganye mambo.

Kilichobainishwa hapo ni kumshitaki Manji kwa mwenyezi Mungu kwa waislamu tunaamini kuwa yeye ndie hakimu wa kweli. hakuna kipengele kinachosema wasomee albadr.

Labda niiulize jamii Albadr ni nini?
Tuelewe kuwa kumshitaki kwa mwenyezi mungu ni kusoma maombi na kumwachia Mungu ahukumu.

Boko Haram
 
Mheshimiwa Ngongo.

Umenichekesha sana kwa madai kwamba nikiamua kuandika mambo ya maana naweza:)

sasa mkuu hayo mekundu yana nini kukufanya uamini kwamba ndio mimi na sijaibiwa password?:) Kwa ni wewe unainga mkono unafiki wa kutochanganya dini na siasa?

Kama dini yangu inasema Mungu hapendi ufisadi ni kosa kuamini hivyo nikiwa kazini?

Mkuu Mzanganyika Heshima

Hakuna dini inayowaelekeza waumini wake wawe mafisadi.Dini zote Islam,Christian & ..... zinahimiza waumini kutojihusisha na ufisadi na mambo yote mabaya.

Sehemu niliyoweka rangi nyekundi ina kaharufu kaudini muzee,najua kadri muda unavyozidi kwenda mbele utarudi kwenye mstari.
 
Subiri, Manji akiwapa futari tu basi wanatulia, wakiumwa njaa wanaanza oooh, kiwanja.

Hebu mwacheni magufuli kwani yeye ndo aliyekigawa kiwanja???

Juhudi za Magufuli kurudisha Kiwanja ndizo zikamfanya aishie kwenye Wizara ya mifugo na samaki. Kama mna madai ya kiwanja nendeni Wizara ya Ardhi, Magufuli hakuhama na documents za kiwanja.

hahaha mkuu umepatia kweli njaa imeanza kuwauma ngoja atawatuliza tu
 
Hakuna kitu kama hicho!Nyie katika kusoma hiyo...sijui nini...mnataka mtu aokote makopo. Usilete kiswaahili mingi hapa!Na kwanini mumshitakie Mungu, wakati yeye aliona hata kabla hilo tukio halijatokea?Mnamlazimisha Mungu wenu kufanya kazi yake kwa majazba yenu yale mliyozowea! Itawarudieni wenyewe hiyo nanihiino...haimpati mtu!Ama kweli... waacheni wafu wawazike wafu wenzao!
point i like it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom