Maige: CCM itakufa

Mzee wagobe upooo au mkuki kwa nguruwe mtam kwa binadam mchungu?.
Hivi hawa wote ni kabila moja? Maige, Shibuda, Mpendazoe. Walilazimishwa kuingia kwenye siasa nini? Yaani kunyang'anywa uwaziri imekuwa tabu. Auze ile nyumba ya mil.700 akaanzishe chama , mbona hiyo pesa inatosha kufanyakazi hiyo.
 
Tatizo mtu alipewa uwaziri anadhani atakuwa pale milele. Kwanza si lazima ufanye makosa ili Rais akutoe. Anaweza kumuweka mwingine akiamini atafanya kazi nzuri kuliko aliyepo. Maige bado ni kijana mdogo. Muda ndio mwalimu wa wote na ukweli utabainika siku za usoni. Wangapi walitemwa na baadaye wakarudi? Tena wengine wazee kabisa!
 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja aliwapa pole wana Kahama kwa kile alichodai kumpoteza mpiganaji, na zawadi kwa wananchi wa eneo hilo, hivyo kuichezea bahati hiyo ni ujinga kwa wale wasiopenda maendeleo.“Nafasi hizi hutolewa na Rais na haulizwi; ndivyo hivyo anapoamua kumpumzisha aliyemteua pia haulizwi. Inapotokea eneo kupata waziri ni fursa nzuri ya kupiga hatua katika maendeleo leo Kahama fursa hiyo haipo tena,” alisema Mgeja.



The bold & underlined;
Kwangu mimi huyu jamaa amesema kila kitu kuhusu CCM na serikali ambacho hakijawahi kutamkwa kwa uwazi na usahihi kama leo.

1) Uwaziri ni zawadi - sasa jiulize kama ni zawadi attitude na focus ya waziri itakuwa wapi na kwa nini?

2) Uwaziri ni bahati - bahati?

3) Maendeleo yamefungwa ktk bahati na zawadi - so kwa miaka yote ccm hawajawahi kuwa na nia wala uwezo wa kuweka sera na mikakati kazi ya kuleta maendeleo Tz.

4) Ubaguzi na rushwa ni vitu halali na muhimu katika utendaji wa Serkali - it's offficial!

So we more armored with irrefutable facts to eliminate these evil people (some call them marxists, others cronies, or psychopaths) you pick a description you’re comfortable with – who are stealing our homes, our wealth, our future and our freedom. i.e. ccm​
 
who is maige? Somebody should advise him to just zip it. Nchi ina matatizo makubwa yeye analalamikia uwaziri aliopewa bure, au alilipia!
 
CDM wasiahangaike sana kuchukua magamba ya CCM, wajitahidi kufanya recruitment ya vijana wasiokuwa na unajisi wa magamba kutoka kwenye vyuo mbalimbali. Itakuwa vigumu sana kuja kuwasafisha hawa mwaka 2015, magamba yanaweza kuja kugeuza kibao kuwa wao waliwafukuza ndani ya chama chao kwa kuwaona mafisadi CDM ikawakumbatia!!!
 
Kila anayetemwa anatoa kauli za SIZITAKI MBICHI HIZI, na kujifanya anauzalendo kwa watz; CDM tuwe makini sana na hawa magamba.
 
Maige bana eti alitakaka kujitetea hivi utetezi gani utakao justify wanyama kutoroshwa kinyemela kwenda nchi nyingine yeye akiwa waziri tena akae kimya ingekuwa nchi nyingine angezikwa hai.
 
Asahihishe kauli yake, CCM imeshakufa!!! kinachosubiriwa ni mazishi, ndugu wa karibu na mbali kama CUF, TLP na NCCR wamekwisha fika eneo la msiba, wanasaidiana kuandaa mazishi huko Znz, na Bungeni Tz.

Na ifatayo ni historia fupi ya malehemu:
Malehem tajwa hapo juu,alizaliwa miongo kadhaa iliyopita,na hakubahatika kuleta maendeleo sahihi.
Na ugonjwa uliopelekea malemu kufa ni WIZI,UWONGO,UNAFKI(UPUNGUFU WA AKILI TIMAMU).
Malehem CCM,ameacha wajane wachache na watoto wanafki,NA MUNGU AILAZE ROHO YAKE JEHANAM.
 
Huyu jamaa naye anatia aibu sasa... wangapi wameondolewa uwaziri kwani alikuwa na ubia na hiyo nafasi?? Mbona ananung'unika as if ilikuwa ajira?

kumbe u waziri dili.jamaa kimemuuma sana kupigwa chini.nahisi kuna sehemu alikuwa amepanga ku loot.
 
Waliondolewa ni wengi lalini kumbuka kina Mkulo na Omari Nundu wale ni wastaafu wakati Maige ana zaidi ya miaka 20 afike umri wa kustaafu

sikatai lakini riziki hailazimishwi...si ana yale malori mawili yanayomwingizia dola elfu sijui nne kwa mwezi?? si ni msomi mzuri tu?? si ni mbunge??
 
we maige acha hiyo ccm itakufa kwa sababu ya wewe kukosa uwaziri? Upo wrong sana. Nenda kokote ruksa
 
yaani hili jamaa kweli ni poyoyo yani hadi leo bado linaumia tu,badala ya kufikiria mbele zaidi,alifikiri pale atakaa milele na midomo yake iliyobinuka kama.......pumbavu kweli hili
 
...Ife mara ngapi? imeshajifia siku nyingi sasa tunasubiri mazishi tu.
 
Hahahaha yaaani Maige,dah kweli unapata tabu sana,ina maana huna mengine ya kuzungumza?jimbo lako lina matatizo mangapi?nchi kwa ujumla? Ni lipi ulilo taka kujitetea nalo,ukiwa tayari umesha haribu,
Nakumbuka dk 10 za kujibu hoja ya msingi uulitumia kujitetea,badala ya kujibu hoja ya mssingi,sasa ulitaka ukajitetee wapi,
Kumbuka kuwa uwazri sio maisha,katukilie jimbo acha keelele kwenye vyombo vya habari,
Kwanza ungee kaa pale mpaka 2015 na utalii ungekuwa umekufa sio chama,
Acha acha acha acha acha kulalama ka mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom